Partners in Crime

Partners in Crime

Ubaya ni kwamba the baddest of them all amevaa ngozi ya kondoo. Yaani huwezi kumdhania wala nini. Hao uliowataja hapa wote are the good boys. Ni kama wakati tunakua, bad boy wa masaki anasokota kikaratasi anakiwasha ndo anaita fegi. Bad boy wa buguruni does drugs, afu wa kibamba ccm anavuta bhange tu.


you can say that again...
 
BAK namkubali ...sema lazymate siku hizi haka ka "uhusiano" ketu kanayumba sana....lazima kuna mtu anatembelea nyota yangu humu
 
Last edited by a moderator:
  • Thanks
Reactions: BAK
Bossman, for the umpteenth time, its a no to threesome.

Bounce it, bounce it
Imma about to throw a couple thousands

Ones, fives, tens, twenties
Work your way up to them big face hundreds - just bounce it

Hahahaaaa Juicy J be killin it

 
Last edited by a moderator:
Rafiki umemtilia maneno mtoa mada 🙂🙂 nimerudia kusoma mabandiko yake sikuona mahali alipoandika ananiogopa. There is no need to be afraid of BAK AKA Life saver 🙂🙂 Always remember that BAK is a sweet soul 🙂🙂

CC: Pacha Ablessed


mi ntajuaje sasa rafiki?
mtoa mada ndo kasema anakuogopa, sijui ndo simba mwenda pole!
 
Rafiki umemtilia maneno mtoa mada 🙂🙂 nimerudia kusoma mabandiko yake sikuona mahali alipoandika ananiogopa. There is no need to be afraid of BAK AKA Life saver 🙂🙂 Always remember that BAK is a sweet soul 🙂🙂

CC: Pacha Ablessed
ha haaa, rafiki rudia kusoma tena na tena..... kwanza ni pasua kichwa, lol!
lakini kuna sehemu nimesoma kuwa unaogopeka rafiki......
hata life saver anaweza kuogopwa ujue
 
  • Thanks
Reactions: BAK
BAK namkubali ...sema lazymate siku hizi haka ka "uhusiano" ketu kanayumba sana....lazima kuna mtu anatembelea nyota yangu humu

hahaaaaa Lazy mate u made me Laugh out Loudly....

we si ulikuwa unakamendea kale kamdada sijui uliishia wapi hujanipa UPDATES kabisa
 
Uhusiano wetu usiyumbe Mkuu. Zuka hadharani au hata kwenye pm hakuna neno nami nitafanya hivyo Mkuu.

BAK namkubali ...sema lazymate siku hizi haka ka "uhusiano" ketu kanayumba sana....lazima kuna mtu anatembelea nyota yangu humu
 
Ni aje tena pasua kichwa asifiwe banaaaa!!!??? LoL!!!! Si ndio wadada wangecheza mbali na pasua kichwa? Unataka zamu yako kule pm eeh!? Let me know your availability please!!!! 🙂🙂

ha haaa, rafiki rudia kusoma tena na tena..... kwanza ni pasua kichwa, lol!
lakini kuna sehemu nimesoma kuwa unaogopeka rafiki......
hata life saver anaweza kuogopwa ujue
 
Ni aje tena pasua kichwa asifiwe banaaaa!!!??? LoL!!!! Si ndio wadada wangecheza mbali na pasua kichwa? Unataka zamu yako kule pm eeh!? Let me know your availability please!!!! 🙂🙂
ha haaa, kwani hujamsoma alivyowaunganisha kwenye kundi la pasua vichwa? in a positive way, nadhani....
mi siogopi PM wala nini.... nasubiri tu zamu yangu ifike
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Naona muda wa kuchukua likizo ndefu ya miezi miwili au mitatu unakaribia 🙂🙂
 
Hahahahahaha lol!!!! Sasa umehamia kwenye rep power, siku zote kumbuka ukitoa utapewa lakini ukiwa na mkono wa birika hupati kitu. Kwa taarifa tu ni kwamba wanaoongoza kunipa Rep power ni Mr Rocky, Dr MziziMkavu na 24hrs
mi nilikuongezea baada ya kuniongezea.
halafu kuna limit nini?maana ukimwongozea mtu inakuja kugoma baadaye
 
Kwi kwi kwi kwi lol!!!! Naona leo umeniamkia ngoja nikipata nafasi nikutafute kwenye nanihii nikupe za uso lol!!!! 🙂🙂

ha haaa, kwani hujamsoma alivyowaunganisha kwenye kundi la pasua vichwa? in a positive way, nadhani....
mi siogopi PM wala nini.... nasubiri tu zamu yangu ifike
 
Kuna limit Mkuu ila sijaifahamu vizuri jinsi inavyofanya kazi.

mi nilikuongezea baada ya kuniongezea.
halafu kuna limit nini?maana ukimwongozea mtu inakuja kugoma baadaye
 
Kwi kwi kwi kwi lol!!!! Naona leo umeniamkia ngoja nikipata nafasi nikutafute kwenye nanihii nikupe za uso lol!!!! 🙂🙂
ha haaa, basi rafiki nimeacha, sirudii tena......
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Back
Top Bottom