Pasco na waandishi wenzako...

Rushwa na uroho wa madaraka vipo kila mahali,ndio maana Chadema walitaka kutwangana mpaka kwenye msiba..
 
katika watu wanaojipendekeza kwa lowasa walionishangaza ni pasco. Huyu jamaa angekuwa ni demu basi nisingekawia kusema ni nyumba ndogo ya lowasa. Jamaa alituletea habari ya kupanda hata juu ya kaburi ili apate picha ya kupiga jk akishikana mkono na Dr.slaa, haitoshi akaleta taarifa kuwa mtoto wa lowasa wa kike kafiwa na baba mkwe wake hivyo tumpe pole lowassa kafiwa na mzazi mwenziwe. jirekebishe mkuu, acha fikra za kitumwa juu ya mtu,usiwe mtumwa wa fikra kwa ajili ya mwingie. Kuwa mtu huru kifikra pascoooooooooo!
 
Pasco ndo yule yule wa PPR?, kama ndiye ni mnafiki sana....................

Kwani huyu pasco wa jf ndiye pasco mayala wa ppr? can't be serious man! Kama ndiye atakuwa anadhalilisha hata elimu yake ya sheria.
 
Nimeanza kujiuliza hivi kumbe Wasukuma wana tabia za kujipendekeza kwa wenye uwezo ili kupata mkate wa kila siku, bila kujali utu wao?au ni Wasukuma wa hiki kizazi kipya tu ndio wanafanya haya mambo ya kujidhalilisha namna hii,nilifiri usomi unamsaidia mtu kujiondoa katika utegemezi kumbe nimekosea
 
Hivi huyo Pasco ndo yule Mayala? Kama ndio yeye basi nadhani atakuwa ni mmoja wa waandishi wanafki wakubwa hapa TZ.Mnakumbuka ule mdahalo wa Tundu Lisu na Habibu Mnyaa pale Movenpick alisemaje? Kabla ya kumuuliza swali Tundu Lisu ali-declare interest kuwa yeye si mshabiki wala hana kadi ya chama chochote cha siasa.Lakini sasa hivi amejipambanua kuwa yeye ni mmoja wa wapiga debe wakubwa wa Lowasa.Ina maana EL hana chama? Inatia mashaka sana juu ya credility za waandishi wa namna hii kwani wengi wao ni wachumia tumbo tu.

Inaonyesha kuwa Pasco ameamua ku-gamble kwa reside upande wa Lowasa ili akifanikiwa basi naye apate fadhila kama alizopata SAlva Rweyemamu.Pasco bahati ya mwenzio usiilalie mlango wazi kwani unaweza kuishia kuliwa na simba.

Hako kajamaa kuna wakati nilikuwa nakapa credibility fulani. Lakini baada ya kuhongwa na Yusuph Makamba, kakaenda kumhoji Mzee Moses Kulola (from nowhere), kakampa maneno ya kumsifia Kikwete ayaseme, then yakarushwa kwenye Tv, nilikaona haka kajamaa hakana maana. Hata kalipokuja na hoja ya kumtetea Lowassa, nikajua tu kamepewa vijisenti vichache... Kalipoenda kupanda kwenye kaburi la Regia ili kapige picha ya Slaa akisalimiana na Kikwete, nikajua ni kanjanja tu..
 
pasco na shibuda ni ndugu..huwa na muona ona hapa maswa kwa shibuda..au huja kuchukua bahasha
 
Mkuu Pasco , sasa msiba umepita na Mh.Regia apumzike kwa amani .Naona sasa ni wakati muafaka unipe jibu juu ya wewe na wenzako kupenda bahasha za khaki ili muweze kuandika habari kwa watanzania kujua nini kinaendelea .Karibu tuanzie hapa kwanza maana kwangu nimeshangaa kwamba unahongwa ili uandike habari hata zile ambazo ni za manufaa kwa jamii lakini lazima bahasha ya khaki .

Naomba niulize hivi, umepataje uhakika kuwa Pasco anapenda bahasha za khaki? Na kujuaje kuwa anahongwa?
 
Mkuu Pasco , sasa msiba umepita na Mh.Regia apumzike kwa amani .Naona sasa ni wakati muafaka unipe jibu juu ya wewe na wenzako kupenda bahasha za khaki ili muweze kuandika habari kwa watanzania kujua nini kinaendelea .Karibu tuanzie hapa kwanza maana kwangu nimeshangaa kwamba unahongwa ili uandike habari hata zile ambazo ni za manufaa kwa jamii lakini lazima bahasha ya khaki .

Na wewe umepewa sh ngapi na aliyekutuma kuleta bandiko hili hapa? Kwa yeyote anayemtetea Lowasa hapa anaambiwa anapokea bahasha ya khaki, makengeza siyo ugonjwa wa kumfanya mtu ashindwe kuona! Ila makengeza yako wewe yanahitaji miwani ili usichukulie mambo kwa 'macho kumchuzi' Akipokea bahasha we inakuhusu nini. Hujalazimishwa wewe pamoja na wale wenye mtazamo kama wako, kusoma, kufuatilia au kusikiliza habari zinazoletwa na mtu anayechukua bahasha.
 
Katika waandishi wote nina mfagilia Fred Katulanda wa Mwananchi kutoka Mwanza,huyu hafungamani na upande wowote,anaandika anachokiamini,kukiona na akisikia lazima afuatilie kwanza kabla ya kukiandika, hawa kina PASCO ni wale mkono kinywani kwanza ndo habari iandikwe,kwa zile habari za kijijini wasiokuwa nazo kwake ni mwiko.Ukitaka kujua habari zake nyingi humu niza wale wenye nazo tu.
 
mimi kwa upande wangu ningefurahi sana,mwandishi kama Pasco angejikita ktk habari za kiuchunguzi kama wafanyavyo wale jamaa wa JICHO PEVU,kwani hii ingeweza kutusaidia watz kushusha mzigo tulionao wa kulipa madeni yasiyotunufaisha sisi hata wao kina PASCO

labda nimpe ushauri kuwa anaweza kwenda kenya akajifunza jinsi wale jamaa wanavyofanya kazi,kuliko kila siku kutuleta habari za kupaste na kucopy ama hata kuleta habari za kwanini Slaa hakusalimiana na Kikwete
 
Wana JF
Nimeona kama bandiko langu wachache wananshindwa kunielewa na kuanza kuuliza maswali ya kijinga .Mimi wakati naandika hili sikujua na sikutegemea kama Pasco anakula mlungula ila kwa sababu rafikia yangu alitaka habari yake iende kwenye jamii kuhusiana na matatizo ya majanja yta moto Tanzania , basi akaambiwa anaweza pia kuwaita waandishi au aende habari na maelezo akaseme aliyo nayo .Alienda akaambiwa saa moja ni shiling 60,000 na pia lazima ajiandae kwa bahasha kama anataka habari yake itoke kwenye chombo cha habari maana bila hivyo hawataandika watamsikiliza na kukaa kimya .Ndiyo nikaja kuleta hoja hapa na kuomba Pasco asaidie maana ni mwandishi wa habari .

Sasa naomba tujikite kwenye hoja na tuache uvivu wa kusoma na kuanza kuhoji kijinga kijinga .Wachache wanafanya kila kitu siasa no hii ni serious .Kwa ninij bahasha kwanza ndipo habari iende hewani ?

Pasco tafadhali saidia maana ulisha sema unagawa bahasaha na wazipenda .
 
Kumbuka kuwa umetumia neno 'Unahongwa' ukiwa na uhakika na unachokisema. Hapa tena unasema hukujua kama Pasco anachukua mlungula. Ndo maana nikasema una makengeza katika maono yako. Watu wanajishughulisha kuelewa kile ulichoandika.
 
Wana JF
Nimeona kama bandiko langu wachache wananshindwa kunielewa na kuanza kuuliza maswali ya kijinga .Mimi wakati naandika hili sikujua na sikutegemea kama Pasco anakula mlungula ila kwa sababu rafikia yangu alitaka habari yake iende kwenye jamii kuhusiana na matatizo ya majanja yta moto Tanzania , basi akaambiwa anaweza pia kuwaita waandishi au aende habari na maelezo akaseme aliyo nayo .Alienda akaambiwa saa moja ni shiling 60,000 na pia lazima ajiandae kwa bahasha kama anataka habari yake itoke kwenye chombo cha habari maana bila hivyo hawataandika watamsikiliza na kukaa kimya .Ndiyo nikaja kuleta hoja hapa na kuomba Pasco asaidie maana ni mwandishi wa habari .

Sasa naomba tujikite kwenye hoja na tuache uvivu wa kusoma na kuanza kuhoji kijinga kijinga .Wachache wanafanya kila kitu siasa no hii ni serious .Kwa ninij bahasha kwanza ndipo habari iende hewani ?

Pasco tafadhali saidia maana ulisha sema unagawa bahasaha na wazipenda .

Kabla ya kusema umeulizwa masuali ya kijinga, kapitie tena bandiko lako. Uliposema "juu ya wewe na wenzako kupenda bahasha ya khaki" na "nimeshangaa kwamba unahongwa," ulitegemea uulizwe vipi?

Kama unameonyesha kuwa una uhakika kuwa Pasco anapokea mlungula na bahasha za khaki lazima uulizwe umejuaje, na kama unavyojieleza kuwa hukuwa unajua chochote basi ulichofanya ni defamation, umemvunjia heshima Pasco kwa kumtaja kiholela kuwa ni mpokea rushwa.

Mkuu Pasco , sasa msiba umepita na Mh.Regia apumzike kwa amani .Naona sasa ni wakati muafaka unipe jibu juu ya wewe na wenzako kupenda bahasha za khaki ili muweze kuandika habari kwa watanzania kujua nini kinaendelea .Karibu tuanzie hapa kwanza maana kwangu nimeshangaa kwamba unahongwa ili uandike habari hata zile ambazo ni za manufaa kwa jamii lakini lazima bahasha ya khaki .
 
Kabla ya kusema umeulizwa masuali ya kijinga, kapitie tena bandiko lako. Uliposema "juu ya wenzako kupenda bahasha ya khaki" na "nimeshangaa kwamba unahongwa," ulitegemea uulizwe vipi?

Kama unameonyesha kuwa una uhakika kuwa Pasco anapokea mlungula na bahasha za khaki lazima uulizwe umejuaje, na kama unavyojieleza kuwa hukuwa unajua chochote basi ulichofanya ni defamation, umemvunjia heshima Pasco kwa kumtaja kiholela kuwa ni mpokea rushwa.

Huyu jamaa anaakili kama za Kishoka anayesahau sigara mdomoni na, kuanza kuitafuta huku akiwagonga makonzi wanawe wamwoshe walipoificha.
 
Hii habari ni crap! Mtoa hoja ameshindwa kuthibitisha kuhusu bahasha ya kakhi na Pasco ni kumvunjia heshima! Pasco ucje kujibu huu upupu! Lowasa Raisi mpya 2015
 
katika watu wanaojipendekeza kwa lowasa walionishangaza ni pasco. Huyu jamaa angekuwa ni demu basi nisingekawia kusema ni nyumba ndogo ya lowasa. Jamaa alituletea habari ya kupanda hata juu ya kaburi ili apate picha ya kupiga jk akishikana mkono na Dr.slaa, haitoshi akaleta taarifa kuwa mtoto wa lowasa wa kike kafiwa na baba mkwe wake hivyo tumpe pole lowassa kafiwa na mzazi mwenziwe. jirekebishe mkuu, acha fikra za kitumwa juu ya mtu,usiwe mtumwa wa fikra kwa ajili ya mwingie. Kuwa mtu huru kifikra pascoooooooooo!

Jamaa ni bingwa wa unafuki.Ila siku za watu kama hawa zinahesabika.Yu wapi Yusuph Makamba aliyekuwa Jemedari wa ngonjera na mapambio ya kudhalilisha utu wa watu kisa si wana magamba! Anasubiriwa afe watu wakaomboleze.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom