Baba Joseph17
JF-Expert Member
- Jul 15, 2013
- 9,518
- 9,792
Wewe ndiyo huelewi ama unajipendekeza kwake
Wewe ndiyo huelewi ama unajipendekeza kwake
Ni kweli,ila moja ni "real id" na mwingine ni "fake id".Kwa hiyo mwenye "real id" ni mkali zaidi ya huyu mbobezi wa mambo ya kichawi,ajitambulishe ili tumfikirie kumpa pointi za ushindani!!Hahahahaaa!!!unamuonea paskal huwa hajibu vibaya hata ukimtukana anakupa like
Kwa hiyo unawapambanisha kwenye nini haswa?
Mtu ambaye ana nyuzi nyingi?
Mtu ambaye nyuzi zake zinasomwa sana?
Mtu ambaye anapenda kufungua nyuzi tuu?
Mtu ambaye anaongoza kwa kupest nyuzi zake kwenye nyuzi za wenzake.?
Mtu ambaye anaongoza kwa kutumia emoji sana?
Mtu ambaye ana kitambi kumzidi mwenzake?
Kuwa wazi tujue.
Pascal Mayalla kwahilo kweli mkuu kamuoneaunamuonea paskal huwa hajibu vibaya hata ukimtukana anakupa like
akitaja Zawadi nishtue nipige KURA yangu mkuuVip mshindi anachukua nini kiongozi????
acha kuchafua watu bila sababu we ndezi
Kuna mmoja anaandika kulingana na inshu zinazotrend kwa kipindi husika.Wakuu poleni na janga la Covid-19. Naamni mnaenda kuchukua tahadhari zote zinazotolewa na wataalamu wetu wa afya,bila kusahau kuendelea kufanya yale maombi ya siku 3.
Leo wakati naperuzi zangu jamiiforum nikawa nasoma post mbalimbali za watu lakini nikavutiwa na maandiko ya hawa jamaa wawili Mayalla na Mshana Jr. Ni dhahiri nyuzi zao ndo zinaongozwa kwa kusomwa na watu. Nikaona si vibaya km tumkitafta Tanzania one (T.O) wa Jamii Forum kwa kuwapambanisha hawa malegendari. Je nani zaidi?
Sent using Jamii Forums mobile app
mbona hayo maswali yako mawili ya mwisho unamsema Mshana Jr.Kwa hiyo unawapambanisha kwenye nini haswa?
Mtu ambaye ana nyuzi nyingi?
Mtu ambaye nyuzi zake zinasomwa sana?
Mtu ambaye anapenda kufungua nyuzi tuu?
Mtu ambaye anaongoza kwa kupest nyuzi zake kwenye nyuzi za wenzake.?
Mtu ambaye anaongoza kwa kutumia emoji sana?
Mtu ambaye ana kitambi kumzidi mwenzake?
Kuwa wazi tujue.
Siyo bora kujadili mtu. Little minds discuss people. Jadili hoja ya mtu. Katika hoja fulani inayojadiliwa, utaishia kukubaliana na fulani, na katika hoja nyingine labda yule mwingine ndiye utakubaliana naye. Hicho ndicho kinachohitajika katika jukwaa hili. Siyo kusema kwa ujumla fulani ni zaidi. Utakumbuka hata Mwalimu Nyerere, katika kuwachambua wagombea wa Urais mwaka 1995, alisema kama unamuona fulani ni mzuri, basi mchukue ukanywe chai naye.Wakuu poleni na janga la Covid-19. Naamni mnaenda kuchukua tahadhari zote zinazotolewa na wataalamu wetu wa afya,bila kusahau kuendelea kufanya yale maombi ya siku 3.
Leo wakati naperuzi zangu jamiiforum nikawa nasoma post mbalimbali za watu lakini nikavutiwa na maandiko ya hawa jamaa wawili Mayalla na Mshana Jr. Ni dhahiri nyuzi zao ndo zinaongozwa kwa kusomwa na watu. Nikaona si vibaya km tumkitafta Tanzania one (T.O) wa Jamii Forum kwa kuwapambanisha hawa malegendari. Je nani zaidi?
Sent using Jamii Forums mobile app
Wakuu poleni na janga la Covid-19. Naamni mnaenda kuchukua tahadhari zote zinazotolewa na wataalamu wetu wa afya,bila kusahau kuendelea kufanya yale maombi ya siku 3.
Leo wakati naperuzi zangu jamiiforum nikawa nasoma post mbalimbali za watu lakini nikavutiwa na maandiko ya hawa jamaa wawili Mayalla na Mshana Jr. Ni dhahiri nyuzi zao ndo zinaongozwa kwa kusomwa na watu. Nikaona si vibaya km tumkitafta Tanzania one (T.O) wa Jamii Forum kwa kuwapambanisha hawa malegendari. Je nani zaidi?
Sent using Jamii Forums mobile app

Pascal Mayalla ni mmoja wa anayetumia kalamu yake kuishi though naye tutampoteza any day maana anaguza nyeti za wadosi.
Mshana Jr ni like nabii ambao Corona imewaumbua, he is there sasa kaanza kusoma vidole, ni kama wateja wamepungua sana as everyone kajifungia kwake.
Nani ni zaidi ,
Namtaja Mshana Jr ni zaidi sana maana alishasema alimtia dead person,
Sent using Jamii Forums mobile app
Tatizo Mshana Jr ni TaasisiWakuu poleni na janga la Covid-19. Naamni mnaenda kuchukua tahadhari zote zinazotolewa na wataalamu wetu wa afya,bila kusahau kuendelea kufanya yale maombi ya siku 3.