Paul Kagame: Tanzania's own spy

Paul Kagame: Tanzania's own spy

Siamini medani za 1978-2013 kama zipo sawa kwa sasa hivi technology ni pana sana hivyo siyo raisi kwake pili Tanzania naikubali kwa security iko imara sana na hapa lazima wanafanya kazi usiku na mchana kuhakikisha kila kitu kipo sawia!
 
Mkuu,
Moshe Dayana.

Kwani ninyi huko TISS hamuwezi kumuondoa Kagame pale alipo ama kumpatia onyo kali kwa kumuandikia barua na kumuwekea kwenye meza yake pale Ikulu...Kigali ??
 
walikua wote in the so called Uganda bush war na hao watu niliokutajia na baadae kagame alikua chief wa security ya museven, now jiulize, are they friends or enemies??

Lakini pia Dr (Medical Doctor) Kiizya Besigye alikuwa daktari wa Yoweri Museveni in the very same struggle!

Gen. Moshe Dayan, kwa fikra zangu, "urafiki" wakati wa "vita vya msituni" na "urafiki" wakati mkiwa "mmeshikilia dola" ni vitu viwili tofauti sana! Vita vinapomalizika, maana yake "urafiki" wenu umeshia hapo!
 
Hata sisi tumetumiwa sana na wazungu kushushia na kupitisha silaha za kwenda Congo, as a result DRC haina amani.
 
Tanzania trained him to be a world class spy, why is he turning against his mentor!? if there are misunderstandings, why cant diplomacy take the first course?? It was 1978 in a secret espionage farm(somewhere in morogoro), paul kagame was recruited, trained and eventually served as our informer and a spy in different top secret missions. why is this killing machine malfunctioning now!? Baada ya kumaliza mafunzo, hata Marekani ilimtambua kwa uwezo wake wa infiltration na counter espionage skills, kiasi kwamba ilimpa nafasi asome command and general staff college huko Kansas. PK Akiwa na Yoweri Museveni, Obote, Okello, Oyite Ojock, Yusuf Lule, Fred Rwigyema na majasusi waliokubuhu wa Tanzania, walikutana kwa siri Kilimanjaro, mwaka 1979,in a secret meeting called THE MOSHI CONFERENCE na kuunda "KIKOSI MAALUM" kilichotangulia na baadhi ya majasusi ndani ya Uganda kuendeleza insurgency covert operations wakati majeshi ya TPDF yakisonga mbele. Hii timu ilikua pia na David Sejusa Tinyefunza, jasusi kuu la Uganda(SPY CHIEF) aliyepishana kauli na M7 na kuamua kukimbilia UK.Tanzania made them what and who they are now, powerful and intimidating.Timu hiyo ilifunzwa unprecedented guerrilla tactics kama tulizowafunza wenzetu wa kusini mwa Afrika na ndio maana PK akiwa bega kwa bega majasusi wenzetu na Fred Rwigyema ambaye aliuwawa kwenye battle waliweza kuingia hadi Kigali kwa kupitia Uganda Virunga Mountains baada ya kutumikia UPDF kama security chief wa M7.A "cold war" highly fueled by media should be stopped and let the old memories flourish.If we had same belief or ideology, why should we differ now..???

Kagame hana akili yeyote kama unavyojitahidi kumsifia hapa....! Ni mtu dhaifu kama afya yake ilivyo....! Kazi kubwa wamefanya akina Nyamwasa, Kabarebe, Nziza etc....! Historia inaonesha alifeli masomo ya sekondari na Rwigyema ndiye aliyemshawishi kuingia jeshini..!

Hata kwenye chuo kule Marekani hakumaliza ndio maana hakuwahi kuvaa nembo ya chuo kile......kwa vile aliitwa kuongoza RPF baada ya Rwigyema kuuawa...!

Ni mtu asiyependa maendeleo ya wenzake na ndio kisa cha kugombana na akina Salim Saleh na kuanzisha rebellion ya kurudi Rwanda....! Hata aliposikia Nyamwasa anataka kwenda UK kusoma command and staff college roho ilimuuma na kumuuliza iweje aende shule na huku vita inaendelea Congo.....ambapo Nyamwasa alimjibu mjumbe wake kuwa 'mwambie Paul asiwe na wasiwasi najua hata nikurudi nitakuta vita inaendelea......!'
 
Mkuu,
Moshe Dayana.

Kwani ninyi huko TISS hamuwezi kumuondoa Kagame pale alipo ama kumpatia onyo kali kwa kumuandikia barua na kumuwekea kwenye meza yake pale Ikulu...Kigali ??

Dah! JF bwana........
 
Moshe Dayan uko sahihi.. huyu bwana tulimfundisha mambo mengi sana na hayo ndiyo yalimpa mbinu za kumsaidia M7 kuichukua uganda...leo unapomuona amegeuka na kututolea maneno ya ajabu hakuanza leo.....wakati anatoka huko kansas marekani kusoma wakti huo fred rwigyema alikuwa ndio mkuu wa kikosi na kagame msaidizi. ni huyu huyu kagame aliyepanga mauaji ya fred rwigyema baada ya kuona kwamba anakubalika sana na alijua wakiitwaa rwanda ndiye angekuwa rais wa rwanda...

kagame aliandaa mpango mahususi wa kumueliminate fred...na amlimtumia kijana mmoja anaitwa ntanyambire ambaye alikuwa sniper.. kijana huyo akatekeleleza mauaji ya fred...maiti ya fred rwegyima walikaa nayo kwa siri hawa kina kagame kwa mwezi mmoja na ndipo kagame akatoa taarifa kwa M7 kuwa fred rwigyima ameuawa na kikundi cha watu watatu aliowataa kuwa ni Major Peter Bayingana, Major Chris Bunyenyezi na Major Frank Munyaneza .

mseveni alichukia sana baada ya kupata taarifa hizo na hao waliohusika na mauaji ya fred..kumbuka fredi alikuwa rafiki mkubwa sana wa M7 na alimpenda sana...hivyo M7 akamtuma mdogo wake aliyeitwa ally saleh kwenda kuhakikisha hawa watutu waliomuua fredi rwegyima nao wanauawa...majaor ally saleh alitekeleza mauaji hayo kwa mpigo...

baada ya seke seke hilo hapo ndipo kagame sasa akapata mwanya wa kuwa mkuu wa kikosi hadi wakaitwaa rwanda na yeye kuwa rais..

kwa hiyo basi kagame hakuanza leo kudanganya na kusingizia...alimuingiza mkenge mseven kwa kumwaminisha kwamba fred ameuawa na hao jamaa niliowataja hapo juu...lakini ni yeye alikuwa nyuma ya mpango mzima..

ndio tulimfundisha mbinu nying..tradecraft na spycratf kibao..lakini leo anapotuletea dharau hatuwezi kumwacha hivi hivi...
 
kila jambo na wakati kila kitu hufanyiwa kazi kwa wakati husika.
 
uko sahihi sana....kama Rwigyema angekuwepo angekuwa President.
 
Tanzania trained him to be a world class spy, why is he turning against his mentor!? if there are misunderstandings, why cant diplomacy take the first course?? It was 1978 in a secret espionage farm(somewhere in morogoro), paul kagame was recruited, trained and eventually served as our informer and a spy in different top secret missions. why is this killing machine malfunctioning now!? Baada ya kumaliza mafunzo, hata Marekani ilimtambua kwa uwezo wake wa infiltration na counter espionage skills, kiasi kwamba ilimpa nafasi asome command and general staff college huko Kansas. PK Akiwa na Yoweri Museveni, Obote, Okello, Oyite Ojock, Yusuf Lule, Fred Rwigyema na majasusi waliokubuhu wa Tanzania, walikutana kwa siri Kilimanjaro, mwaka 1979,in a secret meeting called THE MOSHI CONFERENCE na kuunda "KIKOSI MAALUM" kilichotangulia na baadhi ya majasusi ndani ya Uganda kuendeleza insurgency covert operations wakati majeshi ya TPDF yakisonga mbele. Hii timu ilikua pia na David Sejusa Tinyefunza, jasusi kuu la Uganda(SPY CHIEF) aliyepishana kauli na M7 na kuamua kukimbilia UK.Tanzania made them what and who they are now, powerful and intimidating.Timu hiyo ilifunzwa unprecedented guerrilla tactics kama tulizowafunza wenzetu wa kusini mwa Afrika na ndio maana PK akiwa bega kwa bega majasusi wenzetu na Fred Rwigyema ambaye aliuwawa kwenye battle waliweza kuingia hadi Kigali kwa kupitia Uganda Virunga Mountains baada ya kutumikia UPDF kama security chief wa M7.A "cold war" highly fueled by media should be stopped and let the old memories flourish.If we had same belief or ideology, why should we differ now..???

Dah, Kama Tanzania imeweza kuwatrain raia wa nje wakafikia kiwango cha juu cha ujasusi, basi watanzania wala msiwe na wasiwasi. ina maana kuna watanzania kibao wana level ya kagame na hata kumzidi. sema tu Tanzania ni nchi ya amani na kila mtu ana nidhamu kwa mamlaka. sema inapotokea tunachokozwa basi hapo ndipo inakuwa balaa. hebu fikiria, tumewezesha nchi za Angola, Msumbiji, Zambia, Zimbabwe, Namibia, South Afrika na nyenginezo kujipatia uhuru. pia tumeangusha utawala wa Idd Amini, itashindikana kwa hiki kikaragosi?
 
Yaaaah...!!
Lazima watu waingie mpaka Ikulu yake ya Kigali bila hata ya kuonekana kwenye CCTV alafu tunamuamsha usingizini akiwa na mkewe na kumpa onyo kali na kuondoka zetu

Akiamka asubuhi ndio atakuwa na akili akijua hatukumpatia mbinu zoote zingine tulizibakiza
 
duhh mzee umri wako utakuwa umekwenda sana
maana umemwaga nondo za kitambo sana.. duhh hongera sana

SASA KWA KIFUPI TU UNADHANI KAGAME NI WA KUTUTISHA KIASI HIKI?/ AU SASA ANATUMIKA NA WATU WA MAGHARIBI KUVURUGA AMANI NA HIVI TUNARASILIMALI HIZI NA YEYE HANA HUONI KWAMBA ANAWEZA KUTUMIKA??

JE TUAMINI HUKO KWENYE SECURITY YETU MKO MAKINI NA WATZ WASIWE NA WASIWASI?? AMA...

Back
Top Bottom