Yo Yo
JF-Expert Member
- May 31, 2008
- 11,210
- 1,743
niaje aje dogo......box vipi mgongo umeshapinda huo...rudisha majeshi mavumbiniRichie Mugizi :becky:
niaje aje dogo......box vipi mgongo umeshapinda huo...rudisha majeshi mavumbiniRichie Mugizi :becky:
Jamani naomba saana ushauri wa dhati. Natamani kujua mke wangu anasiri gani kwenye cm mpaka password na tulikuwa wawili nyumbani likizo nzima mwezi moja akijiandaa kujifungua.
Kaniulizia kama nimeiona cm yake nimekataa. Nataka nitumie usiku wa leo kuweza kujua kilichofichwa ndani.
La sivyo nazidi changanyikiwa mwenzenu nahisi nisipo jib mpakua asabuioi ntakua mwehu!
Kwani niliitoa laini yake ya pembeni nikaweka kwenye cm yangu ikataa kuwaka mpaka pini nimejaribu mpaka mara mbili nikienda ya tatu tu inabrok. Imebaki lain moja ya ndani kwenye cm. Kwani cm yake ni nokia double line. Na kuna meseji imeingia yani wasi wasi tupu ata raha ya mtoto sipati jamani.
Daah pole sana kaka! Najua maumivu unayoyapata. Mimi binafsi nina mchumba wa dizaini kama wife wako. Facebook sana na simu yake kua na password.
Nafikiria kuchukua maamuzi magumu yakumtosa. Lazima kuna kitu kibaya anafanya hataki wewe ujue. Kwakua wewe umeshafunganae vunja ukimya zungumzanae mwambie hupendi hiyo tabia.
Kweli maisha ni mapambano kwani ukweli ndo huo japokua ni ngumu kumezandugu Mushumbusi simu ya MKE unaitakia nini? GROW UP dude...hayo sio mambo ya kufatilia kabisa...kama mwanaume u have more to work and worry for sio mambo hayo yatakuletea matatizo usiyoyatarajia bure!