FaizaFoxy
Platinum Member
- Apr 13, 2011
- 100,506
- 123,802
God bless Israel, a Holy Nation and a chosen race!!!!!
Na hao hao ndio wanasema kila atundikwae msalabani ana laana na nyinyi mkakubali kuwa Yesu ana laana kwa kutundikwa msalabani.
Wala hatuwashangai, tuna maandiko yana miaka zaidi ya 1400:
Qur'an 5:51. Enyi mlio amini! Msiwafanye Mayahudi na Wakristo kuwa ni marafiki. Wao ni marafiki wao kwa wao. Na miongoni mwenu mwenye kufanya urafiki nao, basi huyo ni katika wao. Hakika Mwenyezi Mungu hawaongoi watu wenye kudhulumu. ***