Mmmhh najiamini kidogo kidogoUnajiamini na mambo yaliyoko katika simu yako... Wengine hawajiamini
[emoji117]Watu wa 3 walipata ajali ya gari nawakawa hawajitambui kabisa. Mtu akatokea sehemu ya ajali na akataka kupiga simu kwa msaada bahati mbaya hakuwa nasimu. Kwenye ajali kulikuwa na simu 6 lakin zote zilikuwa na passwords. Mwisho wasiku wakafa wote.
[emoji117]Mjamzito alianguka ghafla nyumbani kwake akiwa namwanae mdogo wakike, alivyoona mama ake anagugumia maumivu huku hajitambui, alichukua simu ya mama yake ili ampgie Baba yake kwa msaada zaidi, simu ilikuwa na password Akapoteza maisha.
Nani mwenye makosa?
USHAURI WANGU
Wewe ni wa thamani sana kuliko taarifa unazoziwekea usalama katika simu.
Weka password katika WhatsApp, fb, Sms, Picha n.k lakini acha upande wa Phonebook na Calls siku moja yawezekana ukaokoa maisha yako au ya wapendwa wako.
Password katika simu yako yaweza pelekea umauti wako.
Fikilia mara mbili
Kama nimewaboa samahani lakini hiyo ndio hali halisi jamani
Ahahahaaaaaa wewe kiboko [emoji119]Yangu kiboko mpaka nikitaka kutype inapidi niingize password,nikitaka kuizima kwanza password,kuwasha data password!!yaani ina password mwili mzima![emoji16] [emoji16]
Nokia tochi
Shemeji/wifi yenu mkali na ana wivu kushinda yule mnyama nyegere[emoji16] !usipofanya hivyo utakuta amewatukana wote walio kutext na kukupigia siku hiyo,mradi ajue ni jinsia ya ke!Ahahahaaaaaa wewe kiboko [emoji119]
only in samsungKuna option ya kupiga namba ya Emergency
Pia kuseti namba za wakupigiwa unaseti pakiwa na emergency
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Shemeji/wifi yenu mkali na ana wivu kushinda yule mnyama nyegere[emoji16] !usipofanya hivyo utakuta amewatukana wote walio kutext na kukupigia siku hiyo,mradi ajue ni jinsia ya ke!
Nokia tochi
Anaheshimiwa sana tu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Aiseeh hiyo inaitwa abiria chunga mzigo wako [emoji26]
Wifi yetu apewe heshima yake kwakweli