Password nisizozijua kwenye Simu ya Mke wangu!

Password nisizozijua kwenye Simu ya Mke wangu!

Tatizo ni mapenzi yenu Darling and the dot.com style, yaani mtu unashindwa kumkomalia mke issue kama hiyo. Wasiwasi wangu ni kuwa hata mtoto si wako, yule aliyepigia simu mkeo akiwa chumba cha kujifungulia halafu ulipopokea hakuongea kitu, hakika huyo ndio baba wa mtoto.
 
he he he

mie nimeenda pale KK sekyurite
wameweka pasiwedi kwenye chakula cha usiku

akigusa tu, inamwambia enter pasiwedi, afu sijampa yeye hiyo pasiwedi. Ninayo mie na shamba boi

Kaka, kwani wifi akiweka password kwenye simu yake wewe utaona poa tu? Manake shem wako akiweka password kwenye sijui kinokia lumia chake, naweka password kwenye mchina wangu hadi ya charger. Yaani ukitak kuichaji inaprompt password. Afu sikilizia mziki wake!
 
William mshumbusi,kwanini sasa umelog in na id ya jina lako halisi?umeharibu kiongozi

Pole,tulia acha papara,kapige goti muombe Mungu akuongoze ktk jambo hilo,utafunuliwa kila kitu kama una imani
 
afu na yule sekandi ledi si ana surname hii hii?
Au ndo mmewe huyu?

Nauliza tu

William mshumbusi,kwanini sasa umelog in na id ya jina lako halisi?umeharibu kiongozi

Pole,tulia acha papara,kapige goti muombe Mungu akuongoze ktk jambo hilo,utafunuliwa kila kitu kama una imani
 
subirini siku akiwaambia huyo mwanamke kamletea gonjwa muandae na ushauri mwingine. mwana we mchunguze atakuletea magonjwa uwachen watoto yatima bure.....dalili za mvua mawingu hapo inaonyesha kabisa kuna kitu anaficha huyo mkeo.........utamkamata tu soon...kuwa mpole na kuwa FBI au KGB kwa muda
 
Kama.shamba boy hajui password ni ya wapi then its ok. Ungempa boss wako angeitumia.kufungua tickets za dubai, am just saying.
he he he

mie nimeenda pale KK sekyurite
wameweka pasiwedi kwenye chakula cha usiku

akigusa tu, inamwambia enter pasiwedi, afu sijampa yeye hiyo pasiwedi. Ninayo mie na shamba boi
 
Dah!Ningekua mimi tayari ningejua nimeuziwa mbuzi kwenye kaniki
'
Kawaida mtu mwaminifu hawezi kuficha chochote,anaficha nini?
'
Ndugu yangu kwanini usitumie ubongo kufikiri badala ya hisia?
'
Amua haraka kabla hujaambiwa "yule rafiki yako kipenzi ndo mwenye mtoto huyu"
'
Tafakari chukua hatua!
 
Duuuh pole sana kaka mimi. Nakuhurumia mpaka basi naumia kweli jamani ndoa gani hamuaminiani honest mtafute mjanja mwenye kujua IT vizuri kuna kitu kama card reader inauwezo wa kuweka mpaka line ya cm kwenye computer inasoma kila kilicho andikwa hata miaka miwili nyuma ukishindwa waone mawakala wa. Huo mtandao waambie line nizako umesajili kwa jina unataja la mkeo umesahau password ikishindikana nenda kwa fundi cm ukajaribu kama anaweza kufungua hizo no za siri ikifail pumua come down wait for her atoke salama labor akitoka tu mbane afungue moja moja mbele yako tena mbane hasa mwambie kesi itakua kubwa na ndoa itavunjika akiendeleza upuuzi huo!!!!!! Usimpe nafasi ya kupumua mwambie heri liwe tatizo lenu mtalisolve kwa yy kukupa sababu za kukuficha cm yake mwambie upo tayari kumsamehe iwapo atakua wazi kwako kuanzia hapo hawezi mtishie kua unalianzisha mpaka kwa wazazi wake na DNA unaenda kumpima mtoto kisha unampa mapumziko. Mafupi mpaka atakapo jifikiria kufanya uamuzi tena maisha ya ndoa ni maisha huru yenye kupendana na kuaminiana sio maisha ya siri siri
 
some one is living 'double life'....pole sana kwa yatakayokukuta
 
Kaka ni hv, asilimia 100 huyo ana cheat!
Kosa kubwa ulilofanya ni kumwacha na hyo tabia ndani ya ndoa lakini bado hujachelewa!

Watu wanapotosha ukweli, hakuna mwanaume anayeweza vumilia mkewe awe ana private issue au simu yake iwe na password nyingi hivyo, unless unamchukulia huyo kama 'malaya' lakini si kwa mke wa ndoa!

Ni kweli, hutakiwi kushika shika simu ya mkeo kutafuta uchawi, ila inatakiwa unapotaka kushika simu yake asiwe na wasiwasi na wala asikatae, na yako pia iwe hivyo, hapa ndipo uaminifu unapokuja ndani ya ndoa!

Mwanamke unaye ishi naye ni tofauti na demu ambaye unaweza kuspend masaa kazaa,
linaweza kutokea lolote usiku wa manane au mwanamke anaumwa hajiwezi kitandani, lazima vitu kama simu utakuwa navyo mume.......kwa hyo hata kama hutaki kuingalia simu ya mkeo haisaidii coz hao watu anaokuficha nao watapiga bila kujua....

ANGALIZO: Ukweli ni kwamba wanaume wengi wanapenda kujifanya hawataki kupekua simu za wake zao, kumbe ni zuga tu ili wanawake wao nao wasishike simu zao kwa kuwa wanajua nao wana vimeo vyao! Lakini mwanaume akijua mwanamke wake anacheat hawezi kukubali hali hii ya usiri kwa simu ya mkewe! Haiwezekani, mkeo apigiwe simu halafu anajibu kwa mkato, eti uchukulie poa hayo yatakuwa siyo mapenzi!

CHA KUFANYA: Lazima uwe mkali katika hili, ila usiwe na haraka! Kwa kuwa huyo ni mkeo, muambie kwamba hufurahishwi na hali hiyo, na kwamba kwa mazingira ambayo ameweka kwenye simu wewe unahisi anacheat......akiwa mwanamke mwerevu na mwenye kuheshimu ndoa, na of coz kwa kuwa simu yako wewe iko huru kwake......atakusikiliza na atabadilisha hiyo tabia!

Ieleweke kwamba, hii siyo solution ya mwanamke kuacha kucheat, bado anaweza kuendelea kucheat, lakini kwa kuwa wewe hujui na wala usitake kujua, ila anapokuwa nyumbani kwako lazima awe huru na wewe, maana kama anashindwa tu kupokea simu akiwa na wewe, je akiwa peke yake nini huwa anafanya???? Simu zina matatizo kwenye uaminifu, lakini inabidi umuonyeshe partner wako uaminifu kwa huru na simu yako, kwani hata ukiwa unafanya yeye hawezi kuhisi! Lakini akisikia unafanya, kitu cha kwanza nj mwenendo wa simu zako....kwa mazingira ya huyo mdada ni ushahidi tosha kwamba ana mambo mengine ya nje! Cha ajabu anashindwa kuheshimu ndoa, kwa sababu watu wa nje hata kama unao inabidi hata uzuge kama humjui na kuongea nae kwa confidence ili partner wako asihisi kitu, na ikiwezekana awakataze kupiga simu wakati akiwa nyumbani kitu ambacho mwanaume hutapenda kusikia maana kma umehalalisha mkeo kuwa na watu wa nje!

Kinachonishangaza, huyo mwanamke anakuwaje na majibu ya mkato kwa simu ilipigwa na mtu wa nje wakati akiwa na mumewe, kwa nn hata asimkaripie halafu baadae amwambie alikuwa na mumewe ndio maana hakuweza kuongea.....au ina maana huyo mwanamke anajali sana hao jmaa wanaompigiaga simu na kwa nn hao jamaa wnampigia simu mtu kaolewa wanajiamini nn!!!

MSIMAMO: Ni kweli sio heshima kupekua pekua simu ya partner wako, lakini partner wako anatakiwa awe ana uhuru na simu yako, pindi anapotaka kufanya hivyo bila kikwazo chochote na huo ndio uaminifu kwenye ndoa, kama una kimeo chako kwanza muambie una mume/mke na anatakiwa aheshimu hilo!

Ndoa ni furaha, na kitu kikubwa cha kufurahia ndoa na mapenzi ni uaminifu, sasa hamna haja ya kuishi na mtu ambaye anapigiwa simu anashindwa kuongea na anakuwa na majibu ya mkato, na we hicho kitu kinakukwaza halafu eti uchukulie poa kisa hutakiwi kumchunguza sana mwanamke, huu ni ujinga!
 
bora usiolo lijua kuliko kuja kujua kaka wewe saka mshiko kwa ajir ya mtoto wako mjombaa ukitaka kuyafunua utaua mkee na utapoteza familiaaaaaaaaaa mwache tu atasema mwenyewe siku yakimshinda ila cha musingi afya yenu ukimwi upooooooooooo aise
 
Dah, pole sana bro. Fanya haraka unaibiwa, tena mwizi sio mmoja.. Pia nina hofu na huyo mtt, lazima uweke mpango kabambe wa kumpeleka tbs, nasema hayo kutokana kupitia experience kama hiyo. Ilikuwa hivi nilikuwa na mpenzi ambaye tulikuwa na miadi ya kuowana maybe mwaka huu kama mambo yangeenda vzr, so kutokana na mazingira fulani ilinilazimu kukaa nae geto kwangu ubungo. Tulikaa almost kwa miezi 4. Yy anasomea jonalizm, bt at last niligundua alikuwa ameweka passwod cm yake. Na alikuwa anailinda sana kiasi kwamba inapotoka mikononi mwake inakuwa off. Baada ya uchunguzi wangu ulioambatana na mkong'oto kidogo nikagundua alikuwa anachit na mtu ambaye ndo wako pa1 mpaka sasa coz ilikuwa mwsho wangu na huyo kicheche. Hapo hakuna kulemba maana ukililea tatizo hilo laweza kukucost mara 7 zaidi badae. Stuka broo
 
Hapo ankoo we ng'ang'ana kupata password hata kwa lazima.... Usiishi na donge moyoni, hapo kunakitu nyuma ya pazia. William Mshumbusi
 
Last edited by a moderator:
Jamani naomba ushauri juu ya híi cm ya mke wangu.

Tulianza urafiki tu kama miaka mitatu ivi wote tukiwa chuo. Kwa wakati huo alikuwa na cm nzuri aina ya samsung ila kila tukikaa nae alikuwa anaacha cm kwingine mara rafiki yangu anachati nayo facebook, mara haina chaji, mara nimeisahau na sababu nyingi tu na sikuweza ata kuigusa kwa takribani miaka miwili.

Kwa kuwa niko mwaminifu sana nilijaribu kuicha cm yangu wazi kwake. Zinaingia sms bila kujua ya nani namwambia nisomee, alikuwa akikataa lkn baadae alikubaliana na hayo. Siku nyingine najifanya kama nimeisahau kwake ili kuonesha uaminifu.

Baada ya ndoa alikuja bila cm. Alisema cm yake ilipotea siku ya harusi kwenye salóon aliyokuwa akipambwa na wamemfidia fedha taslim na haoni haja ya kununua cm kwani atakuwa anatumia yangu.

Mwezi wa sita mwaka jana nilipata safari ya kikazi nikalazimika kumnunulia cm ila tuwasiliane nae tukiwa mbali.

Cha kushangaza cm hiyo anaificha sana. Ikiita anaweza asipokee. Aniambii lolote kuhusiana na cm labda nani kapiga kasema nini ananisalimia au la kama ambavyo nafanya mimi.

Akiöngea kwenye cm mazungumzo ni ya mkato na yasiyoeleweka. Utasikia mara Sawa.... Aa.... Sina... Nimesahau..... Yupo. Au nimeelewa yani neno moja tu alafu anakata cm.

Kingine amejiunga na facebook nazani kwa jina jingine kwani yuko bize na facebook lakini kila nikimtafuta kwenye fb simpati.

Leo ndio alikuwa ameenda kujifungua kwa bahati nzuri nikabahatika kushika cm yake na kuifungua ni password kila sehemu, fonebook, sms, call log na kadhalika.

Nishaurini nifanye nini na cm ya mke wangu.

dah!!! mwana ulikuwa umeenda vizuri sana na ile plan ya kumwachia uhuru wakushima simu yako na hapo ulionyeshwa true colors za huyo mke wako....she has a double life!!! angekuwa honest na open kama wewe naye angekuwa huru wewe kushika simu yakee......sasa sijui nini kilikufanya upuueze ishara zote zilizoonyesha kuwa sio mkweli.

sasa chakufanya ni kumfuatilia...ndege wako manati ya nini....ipo siku atabugi tuu
 
bora usiolo lijua kuliko kuja kujua kaka wewe saka mshiko kwa ajir ya mtoto wako mjombaa ukitaka kuyafunua utaua mkee na utapoteza familiaaaaaaaaaa mwache tu atasema mwenyewe siku yakimshinda ila cha musingi afya yenu ukimwi upooooooooooo aise

Unajuaje mtoto ni wake wakati mke ana wanaume wengine.
 
Jamani naomba ushauri juu ya híi cm ya mke wangu.

Tulianza urafiki tu kama miaka mitatu ivi wote tukiwa chuo. Kwa wakati huo alikuwa na cm nzuri aina ya samsung ila kila tukikaa nae alikuwa anaacha cm kwingine mara rafiki yangu anachati nayo facebook, mara haina chaji, mara nimeisahau na sababu nyingi tu na sikuweza ata kuigusa kwa takribani miaka miwili.

Kwa kuwa niko mwaminifu sana nilijaribu kuicha cm yangu wazi kwake. Zinaingia sms bila kujua ya nani namwambia nisomee, alikuwa akikataa lkn baadae alikubaliana na hayo. Siku nyingine najifanya kama nimeisahau kwake ili kuonesha uaminifu.

Baada ya ndoa alikuja bila cm. Alisema cm yake ilipotea siku ya harusi kwenye salóon aliyokuwa akipambwa na wamemfidia fedha taslim na haoni haja ya kununua cm kwani atakuwa anatumia yangu.

Mwezi wa sita mwaka jana nilipata safari ya kikazi nikalazimika kumnunulia cm ila tuwasiliane nae tukiwa mbali.

Cha kushangaza cm hiyo anaificha sana. Ikiita anaweza asipokee. Aniambii lolote kuhusiana na cm labda nani kapiga kasema nini ananisalimia au la kama ambavyo nafanya mimi.

Akiöngea kwenye cm mazungumzo ni ya mkato na yasiyoeleweka. Utasikia mara Sawa.... Aa.... Sina... Nimesahau..... Yupo. Au nimeelewa yani neno moja tu alafu anakata cm.

Kingine amejiunga na facebook nazani kwa jina jingine kwani yuko bize na facebook lakini kila nikimtafuta kwenye fb simpati.

Leo ndio alikuwa ameenda kujifungua kwa bahati nzuri nikabahatika kushika cm yake na kuifungua ni password kila sehemu, fonebook, sms, call log na kadhalika.

Nishaurini nifanye nini na cm ya mke wangu.

Naona watu wanazungukazunguka tu kwa kifupi kwa maelezo uliyoyatoa mkeo kuna watu wanambandua for sure, huitaji degree kulijua hilo. Huyo mtoto nenda ka match DNA uone ikoje.
Nenda kwa mawakala wa simu watakusaidia ku-reset password. Ukishindwa hiyo kuna njia nyingi za kumtrack, the cheapest and easiest kanunue voice recorder(s) ifiche/zifiche mahala anapopenda kukaa au kuwa around, halafu kuwa unatoka na ajue utatumia muda mrefu kurudi, hii itamfanya kuwa comfortable kuongea na simu, then una replay ukiwa nje ya home, utajua what is going on, na jibu sahihi litakuwa ni MKEO NI CHEATER. Ingekuwa enzi za mababu zetu usingekuwa na haja ya kuchunguza kwa sababu gonorrhea dawa yake ni tetracycline, sasa hivi kuna ukimwi, unless wote muwe mna HIV tayari na mnatumia dawa hapo huna haja ya kuchunguza sana.
 
Back
Top Bottom