Dr hyperkid
JF-Expert Member
- Jun 7, 2019
- 13,736
- 27,100
Nimepitia comments zote NIMEGUNDUA KATI YA HAO WAWILI NANI KALETA HUU UZI KIJANJA
CCM DAMUDAMU!!!,CHAMA CHA MAMA &BABA
CCM DAMUDAMU!!!,CHAMA CHA MAMA &BABA
mshana anakurupuka mnoSijawahi kumsoma mayalla kabisa ila Mshana Jr naempata kitambo sana
Natamani kufahamu nje ya jf ni nani, anajishughulisha na nini hivyo..
Ni mtu mmoja ambaye sijawahi kuona ajibu kitu kwa mihemko panic ana hekima sana katika kujibu hoja
Sent using Jamii Forums mobile app
Usifananishe Mshana na muimba mapambio.Wakuu poleni na janga la Covid-19. Naamni mnaenda kuchukua tahadhari zote zinazotolewa na wataalamu wetu wa afya,bila kusahau kuendelea kufanya yale maombi ya siku 3.
Leo wakati naperuzi zangu jamiiforum nikawa nasoma post mbalimbali za watu lakini nikavutiwa na maandiko ya hawa jamaa wawili Mayalla na Mshana Jr. Ni dhahiri nyuzi zao ndo zinaongozwa kwa kusomwa na watu. Nikaona si vibaya km tumkitafta Tanzania one (T.O) wa Jamii Forum kwa kuwapambanisha hawa malegendari. Je nani zaidi?
Sent using Jamii Forums mobile app
Atheisim je hujasoma kweli?
Buddhist temples
Brahma synagogues
Taoism college
Kshna temples
Meditation centers
Na vituo vya ulozi na ushirikina
Jr![]()
Mshana ni bingwa wa kukurupuka. Kumbuka ya leo ya rais buhariSiasa km mpira tu kila mtu anaweza kuchambua.Ndio maana akina Lusinde na Msukuma wapo bungeni na wanakiwasha km kawa.Kwangu Mshana Jr ni kichwa kingine kabsa. Next level broo
Sent using Jamii Forums mobile app
Mshana jr yupo vizuri
Sent from my iPhone using JamiiForums
Kenny TrumpWakuu poleni na janga la Covid-19. Naamni mnaenda kuchukua tahadhari zote zinazotolewa na wataalamu wetu wa afya,bila kusahau kuendelea kufanya yale maombi ya siku 3.