Paul Makonda afunguka

Paul Makonda afunguka

Samsoni na GOLIATI, lazima LOWASSA atakaa tu kwa dogo, ufisadi wake utamtokea puani.

Mkuu, usilinganishe enzi hizo na siku hizi za majanga. Kipindi unachoongelea mtu alikuwa akifanya kosa anapigwa adhabu muda huo huo, hata manabii na viongozi walikuwa wakimwomba Mungu anawasiliza na kutenda miujiza muda huo huo kwa sababu hawakuwa wanafiki na hawakuwa na dhambi. Kwa sasa hao wanaompinga mwenzao nao ni wa nafanya hivyo kwa maslahi binafsi na sio ya taifa, kuna kitu kinaogopwa hapo; aidha, sina uhakika kama linapokuja swala la ufisadi ni wasafi kwa kiasi gani !!!
 
Lowasa akiwa Rais wilaya kinondoni ataweka mkuu wa wilaya mpya. siku njema
 
ameamua kupima ubavu na lowasa kwa style hii
attachment.php
Juzi niliuliza hapa jamvini,ni sifa gani mtu anatakiwa kuwa nazo ili apate nafasi ya kuchaguliwa kuwa mkuu wa wilaya?sasa jibu ninalo.Hongera sana Makonda kwa kujitoa ufahamu,
 
Tanzania Daima taaluma ya uandishi ni zero kabis. Mngetuwekea audio au video kuhalalisha huu upuuzi wenu basi.

Yani wewe ndio zero kabisa, sasa iyo audio na video utaangalia na kusikilizia kwenye gazeti?upuuuzi tuu
 
Anyamaze huyu makonda hamuwezi lowassa siyo level yake .asipoangalia atakuja kupotea kabisa kwenye siasa.
 
Sifa moja ya "maana" ya makonda ipo hapo anapomfungia bwana wake viatu. Kupata cheo bila sifa unaanzia mbali kujikomba, waweza hata kumfulia "kufuli" dume mwenzio.
Hata hivyo makonda si saizi ya lowasa kwa vigezo vyovyte vile.
 
ashachaguliwa haiwezekani kupinga uteuzi wake kwenye media kama ana sifa mbaya basi aliemteua inawezekana alikua anamtuma
 
Japo JK kabakiza miezi michache tu kuondoka madarani, lakini kwa tabia ya huyu mtu na ukizingatia ukweli huu ni mwaka wa uchaguzi, Makonda wilaya aliopewa hataimudu na ataharibu muda mfupi tu ujao na kitakachofanyika ni kumuhamisha tu.

Makonda,ukitaka kufurahisha watu kwa malengo ya kisiasa,utaharibikiwa mapema sana.

Hiyo wilaya ina mengi na yanayohitaji busara na si ukada wala makundi.

Namuhurumia JK kumpa Makonda hiyo wilaya katika kipindi hiki.
 
so mfanyakazi kapandishwa cheo..itabidi na mm nijaribu kupata hata kazi ya kusafisha viatu kwa mjomba...ila hamuwez lowassa hata kidogo
 
wandugu hivi kweli kwa matendo ya kihawani aliyoyatenda huyu makonda anastahili kupewa uongozi wa serikali? sasa nimeapata jibu matendo ya makonda ni maelekezo aliyopewa na uongozi wa juu wa serikali na ccm. aliyemteua na aliyemtangaza kuwa DC ni wahusika wa vitendo vya makonda. rais kikwete kwa uteuzi huu si kuisaidia nchi bali umeandaa wavuruga amani,kwa mwenendo huu umeamua kuitumbukiza nchi ktk machafuko. kumbuka siku ya siku wote watakuruka na kusema wewe ndiye ulikuwa unawatuma{A mile to go before you sleep}
 
Hivi jamani Jk amekiri vizri kweli kuchagua huyu mwehu makonda!
 
Mwendo ni Bumper to bumper, maliza huyo fisadi. Mkabe hadi chooni.
 
Eti ndie Mkuu Wa wilaya anayefunga mtoto wa mfalme kamba za viatu..
attachment.php

Hahahaaaaaaaaaaaa...aiseee...hiki ndicho kilichompa ukuu wa wilaya kabisa. Unauza utu kwa heshima ya pesa, kweli pesa sabuni ya roho.
 
Back
Top Bottom