Pascal Mayalla V/S MshanaJr nani zaidi?

Pascal Mayalla V/S MshanaJr nani zaidi?

Dogo binadamu hawafananishwi, hafu jua kuwa Paschal ni kada mtiifu wa CCM na mtia nia ya Ubunge ambaye jina lake litakatwa, Mshana ni kijana wa makamo ambaye huleta hoja nyingi fikilishi ziwe za ulozi, mapenzi, Siasa, uchumi nk.Paschal amejiegemeza zaidi kutetea watawala wa awamu hii
🙏 😀😃😄😁😆😅😂🤣😍
 
😀😀😀
 
Mh... Huo mpambano mbona watu wawili tofauti !?
Hapo kuna mchumia juani na mchumia giani
 
Back
Top Bottom