Basi angalau atufufulie mzee Mengi mkrugenzi wa ippwanasema nabii hakubaliki kwao.
Kweli aiseBasi angalau atufufulie mzee Mengi mkrugenzi wa ipp
Hahaa Jamaa ndiye bingwa wa uwongo kwa sasa dunianiHuyo marehemu gani kafufuka na aibu ukitizama picha ya mwisho marehemu anabana miguu ili asichunguliwe/ kuacha nyeti zake nje.
Alafu kwa mujibu wa wanasayansi mtu akifa kumbukumbu zake nyingi hutoweka hao mbona wana kumbukumbu za kufanya vitu vya kujifunza kama kujistiri.
Hahaa ...watatupiana majini mpaka wakomeDuh! Kwaiyo atakuja Tanzania kufufua?
Akifanya ivo wakina lusekelo na rwakatare watakosa waumini
Hata miaka 2000 iliyopita watu baadhi ya watu walipo kuwa wana waeleza wenzao kuwa itafikia hatua watu watakuwa wana panda ndege na kutumia smartphone etc .... sehemu ya watu wengi waliopo katika jamii walikuwa wanapinga ..........Hakuna kitu kama hicho na hakita tokea milele
Haha ...rushwa hizi dah !Mkuu adi daktari alikwepo kuthibitisha kama hao watu wamekufa kweli
Hahahahhah yule si alishamfufu jamani...itakua ukifa tena hufufuki..hahahahSasa mkuu kama ni uongo, mbona serikali ilimwachia? Na saivi akifufua wanaeka kwenye vyombo vya habari[emoji23][emoji23]
Lakini ninacho shangaa alishindwa kumfufua , yule jamaa wake aliekufa kwa ukimwi
Hata miaka 2000 iliyopita watu baadhi ya watu walipo kuwa wana waeleza wenzao kuwa itafikia hatua watu watakuwa wana panda ndege na kutumia smartphone etc .... sehemu ya watu wengi waliopo katika jamii walikuwa wanapinga ..........
Jambo lisilo wezekana leo haimaanishi kwamba halito wezekana kamwe
Kuna vitu vya kisayansi ni ngumu kuvielewa kwa kweli labda mtu uwe umeishi na marehem sana tena ukafanikiwa kukaa na kuwahoji kama wanakumbuka chochote kuhusu duniani. Kwamaana vuta picha nyerere leo akaulizwe historia yake halafu asikumbuke kuwa ni mtz nitaamn kidogo. Kwenye picha pale shaka kubwa ni awareness aliyonayo marehem kuhusu eneo alilopo. Mfano mdogo sana ni nusu kaputi siamini kama mtu atakuwa na uwezo wa kujua kuwa sasa nibane miguu wasinichungulie aisee.Huyo marehemu gani kafufuka na aibu ukitizama picha ya mwisho marehemu anabana miguu ili asichunguliwe/ kuacha nyeti zake nje.
Alafu kwa mujibu wa wanasayansi mtu akifa kumbukumbu zake nyingi hutoweka hao mbona wana kumbukumbu za kufanya vitu vya kujifunza kama kujistiri.
Mimi nataka waniambie kuzimu kukoje kwa za .Huyo marehemu gani kafufuka na aibu ukitizama picha ya mwisho marehemu anabana miguu ili asichunguliwe/ kuacha nyeti zake nje.
Alafu kwa mujibu wa wanasayansi mtu akifa kumbukumbu zake nyingi hutoweka hao mbona wana kumbukumbu za kufanya vitu vya kujifunza kama kujistiri.
duhhh,,,, Nyerere akifufuka leo atakufa tena, maana mshtuko wa Nchi yake ilivyoharibiwa na hawa aliowakabidhi utakuwa mkubwa sana.Akuje amufufue Mwalimu Nyerere ili jiwe atimuliwe