kama ni mtiani ndo umeshanikuta jamani!
Mke wangu alikuwa kaokoka. Tena ni mtoto wa mchungaji kabisa. Hivyo ndivyo vitu vilivyonifanya nimuamini sana. Na kuja kwangu bila cm kwa wakati huo niliamini labda hana watu wa kuongea nao, hana mambo mengi na alihisi inampotezea muda.
Sasa ndo najiuliza zaidi. Pamoja na kuokoka kwake Mbona nilitembea nae kabla ya ndoa. Pili ndoa tuliipanga haraka haraka tukihofia mimba changa aliyonayo isionekane.
Nilikuwa nafumba macho usingizi hauji. Nimesinzia kidogo naota ndoto mbaya sana.
Mungu nisaidie
Tangu lini simu ikawa kigezo cha uaminifu bhana, mie nina mchina wangu anajiita Iphone4s hii kitu ni balaaa ina blacklist sms na calls zote, yaani naweza kukuachia hadi kesho kutwa na kama sitaki hizo namba zangu (bahati mbaya sana hazipo) zisinipate basi kamwe hutakaa uniapte.
Bahati nzuri sana sina mazoea ya kusoma wala kupokea simu za mke wangu maana hazinihusu kabisaaaa, hata kama zitakua ni za wanaume(kama wapo) otherwise natwanga maisha yangu, simu yangu ikiita au sms ikiingia akitaka atasoma au atapokea, hataki atapotezea wala hakuna kulazimishana bhana. Yaani I really do not care abouit phone ya my wife wangu na mimi pia sitaki afuatilie phone yangu maana UAMINIFU haujengwi na kupeana simu tu, there is so much
ndio maana nakupenda buree
Jamani naomba ushauri juu ya híi cm ya mke wangu.
Tulianza urafiki tu kama miaka mitatu ivi wote tukiwa chuo. Kwa wakati huo alikuwa na cm nzuri aina ya samsung ila kila tukikaa nae alikuwa anaacha cm kwingine mara rafiki yangu anachati nayo facebook, mara haina chaji, mara nimeisahau na sababu nyingi tu na sikuweza ata kuigusa kwa takribani miaka miwili.
Kwa kuwa niko mwaminifu sana nilijaribu kuicha cm yangu wazi kwake. Zinaingia sms bila kujua ya nani namwambia nisomee, alikuwa akikataa lkn baadae alikubaliana na hayo. Siku nyingine najifanya kama nimeisahau kwake ili kuonesha uaminifu.
Baada ya ndoa alikuja bila cm. Alisema cm yake ilipotea siku ya harusi kwenye salóon aliyokuwa akipambwa na wamemfidia fedha taslim na haoni haja ya kununua cm kwani atakuwa anatumia yangu.
Mwezi wa sita mwaka jana nilipata safari ya kikazi nikalazimika kumnunulia cm ila tuwasiliane nae tukiwa mbali.
Cha kushangaza cm hiyo anaificha sana. Ikiita anaweza asipokee. Aniambii lolote kuhusiana na cm labda nani kapiga kasema nini ananisalimia au la kama ambavyo nafanya mimi.
Akiöngea kwenye cm mazungumzo ni ya mkato na yasiyoeleweka. Utasikia mara Sawa.... Aa.... Sina... Nimesahau..... Yupo. Au nimeelewa yani neno moja tu alafu anakata cm.
Kingine amejiunga na facebook nazani kwa jina jingine kwani yuko bize na facebook lakini kila nikimtafuta kwenye fb simpati.
Leo ndio alikuwa ameenda kujifungua kwa bahati nzuri nikabahatika kushika cm yake na kuifungua ni password kila sehemu, fonebook, sms, call log na kadhalika.
Nishaurini nifanye nini na cm ya mke wangu.
Nilifika hospital leo asubui sana saa moja kasoro. Nikamfata mke wangu kumsabai
alikuwa akisubiri ruhusa. Kwa upole nikamuuliza juu ya password. Nakumwomba anijibu ili roho itulie na nianze kufikiri juu ya mtoto pekee. Mke badala ya kunijibu akaangua kilio wodini. Ni machozi macho mekundu analia tu. Sikujua analilia nini.
Mida ya saa moja na nusu daktari wa zamu alipofika alipokuta kile kilio akaniuliza kunanini. Nikamjibu anasema dumbo linamuuma. Sasa imebidi asiruhusiwe mpaka mchana waone hali yake.
Sa analilia nini ata sijui. Na kwanini asinipe tu hiyo password mi moyo utulie .
Ma mkwe nae katimba hosptal imebidi tu kumdokeza kasema nisubiri kidogo nae kama kanishangaa ivi
acha usennge wewendugu Mushumbusi simu ya MKE unaitakia nini? GROW UP dude...hayo sio mambo ya kufatilia kabisa...kama mwanaume u have more to work and worry for sio mambo hayo yatakuletea matatizo usiyoyatarajia bure!

acha usennge wewe

Kwa upole nikamuuliza juu ya password. Nakumwomba anijibu ili roho itulie na nianze kufikiri juu ya mtoto pekee. Mke badala ya kunijibu akaangua kilio wodini.
Na kwanini asinipe tu hiyo password mi moyo utulie .
Kiukweli ili kuweka uaminifu kati ya wawili ni vema mambo mengi kushirikishana kama wanandoa. Japo si jambo zuri mmoja kushika na kuipekua simu ya mwenzie lakini ukweli unabaki kwamba mkishaingia katika ndoa siri zinabidi kupungua kama siyo kusiha kabisa. Mnatakiwa kuwa na siri ya pamoja....
Ukiona mke/mume anajificha wakati wa kuongea na simu na/au akiongea anatumia maneno ya mkato-mkato hapo panakuwa na siri nzito ambayo kiukweli sidhani kama kuna mwanandoa yeyote (awe na mume au mke) anaweza kuchukulia hali hiyo kirahisi...
Unaweza kuvuta subira au kuharakisha, lakini yote kwa yote ni lazima kuchunguza mienendo ya mkeo kwa sababu kwa nini alie ulipomuuliza juu ya passwords za simu yake, na nijuavyo sitaki kuamini kwamba mtu alikuwa na simu yake nzuri kama ulivyosema mwenyewe halafu alipoingia kwenye ndoa akaachana na simu na hataki kununua eti atatumia ya kwako...! Si kweli fuatilia kwa karibu inawezekana simu yake anayo kabisa au mwenyewe aliyemnunulia kwa makubaliano alimnyang'anya baada ya kuona anaolewa....
Uwazi baina ya wanandoa ni jambo muhimu sana, mimi sifichi simu yangu, mke wangu hafichi yake, ikiita niko bafuni namwomba aangalie kama ina jina lolote kama ni mtu ambaye nilitarajia simu yake namwambia apokee na kumpa ujumbe nilionao au kumwambia nitapiga baada ya muda mfupi....
Ikiingia meseji kama niko mbali na simu yeye yuko karibu ananijulisha "ktk simu yako kuna meseji imeingia....", nami nafanya vivyo hivyo kwa simu yake. Pasword za M-PESA, TIGO-PESA, AIRTEL MONEY, kila mmoja anazijua na tumeziandika mahali fulani, na vivyo hivyo kwa password za ATM......