Mbona husemi Mshana yuko kambi gani? Kumbuka tunajua yuko kambi gani. After all Mshana atabaki kuwa yeye vile vile Pascal atabaki kuwa PascalDogo binadamu hawafananishwi, hafu jua kuwa Paschal ni kada mtiifu wa CCM na mtia nia ya Ubunge ambaye jina lake litakatwa, Mshana ni kijana wa makamo ambaye huleta hoja nyingi fikilishi ziwe za ulozi, mapenzi, Siasa, uchumi nk.Paschal amejiegemeza zaidi kutetea watawala wa awamu hii
@MziziMkavu siku hizi amna kitu, kafulia haonekani jukwaaniSiku nyingine andaa pambano kati ya Mshanajr na MziziMkavu.
Kura yangu imeharibika
Sent using Jamii Forums mobile app
Dogo binadamu hawafananishwi, hafu jua kuwa Paschal ni kada mtiifu wa CCM na mtia nia ya Ubunge ambaye jina lake litakatwa, Mshana ni kijana wa makamo ambaye huleta hoja nyingi fikilishi ziwe za ulozi, mapenzi, Siasa, uchumi nk.Paschal amejiegemeza zaidi kutetea watawala wa awamu hii


kidding.Excellent responseKwa hiyo unawapambanisha kwenye nini haswa?
Mtu ambaye ana nyuzi nyingi?
Mtu ambaye nyuzi zake zinasomwa sana?
Mtu ambaye anapenda kufungua nyuzi tuu?
Mtu ambaye anaongoza kwa kupest nyuzi zake kwenye nyuzi za wenzake.?
Mtu ambaye anaongoza kwa kutumia emoji sana?
Mtu ambaye ana kitambi kumzidi mwenzake?
Kuwa wazi tujue.
Kijana gani anaemkubari mshana?Bro Mshana Jr huyu Ni legendary ambaye hata akigombea ubunge au urais kupitia CHAUMA anapita mchana kweupee coz anakubalika na vijana ambao ndo majority ya population ya Tz.
Sina uhakika na umri wake ila kutokana na nyuzi na uchangiaji wake majukwaa tofaut tofaut inaonekana Ni Rika letu majanki.
Bro Pascal Mayalla huyu Ni typical mwanasiasa ambapo ana mrengo wa kijani.
Amekuwa Kama kinyonga ambaye hubbadilika badilika kutokana na mazingira.
Tangu nzi wa kijani waanze kumshughulikia baada ya maswali yake kwa mtukufu na kwa serikali yake Bwana huyu amekuwa akiegemea zaidi upande wa kijani na kusahau ethics za taaluma yake. Kutokana na kuegemea kwake upande was kijani Bwana huyu anapoteza mvuto kwa kuwa ipo dhahiri nzi wa kijani na yeyote anayewaunga mkono Ni adui wa Watanzania walio wengi.
Mwisho kabisa Kura inaenda kwa Homeboy Mshana Jr , popote ulipo kachukue Pierre Bar yoyote bill kwangu
mshana hata kingereza hajui ametudanganya Buhari kafa kwa corona kumbe ni mtu mwingne aliyekufa.Tangu Mshana Jr aseme simba Vs Yanga itakuwa 4:0, aaah huyu mganga hapana bwanakidding.
Wote wapo vizuri, kila nikiona bango la yoyote nasoma coz sitoki bure, ilà ulozi wa mshana siupendi kivile.
Big up bros Pascal Mayalla & Mshana Jr .
Kwa maelezo Haya nishajua karata yako umeitupia wapi.Kwa hiyo unawapambanisha kwenye nini haswa?
Mtu ambaye ana nyuzi nyingi?
Mtu ambaye nyuzi zake zinasomwa sana?
Mtu ambaye anapenda kufungua nyuzi tuu?
Mtu ambaye anaongoza kwa kupest nyuzi zake kwenye nyuzi za wenzake.?
Mtu ambaye anaongoza kwa kutumia emoji sana?
Mtu ambaye ana kitambi kumzidi mwenzake?
Kuwa wazi tujue.