FirstLady1
JF-Expert Member
- Jul 29, 2009
- 16,789
- 5,417
Si wajua maisha ya siku hizi mkuu FirstLady1 ? Unaoa au kuolewa,ili mradi kutimiza wajibu...lakini unayempenda na kumfeel,si huyo unayefunga naye ndoa..
dah kazi kweli kweli
Si wajua maisha ya siku hizi mkuu FirstLady1 ? Unaoa au kuolewa,ili mradi kutimiza wajibu...lakini unayempenda na kumfeel,si huyo unayefunga naye ndoa..
Daah pole sana kaka! Najua maumivu unayoyapata. Mimi binafsi nina mchumba wa dizaini kama wife wako. Facebook sana na simu yake kua na password.
Nafikiria kuchukua maamuzi magumu yakumtosa. Lazima kuna kitu kibaya anafanya hataki wewe ujue. Kwakua wewe umeshafunganae vunja ukimya zungumzanae mwambie hupendi hiyo tabia.
Sitaki tena kujua password. Nilipewa password zilifungua laini mmoja tu ya pembeni kwenye kikao. Ila haijafungua simu.
Wala laini ya pili. Mke anadai ata wazazi wake wanajua siri zilizomo kwenye simu na hatakubali ifunguliwe . Babaake ni mchungaji wa kanisa la kilokole ni mtu wa miujiza sana.
Siamini katika miujiza ila walivyoniwini kwenye kikao na vitisho mie basi tena. Ni maisha ya mashaka lakini bora kuliko kufa leo.
"Kwa taarifa yako ata babaangu mzazi hawezi kukubali kuifungua cm hii... "
mi nakushauri achana kabisa na hayo mambo utakuja kuharibu ndoa unataka kuona ili iweje..wewe cha kufanya ongeza juhudi katika kuatafuta kipato mambo ya kuchunguza simu yashaleta vurugu sana na inategemea ulimpata katika mazingira gani? anaweza akawa ni mwaminifu tena sana ila akawa anachart na marafiki zake au hata ex akawa hataki uone....ila we jaribu kumwambia vipi tena mbona password nyingi uone jibu lake..............ila acha kabisa kufuatilia simu ya mkeo kama ni mwaminifu atakua hivyo milele ila kama ni kiruka njia atafanya tuu hata ukiona ni bora uachane kabisa na hicho kitu ufikirie zaidi kutafuta pesa...stress za nini maisha yenyewe mafupi
Kwa hiyo wewe lengo lako ndoa iendelee hata kama hakuna maelewano??Ni vizuri sana kuishi na mtu unayemuamini na ndio maisha. Hayo ndo matatizo ya kuoa kwa sababu ya mimba!!!
Ndoa ngumu nyie bora kujenga nyumba wakat pesa huna kuliko kukaa kwa ndoa lolz:thumbdown:
Umeona heeeh...bora jamaa akae mwenyewe tu ila huwezi kumshauri mtu, anatakiwa achukue maamuzi magumu coz inavyoonekana jamaa ndo alilazimisha na mimba yake.
Sijui kipi unasubilia na
alikwambia ULIMUWIN KWA KUMPA MIMBA ndio maana ukamuoa it means bado Ana
mambo yake! Ningekua Mimi huko kote hatufiki nampiga chini kuita mama
na wachungaji wakati ukweli binafsi unaujua kuna kitu kinafichwa huo ni
udhaifu unauonyesha! Endelea kumwagilia mti utakao tundika kamba ya
kujinyongea!
Acha kuishi maisha ya kujidanganya unless na wewe upo kama mwanamke huyu. Jiuliza tupo wangapi!! Jamaa ana haki kabisa ya kujua kinachondelea. Una-ignore tatizo dogo (with all the bad signs) under the pretext ume-grow up, kumbe unakaribisha tatizo kubwa.ndugu Mushumbusi simu ya MKE unaitakia nini? GROW UP dude...hayo sio mambo ya kufatilia kabisa...kama mwanaume u have more to work and worry for sio mambo hayo yatakuletea matatizo usiyoyatarajia bure!