Moshe Dayan uko sahihi.. huyu bwana tulimfundisha mambo mengi sana na hayo ndiyo yalimpa mbinu za kumsaidia M7 kuichukua uganda...leo unapomuona amegeuka na kututolea maneno ya ajabu hakuanza leo.....wakati anatoka huko kansas marekani kusoma wakti huo fred rwigyema alikuwa ndio mkuu wa kikosi na kagame msaidizi. ni huyu huyu kagame aliyepanga mauaji ya fred rwigyema baada ya kuona kwamba anakubalika sana na alijua wakiitwaa rwanda ndiye angekuwa rais wa rwanda...
kagame aliandaa mpango mahususi wa kumueliminate fred...na amlimtumia kijana mmoja anaitwa ntanyambire ambaye alikuwa sniper.. kijana huyo akatekeleleza mauaji ya fred...maiti ya fred rwegyima walikaa nayo kwa siri hawa kina kagame kwa mwezi mmoja na ndipo kagame akatoa taarifa kwa M7 kuwa fred rwigyima ameuawa na kikundi cha watu watatu aliowataa kuwa ni
Major Peter Bayingana, Major Chris Bunyenyezi na Major Frank Munyaneza .
mseveni alichukia sana baada ya kupata taarifa hizo na hao waliohusika na mauaji ya fred..kumbuka fredi alikuwa rafiki mkubwa sana wa M7 na alimpenda sana...hivyo M7 akamtuma mdogo wake aliyeitwa ally saleh kwenda kuhakikisha hawa watutu waliomuua fredi rwegyima nao wanauawa...majaor ally saleh alitekeleza mauaji hayo kwa mpigo...
baada ya seke seke hilo hapo ndipo kagame sasa akapata mwanya wa kuwa mkuu wa kikosi hadi wakaitwaa rwanda na yeye kuwa rais..
kwa hiyo basi kagame hakuanza leo kudanganya na kusingizia...alimuingiza mkenge mseven kwa kumwaminisha kwamba fred ameuawa na hao jamaa niliowataja hapo juu...lakini ni yeye alikuwa nyuma ya mpango mzima..
ndio tulimfundisha mbinu nying..tradecraft na spycratf kibao..lakini leo anapotuletea dharau hatuwezi kumwacha hivi hivi...