Partners in Crime

Partners in Crime

Ah mi niliishia V tatu tu.

Kwa hiyo wewe nakupa saluti


Hiyo si mbaya sana...ungenambia kuwa uliishia mbili ningekuogopa sana....Kwani hao jamaa kwa kiherehere utadhani walizaliwa nacho kwenye kondo la nyuma...lol!!

Babu DC!!
 
ha haaaa, hiyo atawalindia wa TA, mujini wanamwacha njia panda kweupeeeee


Ingekuwa ni enzi zangu ningekupa ruhusa urushe shilingi ili uone moto wake...

Unfortunately,......mambo yalishaharibika kitambo...

Babu DC!!
 
Nakubaliana na wewe kwani huwezi kuwa mstaafu halafu ukawa tena Bad boy...

Tukikugundua tunakurudisha kwenye ujana huko ili ukakamilishe assignments zako...

Hayo ya lugha za watu ni janga la kitaifa.....Ishallah tutafika salama, vinginevyo ni majanga!!

Utakuwepo downtown tuje kukusalimia??

Babu DC!!

Mi nashauri mtuachie kidogo msimkaribishe huko kwanza Dark City na Fixed Point. Hatujamalizana nae bado.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom