Passwords katika simu yako inaposababisha kifo chako

Passwords katika simu yako inaposababisha kifo chako

Shemeji/wifi yenu mkali na ana wivu kushinda yule mnyama nyegere[emoji16] !usipofanya hivyo utakuta amewatukana wote walio kutext na kukupigia siku hiyo,mradi ajue ni jinsia ya ke!

Nokia tochi
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Siezi toa password zangu

Sent from my Bravo Z11 using JamiiForums mobile app
 
4debdc041cd3bd19e77fbaf35193efa2.jpg

Nokia tochi
 
Kwan hao watu kilichowauwa ni Password au ajali..?

Sent from my itel it1505 using JamiiForums mobile app
 
Mimi niwathamani sana kuliko taarifa ktk sim yangu,, ulinzi wa taarifa ktk sim yangu, Bay bayyyyyyyy!!
 
Hv watu kwenye ajari si huwa wanakimbilia kuiba simu na pesa au vitu vyovyote vyenye wepesi wa kubeba....??
Somo nimelielewa vzri ngoja nitoe ya kwangu mara moja...

Sent from my SM-G935F using JamiiForums mobile app
 
Mimi sehemu ya Phonebook sijaweka PIN, coz naelewa kuna wengi yamewakuta wakashindwa kusaidika sababu ya password.
Mwingine anaweka password hata kwenye kupokea simu, lol pale teknolojia inapogeuka utumwa kwako.
Password nyingi ni sababu ya makandokando mengi ya vijumba vidogo vidogo vyakuingiza kichwa tu miguu na makalio yanabaki nje[emoji125] [emoji125]
 
Nywila haizuii kifo Mkuu, hata kama simu yako haina nywila kama wa kufa utakufa

Sent from my SM-G532F using JamiiForums mobile app
 
Kwani enzi hizo kipindi ambacho kulikuwa hakuna simu, watu waliokoana vipi?? Tuanzie hapo kwanza
 
Simu nyingine zina option ICE

Sent from my D6503 using JamiiForums mobile app
 
Manufacturers waliliona ilo ndo maana siku izi unaweza ukaweka namba nne za emergency hata kama simu imelokiwa unaweza ukazipiga!
 
[emoji117]Watu wa 3 walipata ajali ya gari nawakawa hawajitambui kabisa. Mtu akatokea sehemu ya ajali na akataka kupiga simu kwa msaada bahati mbaya hakuwa nasimu. Kwenye ajali kulikuwa na simu 6 lakin zote zilikuwa na passwords. Mwisho wasiku wakafa wote.

[emoji117]Mjamzito alianguka ghafla nyumbani kwake akiwa namwanae mdogo wakike, alivyoona mama ake anagugumia maumivu huku hajitambui, alichukua simu ya mama yake ili ampgie Baba yake kwa msaada zaidi, simu ilikuwa na password Akapoteza maisha.

Nani mwenye makosa?

USHAURI WANGU
Wewe ni wa thamani sana kuliko taarifa unazoziwekea usalama katika simu.

Weka password katika WhatsApp, fb, Sms, Picha n.k lakini acha upande wa Phonebook na Calls siku moja yawezekana ukaokoa maisha yako au ya wapendwa wako.

Password katika simu yako yaweza pelekea umauti wako.

Fikilia mara mbili

Kama nimewaboa samahani lakini hiyo ndio hali halisi jamani
mbona kuna emergency call service!!
sema tu watanzania walio wengi bado hawajui kutumia simu.
 
me nimeweka pswrd paka kwenye calculator

Sent from my Infinix HOT 3 LTE using JamiiForums mobile app
 
[emoji117]Watu wa 3 walipata ajali ya gari nawakawa hawajitambui kabisa. Mtu akatokea sehemu ya ajali na akataka kupiga simu kwa msaada bahati mbaya hakuwa nasimu. Kwenye ajali kulikuwa na simu 6 lakin zote zilikuwa na passwords. Mwisho wasiku wakafa wote.

[emoji117]Mjamzito alianguka ghafla nyumbani kwake akiwa namwanae mdogo wakike, alivyoona mama ake anagugumia maumivu huku hajitambui, alichukua simu ya mama yake ili ampgie Baba yake kwa msaada zaidi, simu ilikuwa na password Akapoteza maisha.

Nani mwenye makosa?

USHAURI WANGU
Wewe ni wa thamani sana kuliko taarifa unazoziwekea usalama katika simu.

Weka password katika WhatsApp, fb, Sms, Picha n.k lakini acha upande wa Phonebook na Calls siku moja yawezekana ukaokoa maisha yako au ya wapendwa wako.

Password katika simu yako yaweza pelekea umauti wako.

Fikilia mara mbili

Kama nimewaboa samahani lakini hiyo ndio hali halisi jamani

= Fikiria

Umeni"bowa" hapo tu.
 
Back
Top Bottom