Pastor ALPHA LUKEU amefufua tena watu sita

Pastor ALPHA LUKEU amefufua tena watu sita

Huyo jamaa yeye hana tatizo maana inawezekana ni kichaa..
Tatizo lipo kwa waumini wanaomfwata hivi wana akili gani?
Kweli hii dunia mapoyoyo ni wengi
 
Hivi hawa wafu kwanini hawawekewi pamba kuziba matundu ya mwili such as pua, mdomo, masikio e.t.c?
Waekewe ili wafe kweli? Mkuu acha ukatili asee [emoji16][emoji16][emoji16]
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom