[emoji16][emoji16] watafufuliwa tena[emoji23][emoji23][emoji23] kwan we mkuu ukifa alafu ukapata nafasi ya kuishi tena, utakataa?Halafu hawatakufa tena ama
Yaani kwangu msiniamshe tena[emoji16][emoji16] watafufuliwa tena[emoji23][emoji23][emoji23] kwan we mkuu ukifa alafu ukapata nafasi ya kuishi tena, utakataa?
hii sayansi mda mwingne sio ya kuamini, sasa wao wana uthibitisho ganii? Kwaio nyerere leo afufuke asahau km alikua raisi? Hahhaaaaa mzeee una utanii na vyeo vya watuuu, jiwe akianguka sasa hv ukimfufua cha kwanza ataomba uchaguzii,Huyo marehemu gani kafufuka na aibu ukitizama picha ya mwisho marehemu anabana miguu ili asichunguliwe/ kuacha nyeti zake nje.
Alafu kwa mujibu wa wanasayansi mtu akifa kumbukumbu zake nyingi hutoweka hao mbona wana kumbukumbu za kufanya vitu vya kujifunza kama kujistiri.
humo walipolala ni majeneza au zilichaguliwa maiti maalum za kufufua?
inasemekana ukienda huko unaamza kujuta kwa nini umechelewa kwa kupoteza muda hapa duniani!Yaani kwangu msiniamshe tena
Labda huko kuna raha zaidi
Ikawa ugomvi tena mniuwe
Halafu kama naona mnavyonipiga rungu tena
Nenda jukwaa la intelligence kuna uzi unaelezea habari za uwezekano wa kuwepo teknolojia ya kufufua wafu miaka ijayo utapata elimu zaidi na si kubisha kila kituhii sayansi mda mwingne sio ya kuamini, sasa wao wana uthibitisho ganii? Kwaio nyerere leo afufuke asahau km alikua raisi? Hahhaaaaa mzeee una utanii na vyeo vya watuuu, jiwe akianguka sasa hv ukimfufua cha kwanza ataomba uchaguzii,
hahaa unazungumzia uwezekanooo? Tena kwa mawazo ya watuuu! Na unaamini? Nooo way haina haja mkuu ngoja tuwe na imani tofaut haidhuru.Nenda jukwaa la intelligence kuna uzi unaelezea habari za uwezekano wa kuwepo teknolojia ya kufufua wafu miaka ijayo utapata elimu zaidi na si kubisha kila kitu
Hivi hawa wafu kwanini hawawekewi pamba kuziba matundu ya mwili such as pua, mdomo, masikio e.t.c?
Duu acha niende tu sasainasemekana ukienda huko unaamza kujuta kwa nini umechelewa kwa kupoteza muda hapa duniani!
Mkuu inaweza ikawa kama kichekesho ila ipo karne itawezekana,wanachokifanya wale majamaa wa U.S wengine hawaziki wanahifadhi miili ya wafu ili siku ikitokea basi wapendwa wao wafufuke ukimzika mfu ndo kapotea hivyo hatokaa aonekane tena milele kwa sababu ataoza na kuisha kabisa watu waje wachimbe gesi 😝😝hahaa unazungumzia uwezekanooo? Tena kwa mawazo ya watuuu! Na unaamini? Nooo way haina haja mkuu ngoja tuwe na imani tofaut haidhuru.
Nenda jukwaa la intelligence kuna uzi unaelezea habari za uwezekano wa kuwepo teknolojia ya kufufua wafu miaka ijayo utapata elimu zaidi na si kubisha kila kitu