Mkuu labda lugha iliyotumika hukuilewa pengine siyo lugha rafiki sana, hajagusia ni nani anashinda au kushindwa. Alichokisema ni kuwa uchaguzi huu utakuwa ni kipimo cha demokrasia.[/QUOTE
Ndugu yangu kama huna ujuzi wa kujua misemo ya kidipromasia nakupa pole: jifunze kuwasilisha ujembe wa kukejeli kwa mtu anayeshikilia cheo cha juu mfano rais, waziri, mkurugenzi, boss wako au mtu wa kawaida bila kutia chachu ya wazi wazi: hapa PK amemnywa vijembe jk na kwa waelevu na wasomi wanajua lugha ya kumkejeli msomi au mwanadipolomasia mwenzao..
Acha kudandia dandia kama kahaba wewe... nimemijib mtu mwingine wewe unarukia! Kama unawashwa sema, utafutiwe wakunaji.Sasa kama ni feki kwanini unapoteza muda wako kutetea vitu feki?
Hapa wanajadiliwa wanasiasa na Mbowe ni mwanasiasa! Sasa umetumia vigezo gani kumuungiza mama angu kv tu nimekuuliza ulitaka asimamishwe Mbowe?Halafu eti vikojozi.,,, sasa unafikiri mie ndo nitakuogopa? Btw, umejuaje kama mimi ni kikojozi kama sio kwamba nilikukojolea? Kwa taarifa yako matusi hayauzi na kama unajifanya unajua kutukana sana, we endelea tu.
Bwn ...Chige usitete ujinga hapa...Kagame anabadilisha katiba kwa matakwa ya Wananchi wake wenyewe....Huu ni wakati wa RAIS KIKWETE kuonyesha democrasia kwa vitendo ndani ya uchaguzi huu...
Usilinganishe Rwanda na Tanzania,Rwanda ni kama kijimkoa tu hapa kwetu.
Kwa Watanzania, anachoongea Kagame si demokrasia bali hasira za kuondolewa DRC kwa kichapo
Ni mmoja wa watu wanaosubiri machafuko Tanzania na huenda hata kuchochea kwa aina fulani
Tuwe waangalifu
JokaKuu
Acha kudandia dandia kama kahaba wewe... nimemijib mtu mwingine wewe unarukia! Kama unawashwa sema, utafutiwe wakunaji.
Acha kudandia dandia kama kahaba wewe... nimemijib mtu mwingine wewe unarukia! Kama unawashwa sema, utafutiwe wakunaji.
Nani akuombe huruma choko wewe? We kwa akili yako mtu kama mimi naweza kutishwa na macho'oko dizaini yako?Nipenda sana hilo la kuomba huruma! Na ukome! Mada ikwekwa hapa soma kwa makini ujue inazungumzia nini! Vi ginevyo Nitazidi kukutembeza kindumbwe ndumbwe!
Kagame huna cha kutuambia wewe,kwanza umepindisha katiba,JK SIYO KAMA WEWE,MAANA YEYE MUDA WAKE UMEISHA NA ANAONDOKA,SASA KAGAME WEWE UMEKATAA KUWAACHIA WENGINE NA UTAGOMBEA TENA,HUNA TOFAUTI NA HYABIRAMA
Nimependa maneno ya Paul Kagame ameongea ukweli na siyeye tu bali ni jamii yote ya kimataifa wanasubiria huu uchaguzi kwa hamu maana sisi tumekuwa wakwanza kuwanyoshea wenzetu vidole utadhani sisi ni makaika!Haya sasa mpira huko kwetu kupiga penati je tutapaisha au tutalenga goli???
Kumbe naongea na wazee! Kumbe zee zima halafu unaanza matusi kwenye mitandao unadhani utapewa heshima ya baba hapa? We boya kweli...Haya matusi yalikuwa maarufu sana vijiweni miaka ya 80. Halafu mtu akisema hivyo alikuwa nanonekana bonge la mjanja! Kumbe bado kuna idiots bado wanaishi zile zama
Kwanza sina hakika kama hiyo taarifa ni ya kweli! Lakini kama ni kweli, hilo kwenzi lipo wapi? Yeye anataka kuona ikiwa JK atakuwa tofauti na yeye au Nkurunzinza-- mpaka hapa tulipo tayari JK ameshajitofautisha na Kagame na Nkruzinza coz' wakati Nkruziza tayari ameshang'ang'ania madaraka huku PK na timu yake wakiwa mbioni kubadili katiba ili PK achukue msimu wa tatu; tayari JK ameshaonesha dhahiri kwamba anaondoka baada ya muda wake kwisha!
Mantiki ya msg kuangalia ikiwa kuna utofauti wowote kati ya JK kwa upande mmoja na PK and Nkrunzinza kwa upande mwingine! Kwanza nimesha-confirm hiyo message ni fake... haipo kwenye a/c yoyote ya PK! Lakini kwa upande mwingine kutaka kulinganisha demokrasia kati ya Tanzania VS Burundi na Rwanda; ni kichekesho ambacho hakina maana yoyote unless mtu awe anajadili kwa kuangalia political interests.
Siyo hata Kijimkoa,Rwanda kwa Tanzania ina Km za Mraba kama "Wilaya mpya ya MLELE"-iliyopo mkoa mpya wa KATAVI.Yaani hata KAYA YA MKURYA ni Kubwa kuliko Rwanda.Kulinganisha Tanzania na Rwanda ni Upumbavu uliokithiri
Kagame ni jembe
Hawana tofauti kwani huyu naye hataki matakwa ya watu. Anataka aturithishe mtu wake wa kulinda maslahi yake, hataki kusikia kuwa ccm iko hatarini
Sasa ma RC na DC wanalazimisha matakwa ya boss
IM, let's b honest here... I know we're not that good but we're far better compared to hao akina PK! Hata kama tutaamua kujadili one pillar of democracy after another, bado huwezi kutulinganisha na Rwanda!sawa bt pamoja na yote ni vizuri tukatambua na kuchua general theme ambayo ipo katika kuelewa tofauti kati ya preach and practice of what you have been preaching and teaching fellows to shape their practices. I think this is just a theme not to be taken for granted