Paul Kagame umeongea ukweli hataki unafiki!

Mbona mazombi humu ngoja nikasome mada nyingine hahaha taifa lina hasara LOH bora MAGUFULI ALETE KAZI TU!
 
Ukipenda aina ya uongozi wa kagame hamia rwanda akuongoze na siyo kuleta ujinga wake ktk jamhuri ya tz, tunamfumo wetu wenyewe
 
Kikwete, acha demokrasia ichukue mkondo wake, sisi Watanzania wapumbavu na malofa katika wingi wetu, tumeamua kwamba Rais wetu, ni Lowasaaaaaaaaa!!!! Hatuko tayari kuongozwa na Mr Push-up!!!!!!
GUME GUME wewe na nani mnataka kutuchagulia mtu ambaye mmempachika kugombea Urais kwa pesa yake?
wakati alishakataliwa
25/10/2015 asubuhi na mapema ni Magufuli hiyo ndiyo Demokrasia Kikwete atakayotuachia
 
matakwa kama yapi we omela...?

Awaache waTz wachague mtu na chama wanachokitaka. Ahakikishe tu usalama wa nchi na wananchi lakini chaguo liwe leo.

Kulikuwa na matakwa ya watu ktk mradi wa katiba mpya alichangia kuyakanyaga na kuyatupilia mbali, leo anatuacha mambo hayaeleweki.
 
PK nimpumbavu, hana lakujilinganisha na jk, mbinu zao twazifaham aache unafiki
 
Awaache waTz wachague mtu na chama wanachokitaka. Ahakikishe tu usalama wa nchi na wananchi lakini chaguo liwe leo.

Kulikuwa na matakwa ya watu ktk mradi wa katiba mpya alichangia kuyakanyaga na kuyatupilia mbali, leo anatuacha mambo hayaeleweki.

umeshamuona jk anapigia kampeni mtu tangu zianze?,,,,kwa taarifa tu miaka ya nyuma mwenyekiti wa ccm ambaye ndo rais alikua anampigia kampeini mgombea wa ccm,mwakahuu ni tofauti...bado siku nne,umeona jk kapiga kampein wapi?....
 
Ujue nyie wanyarwanda wajinga sana mnadhani jkmjinga kama kagame?
 
Kagame huna cha kutuambia wewe,kwanza umepindisha katiba,JK SIYO KAMA WEWE,MAANA YEYE MUDA WAKE UMEISHA NA ANAONDOKA,SASA KAGAME WEWE UMEKATAA KUWAACHIA WENGINE NA UTAGOMBEA TENA,HUNA TOFAUTI NA HYABIRAMA

Humuogopi?
atakutumia watu huku huku
 
Kagame huna cha kutuambia wewe,kwanza umepindisha katiba,JK SIYO KAMA WEWE,MAANA YEYE MUDA WAKE UMEISHA NA ANAONDOKA,SASA KAGAME WEWE UMEKATAA KUWAACHIA WENGINE NA UTAGOMBEA TENA,HUNA TOFAUTI NA HYABIRAMA

Acha kutokwa mapovu JK kamwachia nani? Yuko busy anahaha kuandaa majeshi kupambana na UKAWA
 
Ujue nyie wanyarwanda wajinga sana mnadhani jkmjinga kama kagame?

Matusi hayo kaka kama huna moyo mpana usichangie kwa kumtukana mtu usiemjua!!!. Naona hupendi kusikia baadhi ya waTz wanawaza nini?!
 
Ni bora ukakaa misimu mitatu hadi mitano huku ukiijenga nchi kuliko kukaa misimu miwili huku ukiifilisi nchi. Kikwete ametutia umaskini kila mahali. Si kwa safari za nje si kwandani kwenye kubadirisha mawaziri wakuu wa wilaya kama nguo za ndani. Sijaona chochote alicho tufanyia zaidi ya kuongeza deni la taifa kwa kujenga vimifereji vya bara bara. Unapewa msaada 1000 unatumia 300 kwenye miradi kisha unatumia 700 kwenye safari. Aisee ni bora tu week ijayo ifike mapema aondoke.
 
Kagame dictator yule anajifananisha na tanzania. Wapinzani hawana sauti rwanda anawaua kila siku. wakati tanzania wapinzani wapo huru mpaka wanaua wapinzani wenzao, eg chacha wangwe na mtikila. Sema mtu akila viazi na juice ya azam anaongea chochote. KURA YANGU NI KWA MAGUFURI.
 
Huyu jamaa noma. Ameanza kutekeleza yale aliyo ahidi.... I will wait for the right time and hit him hard.... where it pains.
 
umeshamuona jk anapigia kampeni mtu tangu zianze?,,,,kwa taarifa tu miaka ya nyuma mwenyekiti wa ccm ambaye ndo rais alikua anampigia kampeini mgombea wa ccm,mwakahuu ni tofauti...bado siku nne,umeona jk kapiga kampein wapi?....

Hata kama hapigi campaign direct, maelekezo na amri za wateule wake eg RC's na DC's (Kinondoni, Mwz, Rorya etc) yanawakilisha matakwa yake.
 
Amenusa nini? au ndo ule usemi wa 'jirani hakuiti mwanaume' ?
 
Tena ni bora anayebadilisha katiba aendelee kuliko anayefanya uchaguzi feki wa kuingiza pandikizi lake litakalolinda uchafu wake. Huyu ni mbaya sana sana.

Hakuna mwenye ubora hapo,wote tu hawafai anayebadilisha katiba kwa maslahi yake na anayechakachua matokeo wote ni wezi tu!ila Kagame hawezi kujifananisha hata kidogo na JK!
 
kugombea ama kutaka kumrithisha mtu kupitia polisi yote yanafanana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…