Passwords katika simu yako inaposababisha kifo chako

Passwords katika simu yako inaposababisha kifo chako

Hahaaa mkuu unaficha nn sasa?

Sent from my GT-N7105 using JamiiForums mobile app
Unajua nilipokuwa nasoma kulikua nakatabia kamtu kuchukua simu yako kama haupo anasoma meseji kila kona anapita alafu unakuta hujamwambia mtu inshu zako lakini unazisikia kwa wanafunzi wenzio ... Aisee tangia hapo nikajikuta nazoea kila simu lazima nitaweka password tu
 
Katika vilivyonishinda ni kuweka password simu yangu.
Kwangu mimi najioneaga usumbufu tu.
Huwezi kuta simu yangu ina password na ikiwa nayo jua kuna jambo
Yani kama mimi mkuu. ipendi kujiwekea kazi ya kuanza ku'unlock simu kila wakat .... ni kupotezeana muda tu!
 
Haya wale wanachama wa CHAPUTA naomba msome hii

PUNYETO.

Ni kitendo cha kusugua sehemu ya siri ya uzazi kwa kutumia mkono au sabuni na kufika kileleni.

MADHARA 36 YA PUNYETO.

1.Ni chanzo kikubwa cha kupoteza kumbukumbu na kukufanya ushindwe kufanya vitu kwa umakini.

2.Kitendo hiki huondoa baraka na neema za Allaah kwani kinamuudhi sana Allaah.

3.Huuwa na kumaliza nguvu za kiume kabisa.

4.Husababisha uchovu muda wote.

5.Humfanya mtu kupoteza nguvu za mwili na kumfanya kuwa legevu na mvivu.

6.Husababisha mwanaume kutoa mbegu haraka wakati wa tendo la ndoa.

7.Husababisha msongo mkubwa wa mawazo.(mawazo kuwa mengi)

8.Husababisha mtu kukosa hamu kabisa Ya tendo la ndoa hata akiwa na mke wake.

9.Husababisha ukhanithi (ugumba).

10.Humfanya mtu ambae hajaowa ashindwe kuowa

11.Husababisha mtu kuathilika kisaikolojia.

12.Huzidisha woga kwa wanawake.(kuogopa wanawake).

13.Humfanya mtu ashindwe kuona umuhimu wa wanawake.

14.Inaweza kumfanya mtu kukonda na mifupa ya mashavu kutokeza.

15.Humfanya mtu kuwa mtumwa wa kitendo hicho.

16.Ni maasi na athari ya kudumu inayouwa afya ya mwili na akili.

17.Kushindwa kusimamisha uume zaidi ya mara 1 na uume kuwa legevu.

18.Maumivu ya mgongo.

19.Kusinyaa kwa nywele.

20.Maumivu ya makende.

21.Maumivu ya kiuno.

22.Pia inaweza kusababisha umasikini kwa sababu mtu hupoteza nguvu,kumbukumbu, na kuwa mlegevu na mvivu.

23.Inachangia kushindwa kufikia malengo kwa sababu huuwa mfumo wa fahamu na uwezo wa kufanya jambo kwa makini.

24.Inadhoofisha mwili na kuufanya jalala la maradhi

25.Huondoa nuru ya macho.

26.Huzidisha mapigo ya moyo kama mtu mwenye presha.

27.Hufanya ngozi ionekane kama ya mzee.

28.Husababisha kuvunjika kwa ndoa.

29.Humfanya mtu kutazama na kuwaza sana wanawake, na pia kutazama sana picha na video za ngono.

30.Kuumwa ma kichwa mara kwa mara.

31.Kukosa nguvu kwenye jointi za magoti.

32.Kupungukiwa mbegu katika mfuko wa uzazi.

33.Kuharibika kwa mishipa ya fahamu na uti wa mgongo.

34.Humfanya mtu kusinzia ovyo kila anapomaliza punyeto.

35.Mpiga punyeto hana uwezo wa kumfikisha mwanamke kileleni.

36.Ni aibu kubwa sana kwa jamii.
 
hivi kati ya punyeto na picha za ngono, kipi kinamuhitaji mwenzie zaidi?
swali kwa wapiga nyeto
 
IQ standard
 
Ukiitumia vizuri inakusaidia
NOTE:
usipige punyeto uku unaangalia mikanda ya porn

IQ standard
 
HAKIKA NAICHUKIA PUNYETO KAMA NIUCHUKIAVYO UKIMWI
WANAWAKE TAFADHALI TUSAIDIANE KATIKA HILI HEBU KUPUNGUZENI JAPO KIDOGO BEI YA KUTUPIGA MIZINGA
nb. mimi si mdau wa chaputa
 
hivi kati ya punyeto na picha za ngono, kipi kinamuhitaji mwenzie zaidi?
swali kwa wapiga nyeto
punyeto nzur ni lazima video ya ngono iwepo cuz inakupa hisia ya chapu na hauta kawoa fasta unacheua pyaaa unakua saaf kabisa
 
nyeto haina madhara usajir unaendelea il kupata wanachama wapya CHAPUTA by naibu katibu mkuu
 
Naona umerudiarudia sababu zilezile hadi umezifikisha kuwa 36, Aiseee wewe ni kiazi kweli.
 
INAMAANA GAN?

watu watatu walipata ajali ya gari na hawakujitambua kabisa. Raia mwema akatokea sehem ya ajali na akataka kupiga simu kwa msaada bahati mbaya hakuwa na simu. Kwenye ajali kulikuwa na simu 6 lakin zote zilikuwa na _PASSWORD._ Mwisho wa wakakosa msaada wa kuwahishwa hospitali na hatimae wakafariki wote.
.
.
Mama Mjamzito alianguka ghafla nyumban kwake akiwa na mwanae mdogo wa kike, alivyoona mama yake anagugumia maumivu huku hajitambui, alichukua simu ya mama yake ili ampgie baba yake kwa msaada zaidi, kwa bahati mbaya simu ilikuwa na _PASSWORD_ yule akachelewa kuwahi kupata huduma na mwisho akapoteza maisha.
.
.
Nani mwenye makosa?

USHAURI.

Wewe una thamani sana kuliko taarifa unazoziwekea usalama katika simu.

Weka _PASSWORD_ katika _WhatsApp, Facebook, Message, Gallery n.k_

Acha upande wa Phonebook na Calls bila _PASSWORD,_ siku moja yawezekana ukaokoa maisha yako au ya wapendwa wako.

_PASSWORD_ katika simu yako yaweza pelekea umauti wako.

Fikiria mara mbili...............amonationTZ[emoji134]‍♂[emoji134]‍♂[emoji134]‍♂[emoji134]‍♂[emoji134]‍♂[emoji134]‍♂
 
Back
Top Bottom