Pasco - Unawezaje kusema maneno kama haya ?

Pasco - Unawezaje kusema maneno kama haya ?

vipi kuhusu mauaj ya al shabaab na boko kharam yenyewe mbona hukemei au wao ni jihad. tulia mrudishe adabu mana mmezoea kuchekewa sasa mmepamia pabaya, lile taifa hata dunia nzima iungane kulipiga never hamtawezd
Tatizo husomi, unakurupuka tu....

nimekemea sana tu hata kwenye hii thread

dhuluma ndio tatizo, na kwa mizizi ya vitabu vya watu waliokua hawajui dunia ni duara bado tunadhulumiana uhai na haki za msingi
 
Kosa lipi lililoondolewa kwa kutenda kosa ewe punguani mwengine?

Sema hapo kama hakuna urafiki uliotajwa miaka zaidi ya 1400 nyuma. Cha kushangaza, hao hao waliwaua ma jews kwa mamilioni leo eti ndio wa maana. Wale walowahifadhi ma jews ndiyo maadui? Khaa! hamna hata fikra?

Hao ma jews miaka kwa miaka kabla ya ma jews wa Europe kuhamishiwa Palestina walikuwa wanaishi nchi za Kiarabu ulisikia wakiuliwa kama walivyouliwa na Hitler? hapana, Tena wala hawakunyanyaswa, na wengine wapo mpaka leo, lakini huwasikii kulalamika kabisa katika nchi zenye Waislam, wako huru na wala hawabughudhiwi, leo hao hao waliofuta ramani ya Palestina duniani wanatetewa na nani?

Qur'an 5:51. Enyi mlio amini! Msiwafanye Mayahudi na Wakristo kuwa ni marafiki. Wao ni marafiki wao kwa wao. Na miongoni mwenu mwenye kufanya urafiki nao, basi huyo ni katika wao. Hakika Mwenyezi Mungu hawaongoi watu wenye kudhulumu. ***

punguani waheed
 
Kabla haujamchambua Pasco ulitakiwa kufahamu kwa nini alitoa hiyo kauli.

Labada nikuulize wewe unyama wanaofanyiwa Palestine na Israel wewe huoni kama tatizo wala Israel wanafanya ushenzi.

Hivi unaona maiti za watoto mitaa gaza zilivyotapakaa.

Kwa hapa Ritz nakuunga mkono,yaani wao wanaona Wapalestina wanavyouawa ni kawaida wamebaki kusema Israel ni taifa teule Mungu gani anayeteua taifa la kufanya mauaji kwa watu hata wasiohusika? Mi simtetei Pasco ila ulipaswa ujue content nzima ya ujumbe wa Pasco,nami pia siungi mkono mauaji yanayofanywa na Israel na hata hayo yanayosemwa kuwa wao ni taifa teule hizo ni propaganda tu zilizoasisiwa toka zamani na hilo taifa teule si la sasa labda la miaka ya akina Ibrahimu na Musa.

Muacheni Pasco alirelux!
 
Last edited by a moderator:
Pasco ametoa maoni yake na wewe toa maoni yako na mwingine atoe maoni yake!Ndiyo maana ya mjadala na hii ni public forum.Hatuwezi kuwa na mawazo sawa wote,tutakuwa machizi.

Nenda kwenye thread husika um"quote" Pasco ataona notification atakuja kukujibu na kukuelezea mantiki yake.

Pia ukumbuke Pasco yule mshkaji mara nyingine huwa ana mizaha na sometimes anakuwa serious.Ni vizuri ukasoma mood yake kwenye hiyo topic na je ilikuwa comment ya kwanza au kuna zingine za nyuma yake kwenye hiyo thread na alisemaje.Otherwise Pasco yuko poa sana tu.....!

Hata mi nashangaa kumhuku Pasco kwa kipande cha mstari pia siungi mkono matendo wanayoyafanya Waisrael dhid ya ndugu zao wa Palestina lakini pia siungi mkono suala la kwamba eti race yote ya Waisrael ingeteketezwa si sawa na mauaji wanayoyfanya walipaswa kukemewa na mtu yeyote mpenda haki!
 
''Racism springs from the lie that certain human beings are less than fully human. It's a self-centered falsehood that corrupts our minds into believing we are right to treat others as we would not want to be treated.''-Alveda King

This statement defines the main reason for genocides. Perpetrators of genocide use it against others, but unfortunately the victims of genocide once they rign deploy the same principle. I have visited several extermination camps and met this statement at Dachau "NEVER AGAIN". With all my sympathy to the holocaust victim I don't understand the action of Israel to turn a whole Palestinian statent into a big "Warsaw Gheto".
It comes down to one srvival instinct of human beiing is no better than that of animals in the bush. To think of exterminating a race or nation is a grievous crime but what about banishing others to the oblivion. Should we close our eyes to crime maintain the historical sympathies?
will it be ever possible for the victor and looser co existand have a mutual respect of the others right to exist? It looks like a vicious circle with the pressure for the underdog to come out ever increasing.
If we ever have to learn from history, Tanzanians, and the rest of the world, should avoid starting the circle of hatred. When i listen to the cmmentaries from the Dar es Salaam Chief Kadhi that God understands and knows our differences be it religious,race,prosperity. Peace is glassy. Don't let it get shattered, it will never be the same after.

 
Taifa la Mungu linaloshambulia kwa makombora vituo vya walemavu,wanawake na Watoto?Ni la Mungu huyu huyu ninayemuabudu au Mwingine?

Unajua sisi waafrika dini inaweza kuwa uchawi mbaya kuliko kitu kingine chochote

Hakika mkuu,umenikosha sana leo dini ni sumu mbaya sana hasa kwa sisi watu weusi.
You made my day!
 
Tatizo katika hoja ya Waisrael na Wapalestina kila mara ikitokea kunaibuka pande mbili za wakristo na waislam ndiyo maana mimi nachagua kukaa kimya. Ni Mungu pekee atakayeweza kuamua ugomvi huu siyo UN Ulaya wala Marekani
 
Bado hajajitambua ni mkristo badia anaenda kanisani kufuata mkumbo tu,anadhani Waisrael wapo pale kwa bahati mbaya hivyo wanatakiwa kufutwa kwenye uso wa dunia huo ni ujuha wa aina yake jiulize pamoja na dicteta wa Ujerumani hudhamiria hivyo mbona alishindwa KUWAFUTA.???Pasco soma Biblia,una chuki na Waisrael rohoni mwako siku nyingi na si leo,Mungu aliliona hilo akaruhusu ajali ya pikipiki ikupate kama onyo kwako hujasikia ukaponea ICU,ukiwachukia Waisrael unaanzisha vita na Mungu,kwa maneno yako hayo tayari umeisha laanika wewe pamoja na familia yako.sikutishi ila tabia yako ya kinafki ya kutaka kuwaonea huruma hamas sijaipenda,kuwa mkweli katika vita hii ya sasa nani kamchokoza mwenzie??

Acha kumtisha Pasco,taifa gani teule linafanya mauaji ya namna hiyo wewe?
 
Nilijua umeitoa kwenye biblia.Lakini lazima tujue kuwa biblia imeandikwa na watu kama wewe na mimi.Hata kama wewe ni mlokole lazima utambue kuwa siyo maneno yote ya kwenye biblia yametoka kwa Mungu!

Huyo aliyeandika hicho kitabu cha Peter ni myahudi(Vitabu vingi vya biblia vimeandikwa na wayahudi) hivyo akiandika hicho alichoandika ni sawa tu kwavile naye ni mmoja wa wayahudi,lazima wajipe hizo sifa ziso na mantiki.

Sasa mimi na wewe yanatuhusu nini haya?Wewe ambaye si mpagani,ni muumini safi;unaamini kuwa Mungu hana upendeleo na ukimuomba kwa dhati atayajibu maombi yako,halafu hapohapo unaamini kuwa Mungu huyohuyo asiye na upendeleo kumbe kuna taifa moja analipenda kuliko mengine na kuna baadhi ya binadamu anawapenda kuliko wengine?

Sasa nawe ndugu yangu kwanini Mungu huyu awe na upendeleo kwa mataifa mengine na alipende hilo moja tuu?
 
Exactly!

Na ndipo shida ilipo. Tunashindwa kutofautisha imani zetu na dhulma nyinginezo duniani. Kama kuna dini inafundisha dhulma dhidi ya binadamu wengine. Na ilaaniwe. Na hiyo siyo dini ya Mwenyezi Mungu aliyeumba mbingu na nchi na vyote vilivyomo. Dini ni upendo na heshimwa kwa binadamu wenzetu hata kama hatukubaliani na mawazo yao.

I for one, naamini kabisa..an eye for an eye..will make the world blind. Rockets na mizinga haviwezi kumaliza tatizo la Israel na waPelestina. Ni mazungumzo tuu. Lakini unakuta pande zote kuna wahafidhina wanaaona kwamba wao ndo wenye haki pekee. Israel anachofanya pale Gaza mimi naona SI SAWA. Hivo hivyo anachofanya Hamas kulipua rokect na makombora kule Israel SI SAWA.

As I said before, mjadala kama huu hauwezi kufika mbali au kujadiliwa kwa tija kwa sababu tayari tumeshachagua upande. Na tatizo kubwa ni imani zetu.

Mhukumu Myahudi na Mpalestina kwa matendo yake na wala si imani yake kamwe.

Tujifunze kujadili hoja bila kuitana majina. Tukishinda huo mtihani tutakuwa tumemteka adui yetu.

Masanja


Aisee na wewe umenena yaliyo haki mkuu,watu wanaendekeza saana dini kuliko hata ukweli wa mambo ulivyo.
 
Sasa nawe ndugu yangu kwanini Mungu huyu awe na upendeleo kwa mataifa mengine na alipende hilo moja tuu?

Labda silielewi swali lako au hukuelewa nilichokiandika.Rudia kunisoma kwa kufuatilia mtiririko wa hoja au liweke swali lako vizuri ili nilielewe
 
Labda silielewi swali lako au hukuelewa nilichokiandika.Rudia kunisoma kwa kufuatilia mtiririko wa hoja au liweke swali lako vizuri ili nilielewe

Kwa nini Mungu afanye upendeleo wa kuteua taifa moja tu(Israel) ni Mungu huyu huyu ninaemuabudu hata mimi au yupo mwingine ndugu?
 
God bless Israel, a Holy Nation and a chosen race!!!!!

Mawazo ya kipuuzi na ya kitumwa.Yaani wewe huitaji hizo baraka za huyo Mungu,wala Taifa lako haliwezi kuwa takatifu na asili/race yako ya kiafrika haiwezi kuwa the chosen one,duh
Kweli waafrika tuna safari ndefu sana

Mnanionea bure, I was only quoting from the bible (1 Pet 2:9- 10) regardless Peter's context. "But you are A CHOSEN RACE, A royal PRIESTHOOD, A HOLY NATION, A PEOPLE FOR God's OWN POSSESSION, so that you may proclaim the excellencies of Him who has called you out of darkness into His marvelous light;10for you once were NOT A PEOPLE, but now you are THE PEOPLE OF GOD; you had NOT RECEIVED MERCY, but now you have RECEIVED MERCY.…

In case you didn't know that then count yourselves Pagans.....!!!

Nilijua umeitoa kwenye biblia.Lakini lazima tujue kuwa biblia imeandikwa na watu kama wewe na mimi.Hata kama wewe ni mlokole lazima utambue kuwa siyo maneno yote ya kwenye biblia yametoka kwa Mungu!

Huyo aliyeandika hicho kitabu cha Peter ni myahudi(Vitabu vingi vya biblia vimeandikwa na wayahudi) hivyo akiandika hicho alichoandika ni sawa tu kwavile naye ni mmoja wa wayahudi,lazima wajipe hizo sifa ziso na mantiki.

Sasa mimi na wewe yanatuhusu nini haya?Wewe ambaye si mpagani,ni muumini safi;unaamini kuwa Mungu hana upendeleo na ukimuomba kwa dhati atayajibu maombi yako,halafu hapohapo unaamini kuwa Mungu huyohuyo asiye na upendeleo kumbe kuna taifa moja analipenda kuliko mengine na kuna baadhi ya binadamu anawapenda kuliko wengine?

Kwa nini Mungu afanye upendeleo wa kuteua taifa moja tu(Israel) ni Mungu huyu huyu ninaemuabudu hata mimi au yupo mwingine ndugu?

Huo ndiyo mtiririko wa hoja ulivyokuwa.Nadhani utakuwa umeelewa sasa nilichoandika
 
wewe unamshangaa Pasco wa JF, mshangae pia na Raisi wa Marekani HARRY TRUMAN aliyewahi kusema haya yafuatayo kuhusu wayahudi mnamo tarehe 21 July mwaka 1947 katika diary yake

[FONT=Verdana, Arial, Helvetica, sans-serif]"The Jews, I find are very, very selfish. They care not how many Estonians, Latvians, Finns, Poles, Yugoslavs or Greeks get murdered or mistreated as D[isplaced] P[ersons] as long as the Jews get special treatment. Yet when they have power, physical, financial or political neither Hitler nor Stalin has anything on them for cruelty or mistreatment to the under dog. Put an underdog on top and it makes no difference whether his name is Russian, Jewish, Negro, Management, Labor, Mormon, Baptist he goes haywire. I've found very, very few who remember their past condition when prosperity comes".

source: Truman Library - Harry S. Truman 1947 Diary, July 21
[/FONT]
 
“We know too well our freedom is incomplete without the freedom of the Palestinians.”- NELSON MANDELA

HOW PROPHETIC THESE WORDS WERE!
 
Back
Top Bottom