Jaribu kuwasiliana na SIDO niliwaona sabasaba.Wana Jamii forum naomba kwa ambae ana uelewa au kwa ambae amewahi kufanya hii biashara ya kukamua mafuta ya alizeti, nahitaji kujua machine zinazitumika kukamua, bei zake kama kunae anaejua,lakini pia uwezo wa uzalishaji, package na masoko yalivyo
Kila la kheri kwake
Utamu wake nini? Fafanua kidogoHii biashara tamu sana. Nayatamani yale mashudu tu niwe nafanya biashara
Kwa nini usinunue kwa wanaokamua mkuu...?Hii biashara tamu sana. Nayatamani yale mashudu tu niwe nafanya biashara
Range ya biashara inakua kubwa. Utafanya biashara kwenye kukamulia wateja, utapata mashudu uuze, lakini hata wewe unaweza kuanzisha biashara ya kukamua mafuta yako unauza.Utamu wake nini? Fafanua kidogo
Sawa nitafanya hivyo mkuu nikifanikiwa nitawaletea mrejesho ndugu zanguJaribu kuwasiliana na SIDO niliwaona sabasaba.
Karibu sanaSawa nitafanya hivyo mkuu nikifanikiwa nitawaletea mrejesho ndugu zangu
Biashara tamu sana hiii.... Pesa ipoooHii biashara tamu sana. Nayatamani yale mashudu tu niwe nafanya biashara