Party

hata John Walker BLUE LABEL na GOLD LABEL sijaziona ........
MP.

hujaziona hapa......

303454_316121558440915_100001292218355_776605_1503123630_n.jpg


 
Wajamen japo sihasa imenipitia kushoto but nawapongeza sn CHADEMA kwa ushindi!
 
CCM hapo ndio wamejua vidume CDM kazi mbele nyuma!
Piipooooz pauwaaaa!
Nimekunywa tungi jana bado li wingu halijapotea hadi sasa.
 
U

vijiti vipo...si mchezo...kitu cha arusha..

Unasema Arusha?
Baaba kijiti kipo Kyela !
Muulize Kongosho aliletewa kilichochumwa kwenye shamba la Babu yake Mwakyembe!
Alishinda anapost na kucomment Fcbk akijua yuko Jf !
Chezeiya Kyela wewe !
 
Dah hili goma lingeenda kuchezwa pale USA River ingekuwa bonge la shangwe
 
nataka kumake entrance,kila mtu akishawasili kwenye party mi ndo nakuja wa mwisho.
hureee kwa ushindi.
 
Back
Top Bottom