Paul Kagame umeongea ukweli hataki unafiki!

Paul Kagame umeongea ukweli hataki unafiki!

Nimependa maneno ya Paul Kagame ameongea ukweli na siyeye tu bali ni jamii yote ya kimataifa wanasubiria huu uchaguzi kwa hamu maana sisi tumekuwa wakwanza kuwanyoshea wenzetu vidole utadhani sisi ni makaika!Haya sasa mpira huko kwetu kupiga penati je tutapaisha au tutalenga goli???

Mkuu KakaKiiza nina wasiwasi kama hiyo message ni kutoka kwa Paul Kagame, nimeangalia 'official twitter account' yake na sijaona hiyo post.

You may follow him at https://twitter.com/PaulKagame
 
Kagameeee that is what we call makavu live!!teh!teh! message sent.
 
Kwanza sina hakika kama hiyo taarifa ni ya kweli! Lakini kama ni kweli, hilo kwenzi lipo wapi? Yeye anataka kuona ikiwa JK atakuwa tofauti na yeye au Nkurunzinza-- mpaka hapa tulipo tayari JK ameshajitofautisha na Kagame na Nkruzinza coz' wakati Nkruziza tayari ameshang'ang'ania madaraka huku PK na timu yake wakiwa mbioni kubadili katiba ili PK achukue msimu wa tatu; tayari JK ameshaonesha dhahiri kwamba anaondoka baada ya muda wake kwisha!

Angeondoka na kuruhusu uchaguzi huru na wa haki! Kwanini anajivika jukumu la tume! Na tuna info jinsi watakavyochakachua kura.... tena kwa kutumia nguvu
 
Kagame huna cha kutuambia wewe,kwanza umepindisha katiba,JK SIYO KAMA WEWE,MAANA YEYE MUDA WAKE UMEISHA NA ANAONDOKA,SASA KAGAME WEWE UMEKATAA KUWAACHIA WENGINE NA UTAGOMBEA TENA,HUNA TOFAUTI NA HYABIRAMA

Wananchi wenyewe ndio wamependekeza aendelee,fuvk term limits, they are meaningless sometimes.
 
Kagame huna cha kutuambia wewe,kwanza umepindisha katiba,JK SIYO KAMA WEWE,MAANA YEYE MUDA WAKE UMEISHA NA ANAONDOKA,SASA KAGAME WEWE UMEKATAA KUWAACHIA WENGINE NA UTAGOMBEA TENA,HUNA TOFAUTI NA HYABIRAMA

Ni mara kumi yake Kagame kwa sababu hata anachokifanya kwa nchi yake kinaoneka! Ustawi wa jamii na maendeleo kwa ujumla. Sio kama huyu wetu anayeondoka, alingia na anatuavha na shida zetu. Alichofaidi ni kuitajirisha familia yake na yeye kujionesha nje ya nchi! Najuta sana kwamba nilimpigia kura yangu!
 
ICC siyo sawa na kunywa "mbege"... UKAWA mnaongelea sana ICC bila hata kufahamu ICC ni nini..
 
Angeondoka na kuruhusu uchaguzi huru na wa haki! Kwanini anajivika jukumu la tume! Na tuna info jinsi watakavyochakachua kura.... tena kwa kutumia nguvu
info uzitoe wapi wewe, nenda kadanganye wenzako huko sio mimi. Bado una mambo ya kizamani ya kujifanya Mr. Someone hapa JF? Mambo hayo peleka jukwaa la MMU sio hapa.
 
Kagame jembe wewe, usimlinganisha na huyu kilaza wetu. Vinginevyo rudi zako Conner Bar ukaendelee na biashara zako

Kilaza mama alokuzaa pumbavu sana, unamita Raisi wako na wa watanzania mil 50 kilaza! ficha umbumbu wako kishoka mkubwa wewe, sijui kwanini midudu mingine haina uzalendo! , hamia basi Rwanda ukaolewe huko
 
And what if angesimamishwa mama yako?

Hizi ndio tunaita akili za jongoo! Tangu lini ukasikia mama yangu anakimbilia kuibia raia kwa jina la ''urais''. Typically Tanzanian IQ level of arguing! Stupid!
 
info uzitoe wapi wewe, nenda kadanganye wenzako huko sio mimi. Bado una mambo ya kizamani ya kujifanya Mr. Someone hapa JF? Mambo hayo peleka jukwaa la MMU sio hapa.

You are suffering from inferiority complex my friend! Kijifanya mimi ni mtu fulani wakati situmii jina langu! Itanisaidia nini?
 
Wakati yeye na timu yake wanabadilisha katiba ili aendelee msimu wa tatu, JK anaondoka baada ya misimu yake miwili kwisha kwahiyo he's no match JK!

Mkuu usikariri issue sio kuondoka tu....
 
Back
Top Bottom