Wewe usidanganyike,la sivyo wanyarwanda wasingekimbilia France na BelgiqueNi mara kumi yake Kagame kwa sababu hata anachokifanya kwa nchi yake kinaoneka! Ustawi wa jamii na maendeleo kwa ujumla. Sio kama huyu wetu anayeondoka, alingia na anatuavha na shida zetu. Alichofaidi ni kuitajirisha familia yake na yeye kujionesha nje ya nchi! Najuta sana kwamba nilimpigia kura yangu!
Wakati yeye na timu yake wanabadilisha katiba ili aendelee msimu wa tatu, JK anaondoka baada ya misimu yake miwili kwisha kwahiyo he's no match JK!
Danganywa wewe,hapa wananchi wametumika tu maana hawana jinsi,ila order ilitoka juu,sema wameona bora maisha kuliko kifoWananchi wenyewe ndio wamependekeza aendelee,fuvk term limits, they are meaningless sometimes.
Nimechunguza akaunti zote za PK na hiyo post hamna kwahiyo ni wastage of time kujadili msg ya kutengeneza.umeelewa maana pana ya demokrasia?unadhani demokrasia inaishia kwenye kuachia madaraka tu?
Usilinganishe Rwanda na Tanzania,Rwanda ni kama kijimkoa tu hapa kwetu.Kagame jembe wewe, usimlinganisha na huyu kilaza wetu. Vinginevyo rudi zako Conner Bar ukaendelee na biashara zako
Kagame huna cha kutuambia wewe,kwanza umepindisha katiba,JK SIYO KAMA WEWE,MAANA YEYE MUDA WAKE UMEISHA NA ANAONDOKA,SASA KAGAME WEWE UMEKATAA KUWAACHIA WENGINE NA UTAGOMBEA TENA,HUNA TOFAUTI NA HYABIRAMA
Kwasababu wewe huwa unafikiri kila anayepinga hoja yako basi ni pro Mbowe... ukaishia kunikebehi. Na mimi vikojozi kama wewe huwa siwacheleweshi nawachezesha kindumbwe ndumbwe bila hata nguo!Stupid ni wewe tena mpumbavu tena usiye na akili. Hapa tulikuwa tunajadili mada iliyopo jamvini. Nini kilikufanya umuingize mama yangu kwa mambo ambayo yeye hausiki? Discussion za kwenye mitandao unaingiza wazazi waliopo kama sio upumbavu tuite nini? Halafu eti unazungumzia IQ!! Unaijua IQ wewe?What a nonsense.
Nimependa maneno ya Paul Kagame ameongea ukweli na siyeye tu bali ni jamii yote ya kimataifa wanasubiria huu uchaguzi kwa hamu maana sisi tumekuwa wakwanza kuwanyoshea wenzetu vidole utadhani sisi ni makaika!Haya sasa mpira huko kwetu kupiga penati je tutapaisha au tutalenga goli???
Rip mtikila
Wewe usidanganyike,la sivyo wanyarwanda wasingekimbilia France na Belgique
Usilinganishe Rwanda na Tanzania,Rwanda ni kama kijimkoa tu hapa kwetu.
Mantiki ya msg kuangalia ikiwa kuna utofauti wowote kati ya JK kwa upande mmoja na PK and Nkrunzinza kwa upande mwingine! Kwanza nimesha-confirm hiyo message ni fake... haipo kwenye a/c yoyote ya PK! Lakini kwa upande mwingine kutaka kulinganisha demokrasia kati ya Tanzania VS Burundi na Rwanda; ni kichekesho ambacho hakina maana yoyote unless mtu awe anajadili kwa kuangalia political interests.nadhani hujaelewa mantiki yake. soma vizuri kisha comment tena
Ha ha ha...kagame ni mbweha au mbwa mwitu....
Amejishtukia!
Mantiki ya msg kuangalia ikiwa kuna utofauti wowote kati ya JK kwa upande mmoja na PK and Nkrunzinza kwa upande mwingine! Kwanza nimesha-confirm hiyo message ni fake... haipo kwenye a/c yoyote ya PK! Lakini kwa upande mwingine kutaka kulinganisha demokrasia kati ya Tanzania VS Burundi na Rwanda; ni kichekesho ambacho hakina maana yoyote unless mtu awe anajadili kwa kuangalia political interests.
Siyo hata Kijimkoa,Rwanda kwa Tanzania ina Km za Mraba kama "Wilaya mpya ya MLELE"-iliyopo mkoa mpya wa KATAVI.Yaani hata KAYA YA MKURYA ni Kubwa kuliko Rwanda.Kulinganisha Tanzania na Rwanda ni Upumbavu uliokithiriUsilinganishe Rwanda na Tanzania,Rwanda ni kama kijimkoa tu hapa kwetu.
Hapa wanajadiliwa wanasiasa na Mbowe ni mwanasiasa! Sasa umetumia vigezo gani kumuungiza mama angu kv tu nimekuuliza ulitaka asimamishwe Mbowe?Halafu eti vikojozi.,,, sasa unafikiri mie ndo nitakuogopa? Btw, umejuaje kama mimi ni kikojozi kama sio kwamba nilikukojolea? Kwa taarifa yako matusi hayauzi na kama unajifanya unajua kutukana sana, we endelea tu.Kwasababu wewe huwa unafikiri kila anayepinga hoja yako basi ni pro Mbowe... ukaishia kunikebehi. Na mimi vikojozi kama wewe huwa siwacheleweshi nawachezesha kindumbwe ndumbwe bila hata nguo
mnafiki tu hana uzito wowote. wakati yeye anafanya hila kwa kugeuza katiba ili abaki kwenye utawala jk bila kusita anajitayarisha kukabidhi dola baada ya muda wake kumalizika.Nimependa maneno ya Paul Kagame ameongea ukweli na siyeye tu bali ni jamii yote ya kimataifa wanasubiria huu uchaguzi kwa hamu maana sisi tumekuwa wakwanza kuwanyoshea wenzetu vidole utadhani sisi ni makaika!Haya sasa mpira huko kwetu kupiga penati je tutapaisha au tutalenga goli???