Password nisizozijua kwenye Simu ya Mke wangu!

Password nisizozijua kwenye Simu ya Mke wangu!

Da natamani kusinzia basi ndoto mbaya tu.

Naingoja Asubui naamini mkewangu kutoka hospital ataruhusiwa tutakuwa wote nyumbani. Ntajaribu kumwambia jambo la password

au nikiona labda nitaalibu uchunguzi ntaangalia uwezekano wa kuifrash cm. Je nikiifrash simu meseji zilizo kwenye cm hazitafutika?
Je vp kama lain zimerockiwa zote ntazifunguaje. Ila nachooumia mtoto ndio huyo bado mchanga na ndo ugonvi

nabado nampenda sana mke wangu. Naomba nijue ukweli tu
Mawazo haya hayatoki kwa pombe.
 
pole ndugu yangu najua uko katika wakati mgumu katika maisha ya ndoa. kwa kuwa hivi sasa mkeo ndio kwanza amejifungua...pleaseee nakushauri usifanye jambo lolote. hata hiyo simu achana nayo for a while maana unaweza kutengeneza matatizo makubwa sana kwako mwenyewe na kwa mke wako! wewe mpe simu yake...mwache awe huru, ajivinjari atakavyo. ila wewe muombe Mungu wako akutie nguvu ya uvumilivu hadi wakati muafaka wa mkeo amepata fursa ya kupumzika baada ya hiyo shughuli ya uzazi. baada ya hapo sasa keti naye pamoja na umuulize kulikoni ana tabia zenye kutia mashaka na simu yake. hapo kamata simu yake nenda kwa phone IT expert atoe hayo ma-password ili sasa ujue chini ya mtungi kuna nini. then utafanya maamuzi rahisi au magumu! be blessed...
 
Dah tumekatazwa mambo ya simu ila huyo mkeo ana siri nzito sana ..maisha gani hayo?

Si wajua maisha ya siku hizi mkuu FirstLady1 ? Unaoa au kuolewa,ili mradi kutimiza wajibu...lakini unayempenda na kumfeel,si huyo unayefunga naye ndoa..
 
Last edited by a moderator:
mmmmmmmmh kazi kweli kweli hizi cm hizi haya, ila ndo mkae mzungumze isijekuwa hata mtoto si wako, vunja ukimya zunugmza na mwenzio au unasubiri mazunguzo yaje kwa msaada wa watu wa marekani?
 
Kwako wewe WM... Huu ushauri ulitakiwa uuombe jana.. Leo umeshaoa tayari,iweje uchukulie pupa jambo hilo utadhani ni jipya kwako?
Lipotezee kwa sasa,na acha 40 days zipite, mtakapokuwa mmeanza tena majamboz. Ungekuwa una kawaida ya utani na mwenza wako,jibu ungelipata kirahisi.
Labda utumie technique moja, unajua leo au kesho mtapeana majamboz,anza kumtumia maSMS kibao.. Ukirudi kuwa mcheshi, ikiwezekana muandalie na zawadi yoyote.Baada ya majamboz,mwambie au mwombe akuonyeshe SMS ulizomtumia,na umuulize alipenda ipi zaidi,kisha mchomekee la Password hilo.
 
Hii kali kama kiroba orginal inalewesha balaa

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Tangu lini simu ikawa kigezo cha uaminifu bhana, mie nina mchina wangu anajiita Iphone4s hii kitu ni balaaa ina blacklist sms na calls zote, yaani naweza kukuachia hadi kesho kutwa na kama sitaki hizo namba zangu (bahati mbaya sana hazipo) zisinipate basi kamwe hutakaa uniapte.

Bahati nzuri sana sina mazoea ya kusoma wala kupokea simu za mke wangu maana hazinihusu kabisaaaa, hata kama zitakua ni za wanaume(kama wapo) otherwise natwanga maisha yangu, simu yangu ikiita au sms ikiingia akitaka atasoma au atapokea, hataki atapotezea wala hakuna kulazimishana bhana. Yaani I really do not care abouit phone ya my wife wangu na mimi pia sitaki afuatilie phone yangu maana UAMINIFU haujengwi na kupeana simu tu, there is so much
 
Kama ni mimi angeifungua hiyo sm either kwa hiari au force, una haki ya kujua kila kitu kwa wakati unaotaka.

Ushauri wangu,

Leta noma ya ajabu, wala usijiulize maswali. Wanaokushauri usifatilie ni waoga/dhaifu. Kama unamegewa ni bora kujua kabisa ili ufanye maamuzi sahihi, angalia kaka utalea watoto wa jirani.
 
Simu ni njia nzuri isiyomsumbua shetani kuharibu ndoa.
::
Ukweli ktk ndoa ni muhimu sana hata kama unauma kiasi gani.Sindano inauma lakini inatibu
::
Ukweli ni kuwa mkeo amekuficha mengi zaidi ya password na ukiendelea kumvumilia kwa kile unachokiita upendo basi jiandae kulia machozi.
::
Mwambie akueleze ukweli.Na kama akikupa majibu yasiyoendana na uhalisia.Funga simu,facebook mzuie.Simama kama mwanaume kamili.
=
 
Kupenda halafu unashndwa kuchukua hatua sahihi huko siyo kupenda. Kama unaumizwa na pasword tafuta watu mahususi uombe pasword iondolewe mbele yao, aiondoe yeye.jionee kilichopo na muendelee na maisha. Akikataa ndo ujipime unaempenda anakuchukuliaje. Kujizungusha na kutafta kujua yaliyojificha kwa njia zisizo rasmi ni kuhatalisha afya yako na kujiweka kwenye uwezekano wa kufanya jinai kwa mkeo .
 
Nilifika hospital leo asubui sana saa moja kasoro. Nikamfata mke wangu kumsabai

alikuwa akisubiri ruhusa. Kwa upole nikamuuliza juu ya password. Nakumwomba anijibu ili roho itulie na nianze kufikiri juu ya mtoto pekee. Mke badala ya kunijibu akaangua kilio wodini. Ni machozi macho mekundu analia tu. Sikujua analilia nini.

Mida ya saa moja na nusu daktari wa zamu alipofika alipokuta kile kilio akaniuliza kunanini. Nikamjibu anasema dumbo linamuuma. Sasa imebidi asiruhusiwe mpaka mchana waone hali yake.

Sa analilia nini ata sijui. Na kwanini asinipe tu hiyo password mi moyo utulie .

Ma mkwe nae katimba hosptal imebidi tu kumdokeza kasema nisubiri kidogo nae kama kanishangaa ivi
 
Uki-panic utaharibu. Kaa kwa tahadhari na mama mkwe huenda anajua kitu.
 
We WM umekataa kusikiliza ushauri wetu... Basi yaoge maji uliyoyavulia nguo.. Sasa tutakusoma kama tumsomavyo CHAI CHUNGU
 
Last edited by a moderator:
Nilifika hospital leo asubui sana saa moja kasoro. Nikamfata mke wangu kumsabai

alikuwa akisubiri ruhusa. Kwa upole nikamuuliza juu ya password. Nakumwomba anijibu ili roho itulie na nianze kufikiri juu ya mtoto pekee. Mke badala ya kunijibu akaangua kilio wodini. Ni machozi macho mekundu analia tu. Sikujua analilia nini.

Mida ya saa moja na nusu daktari wa zamu alipofika alipokuta kile kilio akaniuliza kunanini. Nikamjibu anasema dumbo linamuuma. Sasa imebidi asiruhusiwe mpaka mchana waone hali yake.

Sa analilia nini ata sijui. Na kwanini asinipe tu hiyo password mi moyo utulie .

Ma mkwe nae katimba hosptal imebidi tu kumdokeza kasema nisubiri kidogo nae kama kanishangaa ivi

Nafsi inamsuta we hiyo cm usimpe kwanza mpaka akwambie ukweli .
 
We have a bad think in common, 'impatience'; hii kitu mbaya sana ulipaswa kuwa na kauvumilivu kadogo hadi mfike nyumbani.
Honestly l don't know what is wrong with your wife; huenda hukuwa chaguo lake.
 
Nilifika hospital
leo asubui sana saa moja kasoro. Nikamfata mke wangu kumsabai

alikuwa akisubiri ruhusa. Kwa upole nikamuuliza juu ya password.
Nakumwomba anijibu ili roho itulie na nianze kufikiri juu ya mtoto
pekee. Mke badala ya kunijibu akaangua kilio wodini. Ni machozi macho
mekundu analia tu. Sikujua analilia nini.

Mida ya saa moja na nusu daktari wa zamu alipofika alipokuta kile kilio
akaniuliza kunanini. Nikamjibu anasema dumbo linamuuma. Sasa imebidi
asiruhusiwe mpaka mchana waone hali yake.

Sa analilia nini ata sijui. Na kwanini asinipe tu hiyo password mi moyo
utulie .

Ma mkwe nae katimba hosptal imebidi tu kumdokeza kasema nisubiri kidogo
nae kama kanishangaa ivi

Yap ur about to win, girl friend wangu nikimhoj jambo akalia huwa kinachofatia yataka moyo coz unakuta kakosa kweli hvyo anajuta, nikwambie k2 kuwa na moyo wa ziada inshu yako si ya kitoto.
 
Daaaaaahhhhhhh....Mkuu tuliza mtima kwanza. Wacha mama atulie maana asijeshindwa hata kutoa maziwa ya dogo. japo dogo nahisi si wako. sasa cha kufanya.
1. Achana na cm ya mkeo -japo najua ni ngumu ila gugumia
2. Fanya mpango wA KUPIMA mtoto DNA- ila ujue jinsi ya kujiandaa kupewa majibu.

pole sana mkuu.
 
kama ni mtiani ndo umeshanikuta jamani!

Mke wangu alikuwa kaokoka. Tena ni mtoto wa mchungaji kabisa. Hivyo ndivyo vitu vilivyonifanya nimuamini sana. Na kuja kwangu bila cm kwa wakati huo niliamini labda hana watu wa kuongea nao, hana mambo mengi na alihisi inampotezea muda.

Sasa ndo najiuliza zaidi. Pamoja na kuokoka kwake Mbona nilitembea nae kabla ya ndoa. Pili ndoa tuliipanga haraka haraka tukihofia mimba changa aliyonayo isionekane.

Nilikuwa nafumba macho usingizi hauji. Nimesinzia kidogo naota ndoto mbaya sana.

Mungu nisaidie
Aisee, nimeguswa saana na thread yako jamani, hivi kuna wanakwake wa namna hii!! pole sana kaka yangu

Ushauri wangu kwako;
Kwanza mwambie wazi kabisa kwamba akupe pasword ya simu yake kama kweli wewe ni mume wake.

Pili akikataa, mtishie kwamba unaipeleka simu kwenye makao makuu ya mtandao husika mfano tigo, voda nk ili waifungue na ni bora akupe pasword kuliko akusumbue namna hiyo kwani ukweli utakao upata huko itakuwa ni majuto katika maisha yake

Tatu, kuanzia sasa simu yake usimpe mpaka akupe pasword au akuambie ukweli kuhusu usiri huo, simu kaa nayo hadi ujue ukweli

Pole sana na Mungu akusaidie, huyo alifuata ulokole wa wazazi tu yeye mwenyewe si mlokole, elewa hilo
 
Back
Top Bottom