ha haaa, ingekuwa kivumbi, lol!Ama kweli Google ishukuriwe kwa kusaidia wengi na kwa kuepusha mengi (read: shari) pia.
naona na xmas inakaribia....
si useme tu ndo muda wa kufungiwa!!!!!!
usimtishe mwenzio babu, huku mbona maisha nayaona poa kabisa........Karibu sana kwenye club,
Naamini wakubwa wenzangu watakupokea....ila utuhakikishie kuwa reverse gear umeiong'oa kabisa......!!
Huku kwetu maisha ni tough sana mkuu....
cc: Fixed Point....
Babu DC!!
Once a bad boy, always a bad boy.
Can't I be a retired bad boy?
usimtishe mwenzio babu, huku mbona maisha nayaona poa kabisa........
karibu Nyani Ngabu kwenye jopo la watu wazima
ha haaaa, umtahadharishe pia watu wasijue kama yeye ni retired, soko laweza panda ghaflaSi unajua kuwa mie siyo mchoyo....
Kizuri na kibaya, I used to share na wengine....
Kwa hiyo nampa tips za kuishi kwenye hii dunia ilivyozungukwa na mabomu ya ardhini!!
Babu DC!!
ha haaaa, umtahadharishe pia watu wasijue kama yeye ni retired, soko laweza panda ghafla
Kweli kabisa,
No bad boy is retired....(hivi hapa lugha nimepatia kweli??))!!!
Babu DC!!
Hmm..Babu hapo hata sijakuelewa.
Ni kwamba umekubaliana na Karusii au umekubaliana na mimi?
Najua kizungu unakijua maana nakumbuka wale wadada wa Kikenya uliwachimbia biti kwa kizungu pale JKIA siku ile.....
ha haaa, stuka babu!Kwani wastaafu wana soko kubwa??
Naweza kuwa nimekalia mawe zaidi ya migodi ya Nzuguni bila kujitambua...lol!!
Babu DC!!
Utakuwepo downtown tuje kukusalimia??
Babu DC!!
ha haaa, stuka babu!
mjini hapa utakanyagwa
Inategemea ni lini maana nina vi trips viko lined up hapa katika siku na wiki zijazo. We nijulishe tu halafu nta-cross check na schedule yangu.
Poa mstaafu mwenzangu...
Halafu hujasema, uliishia rank gani??
Mwenzio nilijikongoja hadi hako ka-title kangu....
Babu DC!!
kama chalinze umeshapita basi chonde chonde uishie kibaha, huku mujini hakuna wazee....Mbona sasa unanitisha mkubwa mwenzangu??
Mie bado napractice mambo ya uzee hadi mujini badala ya kuuacha Chalinze...lol!!
Babu DC!!
kama chalinze umeshapita basi chonde chonde uishie kibaha, huku mujini hakuna wazee....