Pascal Mayalla alimtabiria Paul Makonda kuwa mgombea urais wa CCM 2025. Je, unabii wake utatimia?

Pascal Mayalla ni mwandishi wa habari nguli, mwanasheria na mchambuzi wa maswala ya siasa.

Wakati fulani siku za nyuma kupitia hapa JF alimtabiria Mkuu wa Mkoa mstaafu Paul Makonda kuwa mgombea urais wa JMT kupitia CCM 2025.

Kwa sababu mgombea urais wa JMT kupitia CCM 2020 atakuwa kijana, Je utabiri wa Pascal Mayalla utatimia?

Ngoja tuone.

Maendeleo hayana vyama!
Ndoto nzuri unatakiwa kabla ya kulala uoge halafu ule kwa kiasi
 
Pascal Mayalla ni mwandishi wa habari nguli, mwanasheria na mchambuzi wa maswala ya siasa.

Wakati fulani siku za nyuma kupitia hapa JF alimtabiria Mkuu wa Mkoa mstaafu Paul Makonda kuwa mgombea urais wa JMT kupitia CCM 2025.

Kwa sababu mgombea urais wa JMT kupitia CCM 2020 atakuwa kijana, Je utabiri wa Pascal Mayalla utatimia?

Ngoja tuone.

Maendeleo hayana vyama!
Mungu atampenda zaidi kabla ya muda huo.

Nimeangalia nyota zinaonesha hivyo.
 
Uchaguzi umeisha tunawaza siasa, uchaguzi unakaribia siasa, uchaguzi unafika siasa.

NB: Siasa namaanisha siasa chafu.

Lini tutajadili kurusha rocket & satellite, kuunda vinu vya kurutubisha nuclear, kwenda mwezini na kuunda manowari?
Nilimuliza huyu mleta uzi huu
Huwa anafanyaga kazi saa ngapi?

Ova
 
Uchaguzi umeisha tunawaza siasa, uchaguzi unakaribia siasa, uchaguzi unafika siasa.

NB: Siasa namaanisha siasa chafu.

Lini tutajadili kurusha rocket & satellite, kuunda vinu vya kurutubisha nuclear, kwenda mwezini na kuunda manowari?
Sisi tunajua siasa ndio maaan tunajadili siasa, ww unayejua kurusha rocket na satellite fungua uzi wa mambo hayo tuje tujadili.
 
Back
Top Bottom