NAWATAFUNA
JF-Expert Member
- Nov 14, 2019
- 13,281
- 24,064
Ahhh hahahahahHuwa unabishana sana na ndugu yangu huyu, mnapendana![]()









Mbona ameweka picha unazani picha sio utambulisho?Ni kweli,ila moja ni "real id" na mwingine ni "fake id".Kwa hiyo mwenye "real id" ni mkali zaidi ya huyu mbobezi wa mambo ya kichawi,ajitambulishe ili tumfikirie kumpa pointi za ushindani!!Hahahahaaa!!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Una unakika gani kuwa hio ni picha yake?.
malizia na kumlamba mtu kin yeo!Pascal Mayalla ni mmoja wa anayetumia kalamu yake kuishi though naye tutampoteza any day maana anaguza nyeti za wadosi.
Mshana Jr ni like nabii ambao Corona imewaumbua, he is there sasa kaanza kusoma vidole, ni kama wateja wamepungua sana as everyone kajifungia kwake.
Nani ni zaidi ,
Namtaja Mshana Jr ni zaidi sana maana alishasema alimtia dead person,
Sent using Jamii Forums mobile app
Mbona mshana ni jina lake halisi ,na hata picha yake alishatuma humu.Ni kweli,ila moja ni "real id" na mwingine ni "fake id".Kwa hiyo mwenye "real id" ni mkali zaidi ya huyu mbobezi wa mambo ya kichawi,ajitambulishe ili tumfikirie kumpa pointi za ushindani!!Hahahahaaa!!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Sio P Mayala mimi ila namfahamu sana sasa aliyeleta hoja ya kutaka kujua nani zaidi nimejibu kutokana na kumjua zaidi P
Umesahau ule uzi wa mshana without sunglassUna unakika gani kuwa hio ni picha yake?.
Mhh basi sikuuona
malizia na kumlamba mtu kin yeo!




Natamani kujua shule ulizosoma Mshana maana kusema ukweli we jamaa very exceptional that I can't compare.Super genius of JF.
Sent using Jamii Forums mobile app







Nimeikumbuka, you know what nina plan ya kufanya project ya kufungua kituo cha maombi na Mshana Jr, so ikabidi nikaushe, ila yalimkuta.
Sent using Jamii Forums mobile app
