Z zakarya Member Nov 1, 2015 36 5 Jun 15, 2020 #1 Habari Ningetaka kuanzisha biashara ya uuzaji mafuta ya gari Ninatafuta partner. Masharti : Awe na skype, tuzungumze kwa haraka. Kama hapendi kuandika / Kusoma, sina haja. Ahsante
Habari Ningetaka kuanzisha biashara ya uuzaji mafuta ya gari Ninatafuta partner. Masharti : Awe na skype, tuzungumze kwa haraka. Kama hapendi kuandika / Kusoma, sina haja. Ahsante
D DidYouKnow JF-Expert Member Jul 28, 2019 1,094 1,691 Jun 15, 2020 #2 Mkuu masharti kibao, wakati wewe ndio umetoa ombi. Wengine hawatumii hiyo mifumo na bado ni patners wazuri.
Mkuu masharti kibao, wakati wewe ndio umetoa ombi. Wengine hawatumii hiyo mifumo na bado ni patners wazuri.
Wangari Maathai JF-Expert Member Aug 13, 2018 34,962 70,472 Jun 16, 2020 #3 Serious?duh..unahis upartner ni rahisi mkuu namna hiyo? Jus Skype?