Partner kwenye biashara, anataka twende mbali zaidi

Partner kwenye biashara, anataka twende mbali zaidi

sio tu kwa ustawi na manufaa ya biashara yenu ila kuna sababu nyingine ambazo zitafanya niku support umuoe huyo partner;
- ni mwanamke anayejua kupigania maisha kwa maana mlianza nae ktk shughuli za kimagendo hadi umefungua biashara halali na ktk maelezo yako hujalalamika kama kuna mapungufu yoyote kwake ktk utendaji kazi.
- pili hujaona akijihusisha na mambo ya wanaume hapo ina maanisha yuko makini katika kufanya maamuzi yake ya kimahusiano pamoja na kuwa ni mfanyabiashara ila hajawa na tamaa kabisa.
- kitendo cha yeye mwenyewe kukuambia kuwa amejifikiria kwa mda mrefu na kukuona wewe unafaa kuwa mme wake na si mpenzi wake inamaanisha ana mtazamo wa kuwa na familia na anataka ndoa halali kabisa.
hivyo mkuu kwa sababu hizo ninaweza kukuhakikishia utakuwa na familia bora yenye mama mchapakazi na hata watoto wako watalelewa ktk mitazamo ya kimaendeleo tu wawe wa kike au wa kiume.
back to zat lady; yule mdada uliyepanga kumchumbia miezi 7 ijayo itabidi akusamehe tu maana umejuana nae hivi punde tu bila shaka atakuwa na ki boyfriend kilichokuwa kinamriwadha huenda bado wanamawasiliano, pili hujamchambua ktk hali ya uhodari kama huyo partner wako.
kwa hayo mkuu nasema mkubalie partner ila huyo dada umwambie mapema ili awe huru aweze kuchumbiwa na wengine.
 
Mkiishanza kuingiza mapenzi kwenye biashara basi tena... mmefika hapo mlipofika na kuheshimiana kwa sababu hamkujihusisha kupendana kimapenzi...
 
Siku nikiambiwa KikulachoChako nakupenda sana.....nahisi nitazimia hapo hapo kwa masaa yasiyo pungua matatu....na nikizinduka nitazimia tena kwa mshangao.....na nikizinduka nazimia tena kwa wasi wasi.....

Kuna watu wanabahati huko duniani.....yaani kabisa katoto ka kike kanakuambia live NAKUPENDA
Ahahaahhahahahahaa mkuu umenivunja mbavu
 
Mkuu huoni nitakuwa nimeidhurumu nafsi ya binti wa watu kuwa mwezi wa 7 namtolea posa afu kwa tabia za mabinti lazima atakuwa tayari ameshazinyetisha hizo habari kwa baadhi ya ndugu Ake

Kama amenyetisha shauri yake,kwani umemtuma atangaze? Huyo partiner umekaa naye muda mrefu,umemsoma tayari,kama ulivyokiri kuwa hajishughulishi na wanaume,that means ni binti anayejitambua thamani yake,anajua kutafuta na possible kama mmedumu kwenye biashara ya partinership basi ni mwaminifu pia..unataka Mungu akupe nn tena? Huyo ndo mukeeeee
 
Mleta uzi, wanawake saikolojia yao ni ya "ajabu" sana, hivyo unahitaji maamuzi ya jicho la tatu wakati mwingine ,ili kufunika kombe mwanaharamu apite.
kwa mtanziko ulionao, ukiamua kutomkubali huyo "patner" juwa kuwa yafuatayo yatatokea
1. kwa vile mda mwingi mko pamoja, basi atakuzawadia tu "zawadi ya ushindi" kama silaha ya kukuhakikisha hufurukuti na unamkubali. na kama utakigusa "kipochi manyoya" kisha ukamuacha juwa hatakubali kutumika bure na hapo kisasi kitafuata
2.ukimkataa "patner" juwa kuwa amani na ndoa yako au mahusiano yako na huyo mwengine yako mashakani kwa sababu patner hatakubali huyo aliempokonya tonge awe na wewe. like wise huyo mwengine hatokubali ukaribu ulionao na patner uwe hivyo na ukimuo tu huyo mwingine atataka awe sehemu ya biashara au hata achukue nafasi ya patner.hapo sasa utaharibu biashara,ndoa na mahusiano yako ya kawaida na patner..wanawake wana wivu sana.
kuondoa mzizi wa fitna usikize moyo wako na mshirikishe Mungu kwenye maamuzi yako. Ila kuna wakati HERI NUSU SHARI KULIKO SHARI KAMILI.....jitwalie patner ila usimuache kwa kumuumiza huyo mwingine...unaweza kutumia style ile ya natural death ya kuliua penzi lako kwa huyo mwengine i.e punguza mawasiliano taaratibu usiyakate ghafla...kidogo kidooogo mpaka mwisho utaona tu uhusiano umekata
 
Wakuu ahsanteni sana kwa kunipa ushauri wenye uchambuzi yakinifu na hakika nimefurahi na kufarijika,baada ya kusoma yote mliyoniandikia.
Jana niliamua pia kumshirikisha mzee mmoja ambae tunasali nae/mzee wa kanisa.
Alichonambia sitakiwi kuwa na haraka kwenye maamuzi ya jambo litakalochukua mustakabali wa maisha yangu yote yaliyobaki hapa duniani, Pia alinishauri niwe karibu na partner kwa kumchunguza taratibu sasa kwa mtazamo wa mpenzi kama vile kutoka nae kwa ajiri ya chakula au kwa ajiri ya burudani ili kuleta ukaribu wa ki hisia.
Kuhusu mpenzi wangu ameshauri nimueleze kwa uwazi na tena kwa kumtaka radhi (ataumia mara moja lakini atakuwa huru na hata kuchukia wala kuhisi kuwa lengo lako lilikuwa baya kwake)
Ukweli humuweka mtu huru "kwako na kwake.
.....Nimeona niwashirikishe na nyinyi hili Mawazoni mwangu tayari partner ameshachukua Nafasi na kuhusu mpenzi wangu wa mbali toka jana sijawasiliana nae nimeona njia nzuri ni kupunguza mawasiliano ambayo ndio Nguzo ya long relationship,
Ahsanteni kwa kuniandikia Mbarikiwe.
 
mleta uzi USITUUZIE CHAI HAPA....
Unakumbuka hiii hapa chini...?SI ULISHAOA WEWE??


Habari zenu wana Jamvi,

Ni miezi mitatu (03) tangu nifunge pingu za maisha (ndoa) takatifu nashukuru MUNGU nafurahia kuwa mume, na bado sijaanza kuonja chungu ya ndoa kama baadhi ya wanandoa wanavyolalamika ndio maana nikatumia kauri ya nafurahia kuwa mume.

Kilichonileta hapa Jamvini kabla ya kuoa nilikuwa na uhusiano na mabinti kadhaa wengine niliwataka lakini hawakunipa ushirikiano, wengine ndio vile walikuwa na visingizio kibao mpaka naingia mitamboni nilikuwa bado sijamega.

Lakini baada ya kuoa kila mwanamke niliemtaka (kipindi hicho) anataka tukamalizie nimejaribu kuwaeleza kuwa sasa nimeoa na nampenda mke wangu baadhi wamenielewa lakini kuna huyu mmoja ambae alikuwa hata simu yangu kupokea mpaka ipigwe mara 3 ndio apokee leo ananipigia na kutaka kwichikwichi nimekataa mara kadhaa lakini hii ya leo kali katishia ata forward msm kwa wife.

Ki ukweli sijui namba ya wife kapata wapi? Maana amenitajia, Sijawahi tuma msg kwake tangu nioe zote msm alizonazo ni za kabla ya mimi kuoa, mbaya zaidi anasema sio lazima mimi nighalamie yeye anamudu kila kitu nijifikilie kabla ya siku 2 niwe nimempa jibu.

Mimi mwanaume nimefikiliaaa nikaona huyu mpuuzi anaweza halibu ndoa yangu changa, nimeona jioni hii nimpelekee wife Simu mpya android na nisajili line nyingine alafu nimpe maana mtandao anaotumia mara kadhaa amelalamika upo slow kwenye net na hii itakuwa Gia ya kumaliza na kummaliza huyu fisadi anaetaka kuvunja utamu wangu kibwege Naombeni mnisaidie kama nimekosea.

Ahsante kama huta tukana au kukejeli.
 
Bro nakushauri nenda kwa mpenzi wako wa zamani... Huyo partner ana lengo lake private.... wanawake hawa,,, tena anakujua una mijihela... ohoo shtuka man atakuvuna mpaka ubaki mweupe...
 
mleta uzi USITUUZIE CHAI HAPA....
Unakumbuka hiii hapa chini...?SI ULISHAOA WEWE??
Ni kweli mkuu huo Uzi nilileta mimi lakini muhusika ni rafiki yangu kwa hiyo niliona nivae uhusika hapa ili nitakayoyapata kwenu kama ushauri iwe rahisi kumfikishia.
Tumeshalimaliza hilo saivi raha mustarehe kwenye ndoa yake.
 
Unataka kumkubali kwa maslahi ya biashara? Unadhani ndoa ni lelemama?

Nyie ndio mnaooa halafu kutwa kuhangaika nje.....

Oa mwanamke kwa kuwa unampenda na unaweza kuishi nae maisha yako yote. Na si kwa sababu ya biashara....what if kikatokea la kutokea biashara ikafa? Ndoa nayo itakufa???
Biashara ikifa huku akiwa na partner kuna uwezekano mkubwa wa kusurvive bila vurumai zozote coz mke tayari ni mpambanaji mzoefu kuliko bnes ife akiwa na huyo wa ofsini atamnyanyasa sana coz kiuhalisia hajui jamaa alivyosota mpaka kufika level aliyomkuta.
Halafu jiulize tu ni mabinti wangapi wanapiga bznes ktk umri huo bila kuwa tegemezi?
Asee ningekuwa mm nisingejiuliza mara mbilimbili kuhusu kuoa huyu partner.
 
hii story nina mashaka kama ina ukwel.
kwa jinsi wabongo tulivyo kuna maswali najiuliza kwa huo mda unaoasema nashindwa kurealize inawezekanaje?
 
mleta uzi USITUUZIE CHAI HAPA....
Unakumbuka hiii hapa chini...?SI ULISHAOA WEWE??
kwel huyu jamaa muongo ndo maana napga esab naiona haiji kibongo mdada above 20 et hujui status yake au hamjawai hata kuambiana msalimie shem au wifi
 
Usemalo ni kweli mkuu hapo mwanzo sikuwa na mapenzi nae ni kama dada yangu tu japo ni mrembo na mbaya zaidi aliponiambie hapo ndio nikaanza kumtazama kwa lile jicho la kutamani nikili tu nilijiona mjinga sana kuishi na binti mzuri kwa miaka yote mpaka yeye mwenyewe alivyonigutusha nimeanza kumpenda Upendo wa kimapenzi wiki moja tu sasa sasa sijui nimempenda au nimemtamani
Kama hujui unampenda mtu au unamtamani acha kujifanya unampenda. Utachochea moto utakaokushinda, siku akijua/kuhisi una mwanamke mwingine patachimbika maana mali mlizozalisha ana mamlaka nazo na hataacha mwanamke mwingine afaidi... atakuharibia mahusiano yako yoyote utakayotaka kuanzisha pale utakapo kuwa umeona tamaa yako imeisha.
 
Mkuu piga MIKASI/DUSHE wote kwa siku moja kisha usikilizie nani mtamu. In short; MNATO, MMAUNNO na KULAMMBA KONI ndo viwe vigezo vya kuamua. Asante.
 
Back
Top Bottom