Pascal Mayalla V/S MshanaJr nani zaidi?

Pascal Mayalla V/S MshanaJr nani zaidi?

Wakuu poleni na janga la Covid-19. Naamni mnaenda kuchukua tahadhari zote zinazotolewa na wataalamu wetu wa afya,bila kusahau kuendelea kufanya yale maombi ya siku 3.

Leo wakati naperuzi zangu jamiiforum nikawa nasoma post mbalimbali za watu lakini nikavutiwa na maandiko ya hawa jamaa wawili Mayalla na Mshana Jr. Ni dhahiri nyuzi zao ndo zinaongozwa kwa kusomwa na watu. Nikaona si vibaya km tumkitafta Tanzania one (T.O) wa Jamii Forum kwa kuwapambanisha hawa malegendari. Je nani zaidi?

Sent using Jamii Forums mobile app
Unawezaje kulinganisha vitu visivyo na uhusiano?
Mfano unalinganisha timu ya volleyball na timu basketball? Kuna akili hapo.

Pascal ni freelance journalist. Mshana sio journalist hata kidogo lakini kabobea kwa mada zake nyingi kuhusu mambo ya imani.

How on Earth do you compare the two? Unashusha hadhi ya JF.
 
Wanajamii forum wakifanya mjumuisho wa yooote watakupa majibu.
Kwa hiyo unawapambanisha kwenye nini haswa?
Mtu ambaye ana nyuzi nyingi?
Mtu ambaye nyuzi zake zinasomwa sana?
Mtu ambaye anapenda kufungua nyuzi tuu?
Mtu ambaye anaongoza kwa kupest nyuzi zake kwenye nyuzi za wenzake.?
Mtu ambaye anaongoza kwa kutumia emoji sana?
Mtu ambaye ana kitambi kumzidi mwenzake?
Kuwa wazi tujue.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Umenikera sana kumlinganisha mshana na pumba za kuku a.k.a makarai ya kukaangia chips za magomeni ... Umenikera Sana mleta mada ungekuwa karibu yangu leo nilikuwa naenda kulala Segerea hakya mama

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Dogo binadamu hawafananishwi, hafu jua kuwa Paschal ni kada mtiifu wa CCM na mtia nia ya Ubunge ambaye jina lake litakatwa, Mshana ni kijana wa makamo ambaye huleta hoja nyingi fikilishi ziwe za ulozi, mapenzi, Siasa, uchumi nk.Paschal amejiegemeza zaidi kutetea watawala wa awamu hii
Paschal alishaamua kuwa mpiga ramuli wa serikali, Mshana anajitahidi sana ingawa bado ana ya kujfunza. Mimi binafsi Mayalla ananiangusha sana ni mwandishi wa kitambo na nadhani ni agemate wangu wangu ila kaamua kuitelekeza taaluma yake.
 
Sina historia ya Mshana na sijui kama ndio jina lake halisi. Kama mimi hili hapa sio jina langu halisi. Ila utafanyakosa la mwaka kuweza kumuweka P na mshana katika mizani. Kama utakuwa na umri mkubwa kama mimi natarajia kabisa huyu Mayala ni wa kumheshimu na kama utakuwa mdogo kama mtoto wangu rejea mkutano wa kwanza wa JPM na waandishi wa habari swali aliloulizwa Ngosha mpk akashindwa kujibu akaingilia kutoa maana ya jina la Mayala. Nenda maktaba ya Taifa kasome 1995 Mayala alifanya nini katika uchaguzi wa Zanzibar. Huyu ni Paskali wa Maonesho ya 77 kila akiingia mabanda yote yanampa kazi sasa Mshana analipi jipya. Paskali huyu ambaye alivuna miaka ile ya kuendesha kipindi bora kabisa kuwahi kutoka tokea kuingia kwa Luninga kwa Watanzania japo zilikuwepo ila wenye roho mbaya wakazuia ili waone wao. Huyu ndio Paskali mwandishi hasa wa habari sio waandishi wa mitandao ya kijamii. Huyu ni Mayala aliyetumia mashine ngumu ya kuchapa ili kuandika habari sio hao ambao wamekutana computer. Paskali huyu ni mwanasheria hasa sio hao wengine. Huyu ni mmoja wa watu ninao wafahamu walioonja mauti kwa ajali mbaya ya pikipiki je kuna mtu kashaonya kifo kama sio huyu na Tundu Lissu hapo tofauti ya ajali ila P alipata ajali mbaya sana. Mimi kwangu ni p zaidi ya Mshana

Dah kwa ulivyomwaga sifa utakuwa wewe ndiye

Najua ni nje ya mada lakini umeicheki avatar yangu mkuu?
 
mshana anakurupuka sana katoka kutudanganya uko buhari kafariki sijui hajui kusoma ata kizungu is paskali akiacha usnitch ni mtu

Sent using Jamii Forums mobile app
kwa hili nakusupport 100%, nimemfahamu Paskali kwenye miaka ya 200i, alikuwa kijana mwandishi very bright and ambitious. Ila kinachomtokea sasa hivi kinanisikitisha na ninatamani sana siku moja mzee Meko amkumbuke. anachokifanya kinampunguzia sana credibility.
 
Dah kwa ulivyomwaga sifa utakuwa wewe ndiye

Najua ni nje ya mada lakini umeicheki avatar yangu mkuu?
Mkuu kwa sasa Paskali imepoteza sifa alizozijenga kwa kitambo kwa kweli. kilichotokea anajua mwenyewe ila kaamua kubet kisiasa.
 
Wakuu poleni na janga la Covid-19. Naamni mnaenda kuchukua tahadhari zote zinazotolewa na wataalamu wetu wa afya,bila kusahau kuendelea kufanya yale maombi ya siku 3.

Leo wakati naperuzi zangu jamiiforum nikawa nasoma post mbalimbali za watu lakini nikavutiwa na maandiko ya hawa jamaa wawili Mayalla na Mshana Jr. Ni dhahiri nyuzi zao ndo zinaongozwa kwa kusomwa na watu. Nikaona si vibaya km tumkitafta Tanzania one (T.O) wa Jamii Forum kwa kuwapambanisha hawa malegendari. Je nani zaidi?

Sent using Jamii Forums mobile app
Mshana Jr much respect mkuu Mimi hadi namba yako ninayo bro kura yangu nakupa your the best one
 
Wakuu poleni na janga la Covid-19. Naamni mnaenda kuchukua tahadhari zote zinazotolewa na wataalamu wetu wa afya,bila kusahau kuendelea kufanya yale maombi ya siku 3.

Leo wakati naperuzi zangu jamiiforum nikawa nasoma post mbalimbali za watu lakini nikavutiwa na maandiko ya hawa jamaa wawili Mayalla na Mshana Jr. Ni dhahiri nyuzi zao ndo zinaongozwa kwa kusomwa na watu. Nikaona si vibaya km tumkitafta Tanzania one (T.O) wa Jamii Forum kwa kuwapambanisha hawa malegendari. Je nani zaidi?

Sent using Jamii Forums mobile app
Ile id ya Lizaboni ilikuwa inatumiwa na Makonda ?
 
Sina historia ya Mshana na sijui kama ndio jina lake halisi. Kama mimi hili hapa sio jina langu halisi. Ila utafanyakosa la mwaka kuweza kumuweka P na mshana katika mizani. Kama utakuwa na umri mkubwa kama mimi natarajia kabisa huyu Mayala ni wa kumheshimu na kama utakuwa mdogo kama mtoto wangu rejea mkutano wa kwanza wa JPM na waandishi wa habari swali aliloulizwa Ngosha mpk akashindwa kujibu akaingilia kutoa maana ya jina la Mayala. Nenda maktaba ya Taifa kasome 1995 Mayala alifanya nini katika uchaguzi wa Zanzibar. Huyu ni Paskali wa Maonesho ya 77 kila akiingia mabanda yote yanampa kazi sasa Mshana analipi jipya. Paskali huyu ambaye alivuna miaka ile ya kuendesha kipindi bora kabisa kuwahi kutoka tokea kuingia kwa Luninga kwa Watanzania japo zilikuwepo ila wenye roho mbaya wakazuia ili waone wao. Huyu ndio Paskali mwandishi hasa wa habari sio waandishi wa mitandao ya kijamii. Huyu ni Mayala aliyetumia mashine ngumu ya kuchapa ili kuandika habari sio hao ambao wamekutana computer. Paskali huyu ni mwanasheria hasa sio hao wengine. Huyu ni mmoja wa watu ninao wafahamu walioonja mauti kwa ajali mbaya ya pikipiki je kuna mtu kashaonya kifo kama sio huyu na Tundu Lissu hapo tofauti ya ajali ila P alipata ajali mbaya sana. Mimi kwangu ni p zaidi ya Mshana

Sent using Jamii Forums mobile app
Nahis wewe utakua p mayala

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom