Chademakwanza
JF-Expert Member
- Jun 11, 2014
- 6,346
- 1,872
Hehehe lazima ccm mgataneTanzania Daima taaluma ya uandishi ni zero kabis. Mngetuwekea audio au video kuhalalisha huu upuuzi wenu basi.

Mkuu mpya wa wilaya ya Kinondoni Paul Makonda amefunguka na kutoa ya moyoni kuhusiana na shutuma kadhaa anazorushiwa kufuatia uteuzi wake.
Akizungumza na gazeti la Tanzania Daima Msemaji huyo wa Chipukizi wa UVCCM anesema ni kweli yasemwayo kwamba anatumika kumzima Waziri Mkuu Mstaafu Edward Ngoyai Lowassa anayetarajiwa kuomba uteuzi wa kugombea urais kupitia CCM.
""Hivi kati ya anayetumika kukibomoa chama na yule anayetumika kukiimarisha ni yupi ana Faida?....vijana ndiyo walinzi wa chama na sitakubali kiharibiwe na watu wachache wenye masilahi ya madaraka""" Alinukuliwa Makonda akisema
Source : Tanzania daima.
Ili
mngeondoa bendera ya taifa wakati mnavalishana viatu.Msitudhalilishie nchi yetu.
Tanzania Daima taaluma ya uandishi ni zero kabis. Mngetuwekea audio au video kuhalalisha huu upuuzi wenu basi.

Audio na video kwenye gazeti?!Tanzania Daima taaluma ya uandishi ni zero kabis. Mngetuwekea audio au video kuhalalisha huu upuuzi wenu basi.
Eti ndie Mkuu Wa wilaya anayefunga mtoto wa mfalme kamba za viatu..
![]()
Jina Halali ni KONDA WA VIATUMkuu mpya wa wilaya ya Kinondoni Paul Makonda amefunguka na kutoa ya moyoni kuhusiana na shutuma kadhaa anazorushiwa kufuatia uteuzi wake.
Akizungumza na gazeti la Tanzania Daima Msemaji huyo wa Chipukizi wa UVCCM anesema ni kweli yasemwayo kwamba anatumika kumzima Waziri Mkuu Mstaafu Edward Ngoyai Lowassa anayetarajiwa kuomba uteuzi wa kugombea urais kupitia CCM.
""Hivi kati ya anayetumika kukibomoa chama na yule anayetumika kukiimarisha ni yupi ana Faida?....vijana ndiyo walinzi wa chama na sitakubali kiharibiwe na watu wachache wenye masilahi ya madaraka""" Alinukuliwa Makonda akisema
Source : Tanzania daima.
Tanzania Daima taaluma ya uandishi ni zero kabis. Mngetuwekea audio au video kuhalalisha huu upuuzi wenu basi.
Malizia sentensi yako hapo kwenye red................... SEMA UMETULETEA AIBU SISI VIJANA WA CCM!Makonda kweli wewe ni kilaza lazima ufunge viatu ndo upewe mkuu wa wilaya mbona umetuletea aibu sisi vijana.