HahahaAkuje amufufue Mwalimu Nyerere ili jiwe atimuliwe
Alafu ninjuavyo mm mtu akitoka kwenye kupoteza fahamu hua akija kuzinduka lazma apige chafyaHuyo marehemu gani kafufuka na aibu ukitizama picha ya mwisho marehemu anabana miguu ili asichunguliwe/ kuacha nyeti zake nje.
Alafu kwa mujibu wa wanasayansi mtu akifa kumbukumbu zake nyingi hutoweka hao mbona wana kumbukumbu za kufanya vitu vya kujifunza kama kujistiri.
Ni kama utani mzee lakini ipo siku itawezekana, kuna vitu vikubwa sana vinaendelea huko dunia ya kwanzaHakuna kitu kama hicho na hakita tokea milele
Vitanda vya hospitalihumo walipolala ni majeneza au zilichaguliwa maiti maalum za kufufua?
kwa hiyo vilibebwa toka hospitali? vizuri. waendelee kumtolea sadaka pasta wao.Vitanda vya hospitali
Mkuu adi daktari alikwepo kuthibitisha kama hao watu wamekufa kwelikwa hiyo vilibebwa toka hospitali? vizuri. waendelee kumtolea sadaka pasta wao.
Alpha Lukeu strikes again and this time claimed to have resurrected 6 people and this time around a supposed medical doctor was around with their death certificates or something..
Source: SNBCView attachment 1085358View attachment 1085359View attachment 1085360View attachment 1085361View attachment 1085362View attachment 1085363
Hivi hawa wafu kwanini hawawekewi pamba kuziba matundu ya mwili such as pua, mdomo, masikio e.t.c?
Dunia ilivyo ya ajabu huyo mchungaji akifiwa na ndugu zake hawafufui
Kwa kweli South Africa ni nchi ambayo unaweza fanya lolote lile,ndo maana hata wauza madawa wengi wanaishi huko.Jamani huu ni uongo wa hali ya juu;Na wapo watakaoamini.Wafu gani hata kufungwa Sanda hawajafungwa.
Ni kama utani mzee lakini ipo siku itawezekana, kuna vitu vikubwa sana vinaendelea huko dunia ya kwanza
Dunia ilivyo ya ajabu huyo mchungaji akifiwa na ndugu zake hawafufui
Wambie ndugu ukifa wewe wamtafute ili ufufuliweSawa, nikifiwa nitamtafuta