Hapo ni kijembe kikali mno kwa Kikwete. Nchi zote za Afrika na dunia kwa jumla wameshajua Kikwete na CCM wako kwenye hali mbaya mno mno na wanatayarisha mazingira ya kuiba kura. Umati na hamasa ya nchi nzima kwa mgombea wa UKAWA umeshafanya nchi nyingi waamini CCM inaelekea kaburini. Hata Kenye nako wanamcheka Kikwete.
mdiliko,
Kagame kampa live Rais Kiwete.
Kuna kila chembe ya ukweli kuhusu kauli ya Kagame kwamba Demokrasia si tu katika kuizungumzia baali lazima uiishi. Maana yake lazima ufanye kulingana na Demokrasia inavotaka. Siyo unawadanganya watu tuna Demokrasia ya kweli, sijui amani, mshikamano na upendo. Mambo haya Baba wa Taifa aliuita ni UPUUZI!!
Dunia yoye imemsikia Rais Kiwet siku ya maazimisho ya miaka 16 ya kifo cha Mwalimu tarehe 14/10/2015 alipotamka bila aibu kwamba,'' KILA MTU AKISHA PIGA KURA TAREHE 25. 10.2015 LAZIMA AONDOKE KITUONI BILA KUJALI MITA 200 NA ATAKAYE KAIDI VYOMBO VYA ULINZI NA USALAMA VITAMSHUGHULIKIA"
Dunia imesikia, Kagame amesikia na wameuona udhaifu wa Kiwete na hofu ya chama chake cha Mafisadi-CCM kuelekea kuangukia pua na hilo jambo linaonekna dhahiri kabisa labda CCM watumie mabavu kama ambavyo tayari wameshaanza kuweka mazingira.
Any act to use Police or army force to stop voters not to be within a 200 meters away from a Polling station is an intimidation to all voters. This is absolutely contradicting the Law of Election No. 104(1) issued in 1985 together with an amendment in 2010.
If Kiwete and his CCM, Policcm and his Government as a whole will stick to their gun and proceed with their plan, they will plunge this country into chaos and therefore jeopardizing our peaceful atmophere we always do enjoy in Tanzania.
CHADEMA's lawyer has filed a case against NEC/Government to oppose this sinister move by CCM government. Let Judges of the High Court of Tanzania rule the case according to the law.
God bless our country Tanzania.