Pascal Mayalla V/S MshanaJr nani zaidi?

Pascal Mayalla V/S MshanaJr nani zaidi?

Namkubali sana Mshana Jr kwababu ifuatayo.

Jamaa yuko humble sana na hata ukimuuliza inbox swali lolote anakujibu kwakadiri awezavyo na pale ujuzi wake unapofika kikomo anakwambia. Ukihitaji kusaidiwa kwa wazo, jamaa yuko active sana. Though Pascal Mayalla naye ana mazuri yake pia. Ila mshana anakula 9/10
Yeah mshanajr ni Muungwana Barabara!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mpambano huwa kati ya watu au vitu vyenye kushabihiana. Iwe muziki wa aina moja yaani Singeli kwa Singeli, Hip Hop au Taarab, uandishi Kama fani inamatawi mengi sana hivyo kumpata overall winner haiwezekani.

Mayalla

Kajikita zaidi katika uandishi wa makala hasa za siasa za kiuchambuzi. Anaandika pia kuhusu Saikolojia ila sio mbobezi huko.

Mshana Jr.

Huyu maandishi yake hasa yamejikita katika Imani hasa za kiza na utabibu, anaandika kuhusu siasa lakini ni mwepesi

Nadhani mleta uzi utakua umegundua changamoto ambayo ulishindwa kuiona hapo mwanzo.



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mtoa mada labda ungeweka vigezo zaidi au miongozo maana kila mmoja ni mkali kwa fani yake na hawaingiliani na hawafungamani. Hivyo nasema kwamba kila mmoja yupo vizuri kwa upande au kutokana na mada anazozitoa.

"Cᵒᵃᶜᵏʳᵒᵃᶜʰ ⁿᵘʰ ᵇᵘˢˢⁱⁿᵉˢˢ ⁱⁿⁿᵃ ᶠᵒʷˡ ᶠⁱᵍʰT"
 
Back
Top Bottom