Party ya wana JamiiForums waishio Dar es Salaam

Party ya wana JamiiForums waishio Dar es Salaam

uhakika ninao,yote yanawezeana si mpaka kubeba box ndo uweze kuandaa part serena.

Haiwezekani hiyo niliyokuwekea nyekundu "bana" labda useme unataka kuandaa party.

Kumbuka Part ni kipuli na Party ni hafla. Sasa wewe vipi utaandaa kipuli "bana"?

Duh, kukutanabahisha kote kule hujastuka tu?
 
Hiyo party ni lini na itafanyikia wapi?

Nataka nije safari hii.
 
Habari wakuu?Nimekaa na kuwaza kwamba jf ni kilinge kikubwa chenye watu wa aina mbalimbali ambao tunashare ideas tofauti tofauti hivyo basi sioni kama ni vibaya kama tungeandaa part ya members wote wa jf wanaopatikana dar es salaam.
Uongozi pamoja na members mnaonaje juu ya idea hii kwa ufupi tu?
Naomba kuwasilisha.

aah, mi napinga hyo party kuna watu humu nikikutana nao naweza kuwatandika risasi, faiza fox, abakorakamo, msalani, mandla jr na wengineo kama hao
 
Hiyo party napenda ije hata sasa hivi ili nimwone Bujibuji mimi mwenyewe kwa macho yangu jinsi alivyojaaliwa neema za Allah.
 
I will designate a remote doppelganger to livestream the whole shebang in that soiree for e-shindig.

So dress in your best to impress the rest, like Michuzi flashes will be there for the press.
 
Habari wakuu?Nimekaa na kuwaza kwamba jf ni kilinge kikubwa chenye watu wa aina mbalimbali ambao tunashare ideas tofauti tofauti hivyo basi sioni kama ni vibaya kama tungeandaa part ya members wote wa jf wanaopatikana dar es salaam.
Uongozi pamoja na members mnaonaje juu ya idea hii kwa ufupi tu?
Naomba kuwasilisha.

mkuu. umeshapata kazi?
 
Tutaanza na viatu, sarawili, shati, cologne, nywele. Afu bado shape (hiyo gym unayonitambia nayo kila siku, six pack siooni naona one PARK). Hukununua vinywaji extra for everyone na unajidai una hela. Afu una lafudhi ya kisukuma. Hivi shati lile designer ni nani?

(najua gari utakuja nayo ya kukimbiza hehehe). Nimesahau saa, designer?


im just extrapolating hapa. Ila uende bwana tuone utasemwaje. It might be fun, sijui niende na dera na croks?
Hahahaaaa sipati picha namna ntakavyochambuliwa!
 
Psychological anxiety is treatable but best way is to face. Uje na toys for everyone (za watoto)
I will designate a remote doppelganger to livestream the whole shebang in that soiree for e-shinding.

So dress in your best to impress the rest, like Michuzi flashes will be there for the press.
 
aah, mi napinga hyo party kuna watu humu nikikutana nao naweza kuwatandika risasi, faiza fox, abakorakamo, msalani, mandla jr na wengineo kama hao

sure mkuu,hata mimi nikikutana na maintarahamwe ya humu natembeza ngumi za shavu!!
 
Back
Top Bottom