Partners in Crime

Partners in Crime

Nadhani nikipata itanipa kinga tosha.



Tutafika tu, si ndio najifunza so sikujua kama natakiwa kuanza na gear ya kwanza. Ngoja nikanyage clutch nirudi mwanzo.

Kumbe una experience ya kutosha eti??

The fact that you know which button to touch, you are on your way to victory....

Babu DC!!
 
Huh? Sijakupata hapo...ni kwamba mimi nini?

haha haaa
uko fasta.

wewe kwanza nakuogopa sana. huwa na assume kuwa uko so rude lolz. kumention kwenyewe nilikuwa naogopa nawaza jamaa akiibuka hapa balaaaa...

just my assumptions lolz
 
the most dangerous ni BAK
sababu kila mwanamke anamsifia tu humu
which sounds too good to be true ....

ni kama uone swala wanamsifia chui lol
you keep asking yourself is this real? ha haaaa

haha hahaaaaa

ila hata wewe nahisi umeonewa bana.
..Sidhani kama unaweza wekwa kundi moja na Nyani Ngabu

ingawa kuna wakati uki comment kitu huwa nahisi kuna mtu ka hack akaunti yako.
 
Last edited by a moderator:
haha haaa
uko fasta.

wewe kwanza nakuogopa sana. huwa na assume kuwa uko so rude lolz. kumention kwenyewe nilikuwa naogopa nawaza jamaa akiibuka hapa balaaaa...

just my assumptions lolz
hahahaaaa LOL
 
haha haaa
uko fasta.

wewe kwanza nakuogopa sana. huwa na assume kuwa uko so rude lolz. kumention kwenyewe nilikuwa naogopa nawaza jamaa akiibuka hapa balaaaa...

just my assumptions lolz

Let not your heart be troubled neggirl.

I'm just a harmless loveable little fuzzball and all around good guy who couldn't hurt a fly:smiling:
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom