Pastor ALPHA LUKEU amefufua tena watu sita

Pastor ALPHA LUKEU amefufua tena watu sita

PANTHERA LEO

JF-Expert Member
Joined
Jan 25, 2019
Posts
2,307
Reaction score
3,447
Alpha Lukeu strikes again and this time claimed to have resurrected 6 people and this time around a supposed medical doctor was around with their death certificates or something..

Source: SNBC
Screenshot_20190501-034808.jpeg
Screenshot_20190501-034841.jpeg
Screenshot_20190501-034612.jpeg
Screenshot_20190501-034624.jpeg
Screenshot_20190501-034637.jpeg
Screenshot_20190501-034654.jpeg
 
Afanye kama YESU! atufanyie wepesi kwa kuanzia akamfufue kanumba!

Hahahhhhhhhhhahaaaha
Watu hawataki kufa sijui kwa nini.
 
Afanye kama YESU! atufanyie wepesi kwa kuanzia akamfufue kanumba!

Hahahhhhhhhhhahaaaha
Watu hawataki kufa sijui kwa nini.
Kanumba mwili umeshaoza[emoji16][emoji16][emoji16] we mpelekee mwili m-bichi
 
Huyo marehemu gani kafufuka na aibu ukitizama picha ya mwisho marehemu anabana miguu ili asichunguliwe/ kuacha nyeti zake nje.

Alafu kwa mujibu wa wanasayansi mtu akifa kumbukumbu zake nyingi hutoweka hao mbona wana kumbukumbu za kufanya vitu vya kujifunza kama kujistiri.
 
Mkuu [emoji23][emoji23][emoji23] Yesu ametenda
 
Dah halafu huyu jamaa ameshafungua kanisa pale mbezi makonde nadhani...dah na bado utasikia wabongo wanaenda..Mungu huyu
 
hahahaha labda yesu wa makoroboi mwanza
Sasa mkuu kama ni uongo, mbona serikali ilimwachia? Na saivi akifufua wanaeka kwenye vyombo vya habari[emoji23][emoji23]

Lakini ninacho shangaa alishindwa kumfufua , yule jamaa wake aliekufa kwa ukimwi
 
Inawezekana Yesu ni mjomba wake kwa kuwa alikuwa na dada zake! Nyakati hizi tutashuhudia mengi!
 
Back
Top Bottom