Paul Kagame umeongea ukweli hataki unafiki!

Kagame ni jembe

kagame kama rais hakutakiwa kutoa kauli kama hiyo kipindi hiki. hii ni kama kumkejeli daktari anayetibu watu kuwa naye anapoumwa ajitibu ili watu waone kama ni daktari kweli. mungu isaidie rwanda na burundi ili wananchi wake waishi kwa amani na upendo ili waweze kuona thamani ya upendo na amani.
 

mdiliko,

Kagame kampa live Rais Kiwete.
Kuna kila chembe ya ukweli kuhusu kauli ya Kagame kwamba Demokrasia si tu katika kuizungumzia baali lazima uiishi. Maana yake lazima ufanye kulingana na Demokrasia inavotaka. Siyo unawadanganya watu tuna Demokrasia ya kweli, sijui amani, mshikamano na upendo. Mambo haya Baba wa Taifa aliuita ni UPUUZI!!

Dunia yoye imemsikia Rais Kiwet siku ya maazimisho ya miaka 16 ya kifo cha Mwalimu tarehe 14/10/2015 alipotamka bila aibu kwamba,'' KILA MTU AKISHA PIGA KURA TAREHE 25. 10.2015 LAZIMA AONDOKE KITUONI BILA KUJALI MITA 200 NA ATAKAYE KAIDI VYOMBO VYA ULINZI NA USALAMA VITAMSHUGHULIKIA"

Dunia imesikia, Kagame amesikia na wameuona udhaifu wa Kiwete na hofu ya chama chake cha Mafisadi-CCM kuelekea kuangukia pua na hilo jambo linaonekna dhahiri kabisa labda CCM watumie mabavu kama ambavyo tayari wameshaanza kuweka mazingira.

Any act to use Police or army force to stop voters not to be within a 200 meters away from a Polling station is an intimidation to all voters. This is absolutely contradicting the Law of Election No. 104(1) issued in 1985 together with an amendment in 2010.

If Kiwete and his CCM, Policcm and his Government as a whole will stick to their gun and proceed with their plan, they will plunge this country into chaos and therefore jeopardizing our peaceful atmophere we always do enjoy in Tanzania.

CHADEMA's lawyer has filed a case against NEC/Government to oppose this sinister move by CCM government. Let Judges of the High Court of Tanzania rule the case according to the law.

God bless our country Tanzania.
 

..YES.

..demokrasia pia haina maana kwamba chama tawala lazima kishinde.

..CDM wamejielekeza kwenye kundi la vijana, na CCM wamejielekeza kwenye kundi la wanawake.

..kwa hiyo itategemea sasa Oct 25 kundi lipi kati ya hayo litajitokeza kwa wingi kupiga kura.

..mwaka 2010 walijiandikisha watu wengi lakini waliokwenda kupiga kura wachache. kwa hiyo jambo la msingi ni KUJITOKEZA kupiga kura.
 
Thats not true that STATEMENT CANT COME FROM HE PK
We have to be careful with such hoax msgs created with BAD INTENTION
 

Mbona tayari JK kaonesha demokrasia iko mbali? JK si anamalizia miaka kumi? Na hagombei tena..Kagame anafikiri yupo Mnyarwanda mwingine anaweza kumrithi?
 
Mzee Mwanakijiji watu wanayo matatizo ya kufikiri leo wanampongeza Kagame kwa speech yake hio...RIP Mtikila.
 
"Preaching about Democracy is one thing but Practising it is another thing! As East African Countries members we are witnessing whats going on in Tanzania as they are heading to their General Election;

So we are curiously looking forward seeing our best friend and the Presiding Chairman of our Community proving to us how Democracy is Practically adhered in Tanzania so as to differentiate himself from either me or Nkurunzinza!"

Kagame, Paul

SOURCE DW

kazi ipo
 
Huyu Kagame hana adabu kabisa.Yake yanamshinda sasa kwanini asumbuke na mambo ya nchi jirani?

 
ha ha ha ha,,,,acha kujitetea,,kagame ana majasusi wengi sana humu,,,hata huyo allen tutampata tu,,,just a matter of time......
Wewe ni boya sina mda wakupoteza anegy na jitu jinga!
 

Katiba inaandikwa na watu mkuu, kama watu wenyewe wakiamua wanaweza badilisha katiba kulingana na mahitaji ya watu na wakati mwafaka. Hakuna ubaya kubadili kwani katiba sio msaafu wa biblia au quran.

Ndiyo maana Mugabe anawaponda wanaong'ang'ania yeye kuondoka madaraka, ukweli ni kwamba sio kila wanachofanya wazungu kwao tuiige, wao waliona vipindi viwili vinafaa, kwetu si lazima wananchi wana haki ya kumtaka kiongozi wao aendelee kama wanaona kuna haja hiyo.

Tusike mahali wazungu nao waje wajifunze kwetu namna ya kutawala sio kila kitu kwao tu... ujinga!
 
Nimempenda sana Kagame kwakweli, tunamsubiri huyo Kikwete na goli lao la mkono anadhani dunia imelala hawaoni kinachoendelea.

Alipofikia Kikwete anaiona aibu na mwisho wa aibu ni kuona haya
 
Only Kagame na Uhuru qualify to be addressed as heads of states among the so called presidents of East African countries!

And the 3rd one is coming soon!

He is Edward Ngoyai Lowassa!
 

Dunia inawashangaa watz wanavyomshangilia tisadi. Na vilevile wanasubiri kuona kama watz wako na timamu. Atakatwa tu hata iweje, hata kwa ncha yoyote ile kidole kikimshindwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…