Partner kwenye biashara, anataka twende mbali zaidi

Partner kwenye biashara, anataka twende mbali zaidi

mimi partner tu...ilanamuambia ukweli kwanza af namuambiakweli ngojanitulize akili ila namua kuwa na wewe....
Ukweli anaoujua ni wa zamani sana demu wangu aliolewa baada ya mimi kuhamia huku na tuhuma alizohabalishwa na wakuda kuwa mimi na partner tu wapenzi hata baada ya kumueleza sana hakuwa tayari kunielewa na kwa vile yeye alikuwa anasoma vyuo vya diploma huko mbeya alipopata kazi akaolewa na hapo partner ndio anapojua mimi niliamua kuishi mwenyewe mpaka yeye alipoamua kuniambia hakuwahi kuniona na huyu mpenzi wangu kwa hiyo kuanza kumwambia haya ni kumfanya aone kuna vitu nilikuwa namficha
 
yaan umuoonee huruma hako kademu mlichokutana hata miezi 7 hamjafikisha ukamuacha partiner anaekujua nje ndani na chachu ya mafanikio ya maisha yako ama kweri wewe hamnazo
chukua partner huyo
lakini usimgonge mpk MUOANE Ili mpate kujenga ndo nzuri araf ndoa yenu itakuwa na mafanikio na watoto wenye akiri sana
 
kitu partner bana, hiyo story yako na huyo patner imenivutia sana, kama ya Bonnie & Clyde
mimi nakushauri baki na huyo partner, usaliti unatokeaga tu, halafu kitu kingine ni kua long distance relationship huwa zina mizengwe sana, piga chini tu huyo wa mbali
 
Mkuu Ngamia kuna mambo lazima ujiulize kwa nini leo na sio huko nyuma na hata dalili zamani hakuwa akinionyesha za kunitaka namjua ni mtu wa misimamo na anaesimamia anachokiamini kwa hili kaniweka kwenye mawazo.
Na huo ndo msimamo wake wa kukupenda wewe hakuna namna nyingine na mimi nasema pendaneni tu.
 
ila biashara ukiichanganya na mapenzi sometimes inakua complicated sana, yaani mapenzi yakiyumba biashara na yenyewe inayumba sana
 
Nimtazamo wangu tuu lakini sidhani kama itakua sawa kujikera au kuishi na mtu ambae moyo wako hauna furaha kwake,naamini kua baada ya kazi nzito unahitaji urejee nyumbani na kumkuta yule moyo wako unapenda na hata mda mwengine unapenda kuongea na yule mtu moyo wako unapenda,nna imani kama huyo partner wako atakuelewa,au unadhani ukiwa nae yeye na moyo hauna furaha si ndio mwanzo waku cheat na akijua utasema kwanza hukua choice yangu
huoni kama itakua mbaya zaidi?
Usemalo ni kweli mkuu hapo mwanzo sikuwa na mapenzi nae ni kama dada yangu tu japo ni mrembo na mbaya zaidi aliponiambie hapo ndio nikaanza kumtazama kwa lile jicho la kutamani nikili tu nilijiona mjinga sana kuishi na binti mzuri kwa miaka yote mpaka yeye mwenyewe alivyonigutusha nimeanza kumpenda Upendo wa kimapenzi wiki moja tu sasa sasa sijui nimempenda au nimemtamani
 
jipe mda wakufikiria na jiulize jee anazo sifa za kua mkeo wako na mama wa Watoto wako? moyo ukikubali mshirikishe mwenyezi mungu na muombe kama huyo mke ana kheir na wewe basi akufanyie wepesi na kama ana shari na wewe akuepushie na wala usijute...
 
yaan umuoonee huruma hako kademu mlichokutana hata miezi 7 hamjafikisha ukamuacha partiner anaekujua nje ndani na chachu ya mafanikio ya maisha yako ama kweri wewe hamnazo
chukua partner huyo
lakini usimgonge mpk MUOANE Ili mpate kujenga ndo nzuri araf ndoa yenu itakuwa na mafanikio na watoto wenye akiri sana
Mkuu huyu mpenzi wangu ambae umemuita demu sio kwamba ni mchuluko hapana anajari,mkarimu,mpore mcha MUNGU kasoro moja moja anazo ni mambo ya kibinadamu tu sasa hata sababu ya kumuacha kwake ni kama kumsingizia tu.
Ok hapo kwa partner sio kwamba sioni ila haikuwa lengo na hata kumpenda ni wiki tu ndio mawazo ya penzi juu yake ndio yameanza kuwa kichwani mwangu...ahsante kwa ushauri wako nimeuchukua mkuu
 
kitu partner bana, hiyo story yako na huyo patner imenivutia sana, kama ya Bonnie & Clyde
mimi nakushauri baki na huyo partner, usaliti unatokeaga tu, halafu kitu kingine ni kua long distance relationship huwa zina mizengwe sana, piga chini tu huyo wa mbali
Ahsante mkuu japo na mpenzi wangu aliliona hilo la yeye kuwa mbali alianza kufanya utaratibu wa kusogea angalau awe pwani/kibaha.
Ushauri wako nimeuchukua mkuu kwa jinsi nionavyo na kwa maisha tuliyoishi na partner nadhani hata yeye amewaza sana mpaka kuja kunipasulia huo ukweli wake
 
Patna mkuu.... Yani nyie mpo ili muwe pamoja tu
 
Mwanamke sahihi anayekufaa hapo ni huyo partiner kumbuka umedumu nae kwenye biashara kwa muda mrefu.
Mnafahamiana kiundani kutokana na kushare biashara zenu.
Suala la kwamba kwa nin hakukwambia tangu kipindi cha nyuma ni kwakuwa alihitaji kukusoma zaidi kukujua uko vipi...Kitu pekee ni wewe kumwambia ukweli huyo partiner kwamba ulikuwa na msichana hata hivyo haujafika mbali nae huyo msichana.
Muelezee ni kwa jinsi unaona yeye anafaa kuwa mkeo,mwisho kabisa mkubalie ili mkahalalishe ndoa.

Naamini huyo partiner ana faida kubwa kwako kifamilia na hata kibiashara.
 
Na huo ndo msimamo wake wa kukupenda wewe hakuna namna nyingine na mimi nasema pendaneni tu.
Hahahaha ahsante mkuu inaweza kuwa alikuwa ananisoma siku nyingi ee..maana kwake nilikuwa naenda na kwangu alikuwa anakuja tunapiga stori na tunapanga mipango kama kawaida.
 
Mkuu partner ndo habari ya mjini...kama mmeweza kukaa kwa kuheshimiana miaka yote hiyo mkipitia shida na raha...what more could a real man ask for??!!!...ebu nipe namba yake ni confirm kitu afu ntakuchek chap
Mkuu heshima ilikuwa ni kwa sababu mimi kaka yeye dada sasa saivi itakuwa mpenzi.
Hahahaha namba tena
 
Back
Top Bottom