Passwords katika simu yako inaposababisha kifo chako

Passwords katika simu yako inaposababisha kifo chako

Atakalo Mola huwa! Hata iweje! Atakalo Mola huwa!

Post sent using JamiiForums mobile app
 
Unataka kuniambia jamaa alivyozikuta na password hakupita nazo?
 
Punyeto ambaye hajawahi piga na yuko na above 20yrs atakuwa na TABIA za ushoga au ni shoga kabisa

Sent from my TECNO-C8 using JamiiForums mobile app
 
*INA MAANA GAN?*

watu wa 3 walipata *ajali* ya gari na wakawa hawajitambui kabisa. Mtu akatokea sehem ya ajali na akataka kupiga simu *kwamsaada* bahati mbaya hakuwa na simu. Kwenye ajali kulikuwa na *simu 6* lakin zote zilikuwa na password. Mwisho wa siku wakafa wote.

*Mjamzito* alianguka ghafla nyumban kwake akiwa na mwanae mdogo wakike, alivyoona mama yake anagugumia maumivu huku hajitambui, alichukua simu ya mama'ake ili ampgie *baba ake* kwa msaada zaid, simu ilikuwa na password. *Akapoteza maisha.*

*Nan mwenye makosa?*

*USHAURI*.

Wewe u wa *thamani* sana kuliko *taarifa* unazoziwekea usalama ktk simu.

Weka password ktk whatsapp, fb, meseji, picha n.k

Acha upande wa *phonebook na calls bila password, siku moja yawezekana ukaokoa *maisha* yako au ya wapendwa wako.

*Password* ktk *simu* yako yaweza pelekea *umauti* wako.

*Fikiria mara mbili*
BINAFSI NIMEZIONDOA MANA HAKUNA NINALOFICHA NA HATA SIMU IKIIBIWA INAENDA KUFLSHIWA TU.

Post sent using JamiiForums mobile app
 
Mara ya 9 Hii naiona! Sijui kuna nini jamani!

Post sent using JamiiForums mobile app
 
Mara ya 9 Hii naiona! Sijui kuna nini jamani!

Post sent using JamiiForums mobile app
unahisi kama unaletewa wewe indirectly..... [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

Post sent using JamiiForums mobile app
 
Smartphone na kanokia ka tochi ilo ndo suluhisho smartphone ikikaa bila password we ni vita ndani ya nyumba adi kwa michepuko ila kanokia ka tochi aaah kako free ka kasimu ka jumuia
 
Binafisi sionagi faida ya password kama sina mchepuko password ya nn? Ila hizi smartphone bila partner inajipiga hovyo unaweza kukuta no zimefutika.hapa naganyaje sasa?
 
Kuna option ya kupiga namba ya Emergency

Pia kuseti namba za wakupigiwa unaseti pakiwa na emergency
je atakaetaka kukusaidia anajua hilo???
mm naona weka kwenye txt sijui gallery huko watsapp

Post sent using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom