Paul Makonda: Ahsante Mungu katikati ya machozi umenipa mapacha wawili!

Status
Not open for further replies.
Mikono yako imetapakaa damu usilidhihaki jina la bwana Mungu wako! Laana zaidi itakushukia.
Sidhani kama kuna mtakatifu msafi duniani..hakuna mtu alikua mbaya kama sauli. Lakini kupitia yeye leo hii tumefahamu injili na kumjua Mungu.

Ili uwe mtakatifu lazima upitie dhambini, kupitia dhambi za sauli dunia ilijipatia mtakatifu wa kwanza ambae ni Stephano baada ya kupigwa mawe na sauli..

Mungu huchukua vilivypondeka..huchukua na kuviinua vitu vichafu. Leo sauli tunamuita baba mtakatifu na Mwanafalsa bora wa muda wote kuhawi tokea duniani.
Endelea kusema madhambi ya makonda kana kwamba wewe ni mtakatifu na umeona jina lako mbinguni so ulichobaki kufanya ni kumhukumu makonda.

Mungu anashangazana..Mungu huwaita walio wachafu..hula na wenye dhambi . Wewe mtakatifu ulishapata thwawabu yako hapa duniani.

Be humble mate life is full of surprise
 
Asante Sayansi ya kupandikiza. Asante pia kwa Mungu kwa kuruhusu watoto Embriyo zilizopandikizwa kukua.

Asante pesa,maana asingekuwa na hela ya kupandikiza watoto angewasikia tu.

Hapo shukran za pekee ziwaendee wachina

Europe wana IVF clinic nzuri! Hawashindwi kitu!!
Ongera Baba Kegan..Baba Mapacha!!

Hii inaonekana ni wazungu!!

Acheni wivu nyie watu, khaaaah!!
 
Haya yote nadhani ni uwoga na kutumuliwa asikae jukwaa la viongozi, dah!

=======

Heshima na Mamlaka ni zako eee Mungu wa Mbingu na Nchi na kwako wewe tunalia Aba, nitaendelea kutaja ukuu wako siku zote za maisha yangu kwakua hujawahi kuniacha hata dakika moja.

Pamoja na mapito magumu na mazito lakini naiona nuru yako huku nikisikia sauti ya ROHO mtakatifu ikisema mwanangu Paul Christian Makonda nalikujua kabla sijakuumba na nikakutenga kwa kusudi langu usikubali TAA iwakayo ndani yako ikazimika.

Ona sasa unavyozidi kuniheshimisha katikati ya machozi umenipatia zawadi tena itokayo kwako.

Mimi nilieitwa tasa ulinipa mtoto KEAGAN ambaye alishangaza ulimwengu kwa ujio wake:Ukaona haitoshi LEO umenipa DOUBLE PORTION:Leo Mungu wangu umenipa MAPACHA tena wa KIUME na Wa KIKE hii yote ni kutangaza UKUU wako maishani mwangu.

Kwa wale ambao bado hawajakuamini na wanateseka juu ya uzazi,naomba kupitia watoto hawa wakauone ukuu wako Ewe YESU mwana wa Mungu ulie hai.

Hongera sana kipenzi changu Maria Mungu amejitwalia utukufu kupitia wewe.

Asanteni sana watumishi wa Mungu, wazazi wetu, dada na kaka zetu kwa kuwa nasi nyakati zote, kama ambavyo mmekuwa baraka kwetu.Naomba pia Mungu awainulie watu wema nyakati za uhitaji wenu.

EhhNafsiYanguMUHIMIDI-Bwana

MoyoWaShukrani
Huyu jamaa hayuko sawa kisaikolojia.

Anafosi sana attention na league za kutaka kuwaprove wrong walimwengu.

Na kibaya zaidi anajiona kama vile Mungu ni wake peke yake anaetakiwa kumsikiliza yeye tu na katika maisha yake snajiona hajawahi kukosea!!!

Nyakati kama hizi alipaswa ajitoe kabisa katika kwenye public attention mpaka ikitikea vinginevyo

Ulaya kazuiwa kwenda, angeenda hata Mwanza kupumzisha akili.

Hapa ndio unaona mali za dhulma kula mpaka uwe na roho la kikatili.
 
Huyu jamaa hayuko sawa kisaikolojia.

Anafosi sana attention na league za kutaka kuwaprove wrong walimwengu.

Na kibaya zaidi anajiona kama vile Mungu ni wake peke yake anatetakiwa kumsikiliza yeye tu na katika maisha yake snajiona hajawahi kukosea!!!

Nyakati kama hizi alipaswa ajitoe kabisa katika kwenye public attention mpaka ikitikea vinginevyo

Ulaya kazuiwa kwenda, angeenda hata Mwanza kupumzisha akili.

Hapa ndio unaona mali za dhulma kula mpaka uwe na roho la kikatili.
mkuu dhulma haidumu hata ikidumu inaangamiza
 
Haya yote nadhani ni uwoga na kutumuliwa asikae jukwaa la viongozi, dah!

=======

Heshima na Mamlaka ni zako eee Mungu wa Mbingu na Nchi na kwako wewe tunalia Aba, nitaendelea kutaja ukuu wako siku zote za maisha yangu kwakua hujawahi kuniacha hata dakika moja.

Pamoja na mapito magumu na mazito lakini naiona nuru yako huku nikisikia sauti ya ROHO mtakatifu ikisema mwanangu Paul Christian Makonda nalikujua kabla sijakuumba na nikakutenga kwa kusudi langu usikubali TAA iwakayo ndani yako ikazimika.

Ona sasa unavyozidi kuniheshimisha katikati ya machozi umenipatia zawadi tena itokayo kwako.

Mimi nilieitwa tasa ulinipa mtoto KEAGAN ambaye alishangaza ulimwengu kwa ujio wake:Ukaona haitoshi LEO umenipa DOUBLE PORTION:Leo Mungu wangu umenipa MAPACHA tena wa KIUME na Wa KIKE hii yote ni kutangaza UKUU wako maishani mwangu.

Kwa wale ambao bado hawajakuamini na wanateseka juu ya uzazi,naomba kupitia watoto hawa wakauone ukuu wako Ewe YESU mwana wa Mungu ulie hai.

Hongera sana kipenzi changu Maria Mungu amejitwalia utukufu kupitia wewe.

Asanteni sana watumishi wa Mungu, wazazi wetu, dada na kaka zetu kwa kuwa nasi nyakati zote, kama ambavyo mmekuwa baraka kwetu.Naomba pia Mungu awainulie watu wema nyakati za uhitaji wenu.

EhhNafsiYanguMUHIMIDI-Bwana

MoyoWaShukrani
Yeye ni nyuki mashine,gazeti lote hilo wakti watoto wa kupandikiza kama tembele.
Atulie wananzengo wanajua yeye joka la kibisa full
 
Huyu jamaa ana akili nzuri sana.
Wako wazinzi, waongo, wakifanya kila namna ya ubaya lkn bado hawajatambu UKUU wa Mungu ambao pamoja na maovu yao UMEWAHIFADHI. Bora PCM anajua ni Mdhambi ila Wema wa Mungu unahifadhi.
Mungu amuinue
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom