Pata nafasi ya kumwona Raisi wetu Kikwete akiwa na Raisi Clinton leo LIVE

#CGI2011 Breakout: Global Nutrition w/ Nicholas Kristof & President Kikwete

Event is LIVE NOW!
calendar-live_now.png









Kwa wale watakao kuwa karibu na mitandao ya internet basi mnaweza kupata nafasi ya kumshuhudia Raisi wetu wa Jamhuri ya Muungano Mh Jakaya Kikwete akiwa na Raisi Mstahafu wa marekani Clitoni katika mahojiano ya moja kwa moja yanayo husu.

#CGI2011 Breakout: Global Nutrition w/ Nicholas Kristof & President Kikwete

Itumie nafasi hii kuona wataalamu wakichambuwa mada mbalimbali zinazohusu maisha yetu sisi waafrika kwa ujumla

CGI Live - live streaming video powered by Livestream

Englomtera, nakuomba ukishamwangalia, urudi hapa jamvini utueleze huyo Vasco Da Gama kasema nini huko nje ya Tanzania analoshindwa kulisema hapa nchini tukamsikiliza. Kama kweli wapo wataalamu wanachambua mada, nina hakika huyo jamaa yetu atatoka kapa tu na kama atatakiwa na yeye kuchangia ni heri nisimwangalie nisije nikavunja TV yangu. Kumsikiliza Kikwete kwataka moyo na ujasiri usio wa kawaida na ni ujasiri unaopatikana tu kwa wana CCM ambao kwa ubwabwa wako tayari kuuza utu wao. Nakutakia usikilizaji mwema !
 
Ukweli nchi iko gizani na yy kama raisi alitakiwa kutoa ufumbuzi. Lakin pia ungejua tatizo la njaa na malnutrition kwenye horn of africa kwamba limevuta hisia za ulimwengu mzima usingesema eti "mambo madogo madogo" huyu ni raisi wa Tanzania lakin pia ana majukumu mengine nje ya Tanzania. Kusema hivi simaanishi kwamba namkubali JK hata kwa 20%.

na tutambuwe kuwa kwa Tanzania tunamatatizo makubwa sana juu ya chakula hususani kwa vijana wetu wasomao shule za msingi,lakini pia hapa wanazungumzia mambo mengi yahusuyo effects za technolojia ktk vyakula nadhani angekuwepo mkuu tungepata mengi kutoka kwake
 
Back
Top Bottom