Paul James(PJ) na Babra wa Clouds FM mnaboa sana | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Paul James(PJ) na Babra wa Clouds FM mnaboa sana

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Sizinga, Jul 25, 2011.

 1. Sizinga

  Sizinga JF-Expert Member

  #1
  Jul 25, 2011
  Joined: Oct 30, 2007
  Messages: 7,918
  Likes Received: 451
  Trophy Points: 180
  Nianze tu kusema nimebakiza 5% kusikiliza vipindi vya CloudsFm na hii ni kwenye PowerBreakfast tu na nasikiliza sehemu
  ya Jicho la ng'ombe(), Bonge na habari za magazetini(PJ) na badae naizima au natune radio nyingine.

  Kinachonishangaza huyu PJ sijui nani anamsomea haya magazeti?? na kama umetumwa kumsomea mtu/watu flani ni bora useme tujue. Habari nyingi za front page hasomi kwa madai eti za siasa sana na yeye hapendi siasa, sasa huu uadilifu wa kazi yako hapo studio?? kama wewe hupendi na waskilizaji wako je??kwani wewe upo hapo studio kwa ajili yako mwenyewe au la??sasa sikia soma habari zote za siasa kwani unanikwaza/tukwaza wengi sana kwa kurukaruka habari mpya(zisizo jirudia), na ikiendelea hivi basi mnajichimbia kaburi wenyewe.

  Huyu Badra kazidisha matangazo jamani, yani anawakatisha mno watangazi wengine then anaweka matangazo ya biashara meeeengi, inaboa sana, matangazo ya biashara na taarifa za msingi hayana ratio, kipindi kinaendesha dakika 1, matangazo dk 5,so boring, mbona PB ya jumamosi haipo hivyo??ila mkikaa nini tu basi taabu tupu.

  Nadhani sina muda mrefu nitakuwa nishaihama hii raadio kama mwendo wenyewe utakuwa hivi, coz wakina kibonde nishawaweka blacklist tayari kwa kupwaya kwenye vipindi vyao.
   
 2. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #2
  Jul 25, 2011
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,303
  Likes Received: 166
  Trophy Points: 160
  Huna CD za kusikiliza?
   
 3. rosemarie

  rosemarie JF-Expert Member

  #3
  Jul 25, 2011
  Joined: Mar 22, 2011
  Messages: 6,767
  Likes Received: 1,023
  Trophy Points: 280
  aisee!wengi wemelalamika labda hawa jamaa hawaingii jf
   
 4. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #4
  Jul 25, 2011
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,651
  Likes Received: 35,406
  Trophy Points: 280
  Here we go again....it never goes a day without Clouds being mentioned in here!
   
 5. bht

  bht JF-Expert Member

  #5
  Jul 25, 2011
  Joined: May 14, 2009
  Messages: 10,341
  Likes Received: 209
  Trophy Points: 160
  wanamwita 'Babra' na si Badra. Hao ni watu wawili 'tofauti'.

  Matangazo ya biashara ni makubaliano kati ya redio na makampuni husika. Kwa uelewa wangu hayo makubaliano ni binding (na kuna makubaliano ya muda gani yarushwe).

  Sasa ukitaka kipindi kiendeshwe bila hayo matangazo, sioni hilo likitokea.
   
 6. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #6
  Jul 25, 2011
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,224
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Kama unataka habari za gazetini nunua lako.
   
 7. bht

  bht JF-Expert Member

  #7
  Jul 25, 2011
  Joined: May 14, 2009
  Messages: 10,341
  Likes Received: 209
  Trophy Points: 160
  Haswa! Maana ukitaka wakusomee sasa magazeti nani anunue, si ndo kuua biashara za wengine?Kiukweli, kwanza clouds wanajitahidi anagalau, redio wani wao ndo wana 'skim' kweli kweli. Kichwa cha habari tu basi. (mara nyingi)
   
 8. rosemarie

  rosemarie JF-Expert Member

  #8
  Jul 25, 2011
  Joined: Mar 22, 2011
  Messages: 6,767
  Likes Received: 1,023
  Trophy Points: 280
  ile ni redio mkuu
   
 9. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #9
  Jul 25, 2011
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,651
  Likes Received: 35,406
  Trophy Points: 280
  Vituo vya redio Tanzania sasa viko vingapi? Kama hupendi hiki si sikiliza kile....lakini wapi...kila siku Clouds Clouds....endeleeni tu kuwapa free promo....na ukweli wa mambo ni kwamba Clouds wako juu kama mawingu. Take that!
   
 10. Sizinga

  Sizinga JF-Expert Member

  #10
  Jul 25, 2011
  Joined: Oct 30, 2007
  Messages: 7,918
  Likes Received: 451
  Trophy Points: 180
  Nadhani ni Badra coz kuna mtu aliandika msg Babra, yeye akaknusha akasema Badra..ina 'd'
   
 11. Sizinga

  Sizinga JF-Expert Member

  #11
  Jul 25, 2011
  Joined: Oct 30, 2007
  Messages: 7,918
  Likes Received: 451
  Trophy Points: 180
  Wana bahati sana nipo mkoani, nikwa dsm nasikiliza magicFm...wako pouwa mbaya
   
 12. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #12
  Jul 25, 2011
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,837
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  sizinga... Ni Barbara (Babra) sio Badra

  Kuhusu gazeti, na mimi naungana na PJ... siasa za bongo ni 90% kamba

  Bora hata asome maatangazo hata ya biashara kwenye magaazeti.... all newspapers a biased big time

  Hata yale matangazo si wao bali ni idara nyingine ndio inaratibu promosheni/advert/commercial.. wao ni kusoma au kutangaz tu
   
 13. Mwendabure

  Mwendabure JF-Expert Member

  #13
  Jul 25, 2011
  Joined: Mar 10, 2011
  Messages: 2,051
  Likes Received: 277
  Trophy Points: 180
  Habari za magazetini huwa nasikiliza Radio Free Africa saa 12:30asb au Radio Tumaini FM saa 2:00asb. Suala la matangazo haliepukiki RFA wana wadhamini watatu ktk kipindi kimoja. Tumaini siku hizi wameiga porojo zisizo na sababu nadhani wamegundua wanaachwa nyuma kwa mikelele, hasa baada ya Scolastica Mazulla kuhamia Times FM ambako anapiga porojo na Massoud Kipanya. Ukweli inakubidi uchague kituo ambacho walao utapata ahueni ya moyo..! Vingenevyo utabwia sumu kwa kero za Bwabwaja FM.
   
 14. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #14
  Jul 25, 2011
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,651
  Likes Received: 35,406
  Trophy Points: 280
  Kweli Watanzania hamjazoea anuai ya vyombo vya habari na ndiyo maana manung'uniko yasiyo na msingi ni mengi! Ila wewe angalau umekuja na kusema unawasikiliza wengine.
   
 15. Belo

  Belo JF-Expert Member

  #15
  Jul 25, 2011
  Joined: Jun 11, 2007
  Messages: 11,262
  Likes Received: 4,236
  Trophy Points: 280
  Kipingi kilikuwa kizuri enzi za Masoud Kipanya na Fina Mango
   
 16. bht

  bht JF-Expert Member

  #16
  Jul 25, 2011
  Joined: May 14, 2009
  Messages: 10,341
  Likes Received: 209
  Trophy Points: 160
  Sinziga mbona una sound kama unajiadhibu? Ukisikiza au usisikize hiyo radio ni juu yako tu! Wao hawatasitisha kipindi.

  You have a wide choice...

  Sikiza radio tz (sijui ndo tbc taifa siku hizi) hiyo ipo kila mkoa nadhani.
   
 17. Mwita Maranya

  Mwita Maranya JF-Expert Member

  #17
  Jul 25, 2011
  Joined: Jul 1, 2008
  Messages: 10,569
  Likes Received: 104
  Trophy Points: 145
  Masahihisho madogo, anaitwa babra sio badra,

  Ushauri wangu jitahidi kuamka mapema kidogo, tafuta magic fm unasoma magazeti mwanzo mwisho. Ukitoka magic fm hamia RFA unasoma magazeti tena mwanzo mwisho.

  Ukimalizana na hao sasa unaweza kwenda clouds kusikiliza porojo za babra, hando na pijei.
   
 18. bht

  bht JF-Expert Member

  #18
  Jul 25, 2011
  Joined: May 14, 2009
  Messages: 10,341
  Likes Received: 209
  Trophy Points: 160
  binafsi napenda mtazamo wa PJ na Hando kwenye habari za siasa kwenye magazeti....hamna jipya! Sasa ya nn wapoteze muda! Si waweke matangazo ya biashara tu kampuni ijipatie fedha!
   
 19. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #19
  Jul 25, 2011
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,303
  Likes Received: 166
  Trophy Points: 160
  Jamani muwe mnanunua magazeti msisubirie kwenye radio mnafikiri hayo magazeti yatajiendesha vipi? Umesikia bht.....and others
   
 20. Mzito Kabwela

  Mzito Kabwela JF-Expert Member

  #20
  Jul 25, 2011
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 17,515
  Likes Received: 1,684
  Trophy Points: 280
  Au tazama ATN
   
Loading...