Kwani CV ni hekima???kwahiyo mayalla ana hekima???
Kwani CV ni hekima???kwahiyo mayalla ana hekima???
Nasikia hapo Ufipa nafasi za kugombea ubunge zimejaa!Pascal achana naye, natafuta kuwatumikia wananchi! TZ hakuna environment ya science ...
He is one of the top dons in the field of journalism.
johnthebaptist mimi nakuamini kwa kiasi fulani hapo Lumumba. Mimi sina unasaba na CDM! Ila kwa ukatili wa jiwe, kuminya uhuru wa watu, kupoteza watu, kufunga watu, persecutions etc ndiyo inayonifanya niichukie CCM.Nasikia hapo Ufipa nafasi za kugombea ubunge zimejaa!
Kwa credits zipi? Nenda kaangalie Christian Amanpour ameandika vitabu vingapi... huyo ndiye on top of dons katika journalism. LABDA SEMA KWA STANDARD ZA TANZANIAHe is one of the top dons in the field of journalism.
Yale yalikuwa Ni mawazo ya Ndugu Magufuli si maagizo ya Rais Magufuli, hivyo wakemia nguli tuelimisheni tafadhali.Kama maagizo yashatamkwa kutoka juu...
Wataalam wa kemia wao ni wakina nani wakuja na hoja za kupingana na maagizo yaliyotoka juu...
Cc: mahondaw
Hivi kuna Mtanzania yeyote anaweza kusimama hadharani na mawazo tofauti?Yale yalikuwa Ni mawazo ya Ndugu Magufuli si maagizo ya Rais Magufuli, hivyo wakemia nguli tuelimisheni tafadhali.
Baada ya corona kuisha mara paaaa! Inashuka sauti kutoka mbinguni ikisema ;"""haya nimeshachukua watu wangu na kuwapeleka mbinguni nyie mliobaki subirini moto wa milele""" Aloo! apo ndo utajuta kwanini ulikua unavaa barakoa.Mwandishi wa habari nguli mh Pascal Mayalla amewataka wataalamu wa Kemia kuja hadharani na kutuchambulia faida na hasara za kupiga fumigation mitaani na kwenye vyombo vya usafiri kama kuna tija kwenye mapambano dhidi ya Corona.
Kadhari watuelimishe juu ya ubora wa barakoa kama zinaweza kuttumika kuihujumu nchi kwa kuletwa zikiwa na vimelea vya Corona.
Pascal na Dotto Bulendu wamesisitiza kuwa huu sio wakati wa kuwaachia waandishi wa habari waliosoma HGL na HGK pekee kuripoti habari za Corona bali wanahitajika wabobezi wa maswala ya afya katika kulihabarisha taifa.
Chanzo: Star tv
Permanent head damageHilo dongo limefika mahala pakehuko alipo ben wa saanane nadhani anacheka sana hivi kirefu cha PHD ni nini vilee
Sent using Jamii Forums mobile app
Umemsahau mrisho mpotoBongo hatuheshimiani kwa taaluma, hao unaowaita wandishi wa habari wapo kwenye vyombo vya kueneza habari... lakini cha ajabu hawajisumbui kuwahoji wataalamu.
Kila saa mahojiano na wasanii, eti watu maarufu... ona hadi matangazo ya kuelimisha watu kuhusu kujihadhari na Corona wapo Snura na Sholo Mwamba sijui Gigi Money 🤷🏾♂️
Hao wataalamu watasikika kupitia wapi.?
Huyo Pascal Mayalla atuambie ni lini amealika na kuhoji Wakemia kwenye vipindi vyake.
Ndiyo, wa kwanza Ni naibu waziri Ndugulile aliyesema wazi kuwa wazo la kujifukiza si sahihi kitabibu kwa sababu inaweza kuathiri Mfumo wa kupumua na husababisha kifo.Hivi kuna Mtanzania yeyote anaweza kusimama hadharani na mawazo tofauti?
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndiyo msemaji wa Corona.Kwaiyo mayalla ndo nani hapa Tz?