Pata nafasi ya kumwona Raisi wetu Kikwete akiwa na Raisi Clinton leo LIVE

Asijeomba vyandarua vya kitanda cha futi nne! hivi akiulizwa chanzo cha utapiamlo anaweza kujibu vipi kumbe vile? .....
 
huu ni upumbavu.nchi yetu ipo gizani hivi sasa kuna faida gani kuzurura ughaibuni kwa mambo madodogo ?
 
CGI Live - live streaming video powered by LivestreamI kipindi cha dakika 30 tu,kwa sasa Askofu Tutu ndio anaongea
 
Au kaalikwa kufungua NGO gani tena leo? ya Nutrition? afadhali sana Rais wetu kaenda mwaya kututafutia wanae! Haya all da best kwa wale watakaoweza kusikiliza!
 
Jibu swali, tutaangalia na nini wakati hakuna umeme. Nyie mmeajiriwa na Rais, lakini kazi zenu ni kumdanganya? Mwache aonyeshe suti za kuhongwa siye hatuna umeme wa kumwangalia nayo. Ampigie Riz1 wana-kiduku wote ikulu waangalie. Nyambafff

kwani si imetangazwa kuwa umeme wa mgawo tena ni ndoto? ama ilikuwa ni danganya toto?

pamoja daima,kwa pamoja tutafika
 
Siwezi kuangalia Mkweere anavyotuabiosha coz ngeli yenyewe hajui na wala usijaribu kumwita eti kikwete ni mtaalam wa nini kuchakachua kura au katika nini mzembe tu hana jipya, najua mmemwandikia shida itakuja akipigwa swali la papo kwa papo ataanza kujikanyaga anatafuta mahali pa kudesa haoni. Hana jipya kwa watz angekuwa na jipya angejaribu kutoa basi hata hotuba za kila mwezi nazo zomemshinda. For ten yrs i count we don't have a president in my country
 
[h=1]#CGI2011 Breakout: Global Nutrition w/ Nicholas Kristof & President Kikwete[/h]Event is LIVE NOW!
calendar-live_now.png
 
Hivi nyie watu wa kikwete, mnajua kweli kwamba tuna macho yetu humo ukumbini?

kutoa taarifa sio lazima uwe mtu wa fulani,hili ni jukwaa huru nami nimeona ni swala jema wanajamii wakajumuika na Raisi wao

lakini mpaka sasa kipindi kimeanza lakini mkuu wa nchi haonikani
 
eeh mr retired president we have a growing economy now,as u can see traffic jam is becuse many people own car nowadays,if you come again you will see a queue from airport to state house takes two hrs
 
eeh mr retired president we have a growing economy now,as u can see traffic jam is becuse many people own car nowadays,if you come again you will see a queue from airport to state house takes two hrs hahaha
 
kutoa taarifa sio lazima uwe mtu wa fulani,hili ni jukwaa huru nami nimeona ni swala jema wanajamii wakajumuika na Raisi wao
lakini mpaka sasa kipindi kimeanza lakini mkuu wa nchi haonikani

Huyo rais wenu amekula mitini. ana wasiwasi waanaume watamfuate huko ukumbini. au lugha ndo haipandi?...oops nilisahau anatembea na mikanda ya kiduku. Pengine anakata mauno hotelini. Mpuuzi kweli Vasco Dagama. Kala mitini huyo msanii. hapa ata swali hatoweza kujibu matokeo yake atakuwa

"dheee dhee dhee dhee developmenti in dheee dheee dheee in Tanzania is glowing... dheee dheee dhee public sector is theeeeeee"
 
Kikwete hayupo kwenye kipindi hiki. Kimedhaminiwa na Clinton Global Initiative lakini Clinton mwenyewe hashiriki. Mjadala mzuri lakini, without Kikwete.
 
#CGI2011 Breakout: Global Nutrition w/ Nicholas Kristof & President Kikwete

Event is LIVE NOW!
calendar-live_now.png

Kwa wale watakao kuwa karibu na mitandao ya internet basi mnaweza kupata nafasi ya kumshuhudia Raisi wetu wa Jamhuri ya Muungano Mh Jakaya Kikwete akiwa na Raisi Mstahafu wa marekani Clitoni katika mahojiano ya moja kwa moja yanayo husu.
#CGI2011 Breakout: Global Nutrition w/ Nicholas Kristof & President Kikwete

Itumie nafasi hii kuona wataalamu wakichambuwa mada mbalimbali zinazohusu maisha yetu sisi waafrika kwa ujumla

CGI Live - live streaming video powered by Livestream[/QUOTE]

Ili iweje?? Kwa wakati huo nitakua busy naangalia ducumentary yenye maelekezo juu ya kilimo cha dengu Kijijini Kidababia.
 
#CGI2011 Breakout: Global Nutrition w/ Nicholas Kristof & President Kikwete

Event is LIVE NOW!
calendar-live_now.png

Kwa wale watakao kuwa karibu na mitandao ya internet basi mnaweza kupata nafasi ya kumshuhudia Raisi wetu wa Jamhuri ya Muungano Mh Jakaya Kikwete akiwa na Raisi Mstahafu wa marekani Clitoni katika mahojiano ya moja kwa moja yanayo husu.
#CGI2011 Breakout: Global Nutrition w/ Nicholas Kristof & President Kikwete

Itumie nafasi hii kuona wataalamu wakichambuwa mada mbalimbali zinazohusu maisha yetu sisi waafrika kwa ujumla

CGI Live - live streaming video powered by Livestream

yaani nitumie bandwidth yangu kwa ajili ya kutizama 'nazi ya bagamoyo'?

naenda kula mdudu; that's the best i can do for myself today, at least.
 
huu ni upumbavu.nchi yetu ipo gizani hivi sasa kuna faida gani kuzurura ughaibuni kwa mambo madodogo ?

Ukweli nchi iko gizani na yy kama raisi alitakiwa kutoa ufumbuzi. Lakin pia ungejua tatizo la njaa na malnutrition kwenye horn of africa kwamba limevuta hisia za ulimwengu mzima usingesema eti "mambo madogo madogo" huyu ni raisi wa Tanzania lakin pia ana majukumu mengine nje ya Tanzania. Kusema hivi simaanishi kwamba namkubali JK hata kwa 20%.
 
Back
Top Bottom